Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Maneno Mbegu (kushoto) akimkabidhi Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Mbeya, Bi. Hilda Ngoye hundi yenye thamani ya sh. milioni 3 ikiwa ni msaada kwa ajili ya kusaidia umaliziaji wa ujenzi wa mabweni ya shule katika Wilaya nne za Mkoa wa Mbeya. Hafla hiyo ilifanyika leo Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...