Wadau,Ule usemi ya kwamba unapokuwa unaendesha barabarani na mbele yako kuna daldadala ni sawa na kwamba unaendesha magari mawili, nimeuamni leo hii asubuhi pale njia panda ya Tegeta kwenda Wazo kiwanda cha Cement wakati ambapo Daladala alipomchomekea jamaa mwenye Rav 4 MPYA akaingia mtaroni na daladala kukimbia.
Mdau
Mbando



Loh,hiyo midaladala ni noma kishenzi.
ReplyDeleteENDESHA KWA UMAKINI NDUGU YANGU,WEWE UNATEGEMEA DEREVA WA DALADALA AKUONGOZE NJIANI....UJINGA MTUPU UMEWAJAA MADEREVA WOTE WA DALADALA NA GARI ZA BINAFSI-MNANUNUA VYITI,SASA WEWE HAPO ULISHINDWAJE KU-ESCAPE.
ReplyDeleteHawa jamaa ndiyo maana Nanihii alimdito mmoja, dawa yao hawa ni kuwadito wakiishaa jua kuwa ukimchomekea mwenye gari yoyote huenda akawa na ditometer na akaitumia kukudito nayo, watakuwa na nidhamu. Maana traffic wote Dar ni jamaa zao na wanapeleka hesabu ndiyo maana hawazingatii sheria.
ReplyDeleteBongo Tambarare, wote hao hawana kazi !!
ReplyDeleteMtu kabla ya kuendesha gari yako ndogo ya mtumba kutoka Japan ni vizuri inabidi kwanza uende kujifunza kuendesha daladala VETA hata kama huji kuendesha daladala maisha yako yote.
ReplyDeleteHata kama huendi VETA omba basi hata attachment ya wiki moja uendeshe daladala.
Ona sasa katumbukiza RAV 4 yake kwenye mtalo angepitia kujifunza kuendesha daladala kwanza kabla ya kuendesha hiyo RAV 4 angejua namna ya kumkwepa huyo mwenye daladala akimchomekea au namna ya kumshughuikia kidaladala behaviour.
Kamanda Kova nashauri madereva wote wa magari madogo wasipewe leseni hadi wapitie mafunzo ya kuendesha daladala.
Wote tukiwa kama madereva daladala...nchi itakuwa ya vichaa basi!!
ReplyDeleteHiyo raha ya kuletewa leseni ya udereva nyumbani bila kupitia shule ya udereva.Ukichomekewa kidogo tu na daladala breki ya kwanza ni kwenye korongo.
ReplyDeletewewe anony wa 5:02.
ReplyDeleteni dereva gani wa kupeleka VETA,wa daladala ambae hana uchungu na mali au wa gari dogo ambae kajibana mpaka kanunua mkoko wake?
think twice man!
DEFENCIVE DRIVING NDIYO NGAO MUHIMU KATIKA UENDESHAJI, MAANA YAKE UNAPOENDESHA GARI LAKO UNATAKIWA UENDESHE NA MENGINE MANNE, LA MBELE YAKO, LA NYUMA YAKO, LA KLIA KWAKO NA KUSHOTO HIVYO JUMLA NI MATANO. WABONGO WENGI WATALIONA HILI KAMA NI UTANI KWANI TUMEZOEA MKATOMKATO KATIKA KILA JAMBO. AJALI IKITOKEA LAWAMA NYINGI ZISIZO NA TIJA.
ReplyDelete