Usalama wa wasafiri katika ziwa Victoria bado unatiamashaka kwa baadhi ya vyombo vinavyotumika katika ziwa hilo. Pichani wananchi wakisafiri kati ya Mwanza Mjini na Kijiji cha Ilunda wilayani Sengerema mwishoni mwa wiki. (Picha na Hilary Bujiku)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hamna hata maboya ya kuwaokoa katika hatari (life jackets. Usafiri huu ni hatari sana. Fikiria mama ana mtoto mdogo halafu kaboti hako kana zama au kupinduka itakuwaje!!!???

    ReplyDelete
  2. Jamani, jamani!!!!! ni hatari tupu!! viongozi tusaidieni!!!!!!!!!!!!gaaaaa!! hii hali inatisha sana. Kikizama huyu mama sijui hawa watoto watakuwa na wakati mgumu sana!!!

    ReplyDelete
  3. Tutafika tu si ndio zetu,hivi ni wangapi wajuao kama kuna boda la panya pale bagamoyo kutokezea zenji?TRA wanatoa form maalum kwa raia wakigeni wanaotaka kukatiza boda hilo wasaini kabisa hizo form litakalotokea ni bahati mbaya, na wazungu mang`aa kweli eti wanaona funny wanasaini na kwenda kweli zenji kwa njia hio,kwa kawaida wenye mchezo huo ni wale ma-beach boys wanaokwenda zenji kwa usafiri huo kutokea bagamoyo kwa kusave nauli kwavile wao mawindo yao yote ni kuwaska wazungu popote pale walipo sasa wazungu wanavyowaona wakienda na kurudi na wao wameufanya ndio mchezo wao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...