MCHEKI FID Q KATIKA BONGE LA VIDEO YAKE MPYA KWA KUBOFYA HAPO http://www.youtube.com/watch?v=HTBrfXrUbRE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Tatizo kubwa la wasanii wa kibongo hamtaki kubainisha kazi zenu na Bongo.

    Matokeo yake kazi zenu zinakandamizwa na wasanii wengine wenye kutambulikana USA walopata hits/view zaidi ya Milioni 8.

    Jibu la kusaidia wasanii watumie YOUTUBE vizuri kutambulisha kazi zao mfano video itiwe neno: Tanzania- Fid- Q na Tags: Tanzania Fid Q - i'am a professional.

    Wasanii kumbukeni Tanzania ni neno kubwa ktk search engine ya Youtube zaidi ya majina ya wasanii na itasaidia kazi lukuki za watanzania zisiishie ktk archives za Youtube bila kuonekana na watu wengi zaidi ulimwenguni.

    ReplyDelete
  2. Again ninasema muziki wa rap unakoelekea unakuja kuwa kama taarab kujisifu sifu kusikokuwa na mpango, hakuna theme, zero message mziki huu ni mzuri in terms of mapigo ijapokuwa naona ala zake kama amemuiga (Common "Sixth Sense" sasa angalia wadau wa copyright wasikukamate) but hakuna message ni kujisifu. Pia nashauri waimbaji wa bongo ni afadhali wasiimbe kiingereza maana aibu bora waendelee kuimba kiswahili ama sivyo wakale msasa wa lugha. I am still convinced that the only good mcs and hiphop rappers bongo are Prof Jay and Afande Sele the rest mh!!!! (no comment)

    ReplyDelete
  3. hayo ni maoni yenu na hatuwapingi na tunayaheshimu..ila kwa tunaoujua mziki wa hiphop..ngoma imasimama..FID go FID!

    ReplyDelete
  4. bonge la video? are you joking? watanzania kwa kuongeza chumvi bwana?

    ReplyDelete
  5. Good work Fid Q! Keep it up!

    ReplyDelete
  6. jamani ile clip ya ze comedy - 'Kuch kuch Hotahe' inanifurahisha saana.. i find it sooooooooo funny

    http://www.youtube.com/watch?v=fseXuB1rX9M

    K

    ReplyDelete
  7. nadhani mtoa maoni wa kwanza ameongea jambo la msingi.. walioponda ni haki yao coz jamaa anajua hawezi kupendwa na wote.. lakini kiukweli kazi ni nzuri na imekaa kimataifa zaidi.

    ReplyDelete
  8. mtowa maoni wa januari 15. 2009 4:51 kwanza hii comments yako inahusu nini hapa? mbile ile clip inachekesha wapi? ni utoto mtupu sioni cha kukufanya ucheke kiasi hata uweze kukiandika hapa.

    ReplyDelete
  9. Lugha.

    Hii video nzuri kwani picha zake hazikudhalilisha akina mama kwa kuwaweka bila nguo.

    Kama walengwa ni wanaojua kizungu basi mashairi na ngonjera zote ziwe za lugha hiyo ili ipokelewe ulimwenguni. Ikiwa ni kwa watumiaji wa kiswahili basi iwe ni lugha hiyo tu, kiswaenglish hakiuziki.


    Bonde la Ubwabwa

    ReplyDelete
  10. Kimsingi mimi kazi za FID Q huwa nazikubali lakini kwa hii mhh!! sijui kwa sababu kaimba kwa kimombo? Naungana na mdau 1 hapo juu kuhusu matumizi ya kiingereza kwani wasanii wetu wengi wakitumia lugha hiyo mashairi yao hayawi matamu kama wanavyotumia kishwahili. Kila lugha inalafudhi zake, hivyo ni bora wakaliangalia hilo kwani wanaweza imba kiswahili na miziki yao ikawa ya kimataifa kwani kiswahili kinakua sana siku hizi

    ReplyDelete
  11. watanzania bwana.Ndo maana hatuendelei.hii sasa inaboa.FID Q kafanya kazi safi sana pamoja na producer wake majani.watz bado,badala tufurahi maana muziki kwetu unakuwa tunapiga domo.HUO NI WIVU.na mdau uliongea hapo juu eti ni utoto,muziki ni kila kitu baBAAKE.Mbona wewe uko unabeba box halfu una ipod unamsikiilza sijui 5O CENT,sijui jeezy kwani wao wanaongea nini?oooh i got money in the bank.shit!.daima FIDQ.hiphop one day bongo itakuwa kama hapa.SAFI SANA BONGO RECORDS.hiphop daima!
    hiphoper-california

    ReplyDelete
  12. kazi nzuri,but the video is VERY BIAS,the only fans we can see are whites,so in that sense thers no any africans who supports him,even thoe u want to be international u gat respect ur roots.

    ReplyDelete
  13. very nice...way to go fid Q
    safi sana ulivyoweka na kingereza mana unawawezesha watu wengi kusikiliza hata kama sio waswahili(meaning waongea kiswahili)kusema africa na nje ya africa.thats very good brother keep it up.

    ReplyDelete
  14. Hata mimi nimesisimkwa na maoni ya mtoaji wa kwanza kabisa jamaa anakosoa kwa kujenga na kuelekeza nini kifanyike kwakweli namtofautisha na waatoa maoni wengi wetu wa humu MICHUZI GLOBU YETU HII TUNATAKIWA WACHANGIAJI TUIGE MIFANO KAMA HII NA IKIWEZEKANA TUFANYE KAJIMOTISHA KWA WADAU KAMA HAWA ILI KUWAPIGA NA MSASA HAWA WAONSHA VINYWA MABINGWA WAKUKOSOA NEGATIVELY.

    ReplyDelete
  15. kilichotumika humu ni chepesi kwa faida ya wote hata ya wale ambao tulisoma na akina KAYUMBA... as a matter of fact.. jamaa katumia kiswahili 70% humu.. kwa sisi mabao tupo facebook tulidokezwa ya kuwa jamaa aliishoot hiyo video ujerumani, so nadhani hiyo ndo crowd ya watu waliohudhuria katika tamasha lake... halfu kuna kitu kimoja tumekisahau hapa., mie nadhani tungempongeza mshikaji kwa kufanikiwa kushoot huko kwasababu tuna wasanii wengi huwa wanaenda mamtoni halafu wanaishia kuimba kwenye birthday party tu na kutuchafulia blogu zetu kwa picha zisizo na maana yoyote.. BIG UP FIDQ.. MUNGU AKUZIDISHIE 'amen'

    ReplyDelete
  16. We anony wa 10:15 huwa hatusemi there are no any Africans who supports him! shame on U guy, baki kwenye Kiswahili wewe maana kingereza ni lugha tu, usidhani tutakuona umeelimika kwa kuandika kingereza tena broken!

    Kibajaji hapa!

    ReplyDelete
  17. Fid, sisi tunaweza kupitiliza, yaani mzuka wa mtu mweusi ni bomba, mkali hakuna photocopy, hivyo endeleza midundo kama hamna anayekuona mwanangu

    ReplyDelete
  18. ebwana unapotaka fanya kitu usiangalie watu wanasema nini, hii track iko international zaidi, na mimi naona aendelee kutengeneza track za ngeli kama hizi ili ajulikane kimataifa, screw wa bongo ambao hata album hawanunui, just do ya thang, komaa na youtube na myspace, ngeli kwenda mbele, accent sio issue, ilimradi wimbo unaeleweka mimi nimeeleka kila mstari wa ulipotumia yai so keep it 100

    ReplyDelete
  19. Shukrani kwa wale woote waliotoa support kwa FID na Sanaa ya Bongo kwa ujumla..kwa wale wakosoaji KAMA HUNA ZURI LA KUSEMA,,NYAMAZA KIMYA!!..FID ni moja ya Wasanii vijana wa Bongo wanaowakilisha TZ Kimataifa,Hata huyo ProF JAY anamheshimu saana FID Q..na kwa yule Mdau aliedhani hii ni kazi ya BONGO RECORDS..Sio KweLi,..Mdundo umetengenezwa na Producer Chipukizi wa TZ kwa jina anaitwa DUKE TACHEZ!!..Kwa wale wanaotembelea YOUTUBE..cheki video ya RIROTI ZA MTAA...FID 1st single.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...