

INAWALETEA
OBAMA INAUGURAL PARTIES
IJUMAA HII TAREHE 16 MWANA MUZIKI MAARUFU WA R&B MYA ATAKUWA ANAPIGA LIVE, DOORS OPEN AT 8PM.
NJOO KAMA HUJAWAHI KUMUONA LIVE HII NDIO CHANCE YAKO, FREE KUPIGA NAYE PICHA,KIINGILIO NI FREE BEFORE SAA NNE.
ALAFU JUMAMOSI NDIYO ILE PARTY YA WAAFRICA TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA WATAJUMUIKA KUSHEHEREKEA USHINDI WA OBAMA NA DJ MTANZANIA MAARUFU ANAYEPIGA # ONE FM RADIO HAPA DC-DJ JOE ATAKUWA AKIPIGA TOKA KWENYE CLUB. ALAFU ITAKUWA INARUSHWA MOJA KWA MOJA REDIONI.
KAMA UNA SWALI AU UNAHITAJI MORE INFORMATIONS
MPIGIE DICKSON WA DMK GLOBAL PROMOTIONS AU DJ JOE AU TERRY WA T&J ENTERTAINMENT
-301-661-6207/202-492-4545/2405931533.
KIOTA CHENYEWE KIPYA KINACHOVUMA MARYLAND NI
ZODIAC LOUNGE
654 CENTER POINT WAY
GAITHERSBURG,
MD,
20878.
UKIHITAJI DIRECTION/VIP PASS
KONG'OLI HAPA DMKGLOBALPROMOTIONS.COM
AU PIGA
301-661-6207
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...