Mshindi wa Vodafasta Zaituni Mohamed aliyejishindia Bajaj yenye thamani ya sh Milion 4.5 akionyesha funguo ya Bajaj yake aliyejishindia baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkuu wa Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Ansi Mmasi(kulia)na kushoto ni Afisa wa vodacom Juma Komba.
Zaituni akipokea hati ya kibajaji chake
kutesti imo....



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. BWANA MMASI, KWA NINI UNATAKA KUGOMBEA UBUNGE MOSHI MJINI KUMWONDOA DR CHAMI BWANA. HEBU MWACHIE ALE KIDOGO TENA MMEKU.

    ReplyDelete
  2. Nina uhakika kabisa kwa nafasi aliyonayo ansi hapa vodacom analipwa mshahara karibu mara 2 ya mshahara wa Ubunge, sasa huko bungeni anakotaka kukimbilia inatupa wasi wasi sana hapa,I would advise him to keep growing with vodacom who knows the directors and even ceo might land in his hand,,,,,cool down brother,,,,, leave politics with politicians,,,,,bring your minds back here,,,,,lets grow together here.

    ReplyDelete
  3. Mi nafikiri meku ana moyo wa uzalendo zaidi na anahitaji apatiwe nafasi ilikuweza kuisaidia jamii kwani takwimu zinaonyesha asilimia 80% ya binaadam wanaangalia Personal interest yaaani maslahi binafsi na 20% wanaangalia public au social interest yaani maslahi ya kijamii ivyo meku Mmasi anataka apatiwe nafasi kutimiza ndoto zake za kuitumikia jamii ya watanzania wenye nia ya mabadiliko

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...