Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Davies Mwamunganye akimtunuku medali ya utumishi wa muda mrefu na nidhamu Meja Mwanaisha ambaye ni mmoja kati ya askari jeshi 26 waliopata medali hizo katika kambi ya Twalipo, jijini Dar.










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. MKUU WA WILAYA NANIHII, NAONA MASENENE WAMEANZA KUNIFATA FATA, WASILETE ZAO ZA KULETE, MIMI NIMEENA JKT ETI, NA AFANDE MWAMUNYAGE NA KOVA NI WASHIKAJI ZANGU


    MIMI PIA NAJUA KUZIRUSHA KWA HIYO KAMA WANATAKA ZA KULETA, BASI NA MIMI NITAWALETEA ZA KULETA, TENA SANA TU

    TANZANIA, OYEE,
    JKT OYEEE

    ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
    ZIDUMU

    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
    KIDUMU

    KIDUMU FIRKA ZA RAIS MTARAJIWA 2015
    ZIDUMU

    ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU 2015
    ZIDUMU

    ZIDUMU FIKRA ZA WAZIRI WA UREMBO 2015 JOKETI,
    ZIDUMU !

    MASENENE WOTE WAKAFIE HUKO U.S.A NA U.K. WABEBE BOXI HADI WAFE KWENYE SHIFTI NA UROHO MBAYA

    MKEREKETWA, YOMBO VITUKA !!!!
    DAKIKA 30 ZIMEKWISHA

    ReplyDelete
  2. IMENIKASIRISHA SANA HIYO PICHA KWASABABU HUYO DADA ANA MVUTO LAKINI KUMTOKEA ITANIWIA NGUMU MAANA ANAWEZA KUNIPA KISAGO CHA KIJESHI.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana da'Mwanaisha.Endelea na juhudi zako kazini.

    ReplyDelete
  4. Wewe Mla Vumbi na Mnuka Kikwapa anon wa kwanza tutolee pumba zako hapa, nenda kanusishane VIKWAPA na wala vumbi wenzako huko kwenye madaladala na vibajaj. Kama huna cha kuongea just shut the hell up, maana inaonekana una akili uharo, nyambaaaaaf.

    ReplyDelete
  5. MLETA HABARI TAFADHALI TULETEE MAJINA YA WOTE 26 WALIOPATA NISHANI HIZO. DADA KAPENDEZA!

    ReplyDelete
  6. Well naona nidhamu,ukakamavu na utiifu watoto wa mama Madawale hongera dada Mwanaisha..nimekumbuka mbali nyumbani//Great Britain

    ReplyDelete
  7. kweli wewe annon wa kwanza una matatizo ya akili na unaonekana wewe umerithi kutoka kwa wazazi wakosasa hayo yote ya kutukana watu bila sababu ni nini? unajua wewe unaweza ukaja ukawa kichaa kwasababu ya chuki ulizo nazo? lait ungejua jinsi ulivyo na mawazo potofu! mungu akubariki ubadilike maana kwa mwendo huo unaokwenda hufiki mbali

    ReplyDelete
  8. hongera dada! huyo annon wa kwanza anaonekana ni mtu mwenye maneno mengi sana kama ni mwanaume tunamuofia sababu huko anakokwennda kama sodoma vile? act like a mature jaribu kukua

    ReplyDelete
  9. ni vizuri kuona watu wakitunikiwa medali. HONGERENI SANA. huyo shetani aliyetoa maoni ya kwanza ana problems gani. mtu kama huyo amechoshwa na maisha au ana mapungufu fulani kichwani. i am sure akikaa kwenye corner yake anakua akiwaza mambo mabaya tu. amuombe mungu wake amtolee matatizo aliyonayo. it is up to you kuishi maisha ya chuki au maisha ya upendo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...