Brother michuzi,
Pole na shughuli za kazi.
Hapa nakutumia taarifa za kijana wa Kitanzania Eugene Alute Mwendwa
ambaye amechaguliwa kuwa Mshindi wa ``black enginner of the year 2009" nchini marekani ,
habari zake zinajieleza kwa kirefu,Tumpe Hongera jamani!
mdau Tumsifu.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 41 mpaka sasa

  1. Represent mwana!!! mtoni kazi sio kubeba box peke yake. watu wako intellectually capable ku compete na mtu yeyote yule as long as wamepewa nafasi. bongo talents za watu sometimes zinabanwa ( i said sometimes) kuna generation ya wabongo walioko mtoni they will suprise a lot of people, just keep ur ears unplugged many more news of young intellectuals that gonna blow your mind are on the way.

    ReplyDelete
  2. Mbona habari nyepesi sana, yani haihusiani na kichwa cha habari ya bandiko lenyewe. Tupasheni vizuri basi!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana kaka! For sure you are an inspiration to young Tanzanian Engineers. We need to hear more news like these from Tanzanians abroad. Achievements..........

    Mwesiga

    ReplyDelete
  4. Mashaka sema sasa hapo?

    ReplyDelete
  5. Hii haijakaa sawa kabisa, samahani. Tafadhali toeni habari zisizozusha maswali. Hii habari inazusha maswali mengi sana, mtanisamehe lakini ujumbe nimetoa.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana mwanamume.

    Endelea kupeperusha flag ya Bongo juu zaidi.


    ===

    Na ndugu yangu Mashaka tumeshasikia kelele na mbwembwe zako sasa tunataka tukuone ukilamba awards huko nchini Marekani kama huyu Engineer.

    Tunamtambua mtabe mwingine ni Hashim Thabiti, yeye flag yake inapepea kila siku.

    Mashaka bado hatujaona... kaza buti mwanamume... nia unayo, uwezo unao na sababu unayo.

    ReplyDelete
  7. John Mashaka, have you learnt anything from this guy? Very quiet guy with no minjonjo...

    Kuna watu wa dizaini ya huyu engineer hapa Marekani ambao wamekaa kimya tu. Sina cha zaidi cha kuongeza. Congrats Bro!!

    ReplyDelete
  8. Hongera Eugene!!!

    ReplyDelete
  9. Excellente!!!!!!!
    Mwenda big up and best to your success.

    ReplyDelete
  10. NI LINI MLIO UHAMISHONI HUKO MTAPATA AKILI.TUMPE HONGERA KWA KUBAGULIWA AU KWA ALICHOKIFANYA SAHIHI. NI UPUUZI KUMUITA ATI MHANDISI MWEUSI WA MWAKA,KWANI HAKUSTAHILI,AU NI HESHIAM YA WAZUNGU TU, ACHENI KUFURAHIA UJINGA , NA KUKUBALI KUBAGULIWA KWA KUPEWA SIFA ZA KIJINGA.HAO WAJINGA WANAFAHAMU WAHANDISI WANGAPI WEUSI. NI SAWA NA WATAKATIFU WOTE KUWA WAZUNGU[KATORIKI]WACHEZAJI BORA WA DUNIA WA MPIRA WA MIGUU TOAK TIMU ZA ULAYA.
    SIIIUNGI MKONO. HUYU MWAFRIKA ALISTAHILI NA STAHILI KWA JUHUDI ZAKE NA SIO SIASA .

    ReplyDelete
  11. Congratulation Eugene, you've shown a way and you'll be role-model to other Tanzanians who try to walk your shoes. Please don't forget to transform what you've earn to revolutionize Tanzania education for the sake of future generation.

    ReplyDelete
  12. Thank you for putting us out there..you have proven ALL is possible if you put your mind and soul to it, many congratulations on such a big challenge.Am sure you have overcome many barriers and you deserve this award.

    ReplyDelete
  13. Go Eugene,Go Eugene!! ungekuwa bongo ungeishia kuwa frustrated. Bongo lazima walete engineer mzungu katika kila project kubwa. system iliyopo haitoi fursa kwa vijana wa kitanzania. System iliyopo ni wote tuwe wanasiasa, angalia akina Mwandosya, Sarungi etc wote wameingia kwenye siasa..

    ReplyDelete
  14. Hongera, na inafahamika umepitia challege nyingi ikiwepo watu kusema anapenda misifa, ila kaza uzi usisikilize masengenyo au umbeya uli uweze kufanikiwa zaid keep It up.

    ReplyDelete
  15. siku zote wa tanzania tunapo kwenda nchi za wenzetu tunakuwa na malengo mazuri kuhusu kupata elimu nzuri na n'k. ila tukishapata elimu yenyewe na kupata kazi hakuna mtanzania anaekumbuka tz tena wote tunajiona ni wamarekani,kuhusu huyu bwana eugene mwendwa amefanya kitu kikubwa sana,ila nina wasi wasi na elimu yake kama itakuwa na msaada wowote kwa tanzania maana watu kama hawa wakifika hapa kama huyu bwana mpango wakurudi bongo kujenga taifa ndio umekufa... na penda kutoa wito kwako mzee piga kazi then wekeza bongo ndugu zako wafaidi sio unawafaidisha wamarekani wakati ndugu zako tz wanakufa kwa umaskini wakukosa hata pesa ya matibabu.

    ReplyDelete
  16. BLACK ENGINEER! HII NI LUGHA YA DHARAU, NI LUGHA INAYOTUMIWA NA MTU AMBAYE HAAMINI KUWA MLENGWA ANGEWEZA KUFANYA JAMBO ALILOWEZA KULIFANYA. KWA MTU ASIYEJUA ATAONA KAMA NI SIFA. ANGELIKUWA NI MZUNGU ANGEITWA ENGINEER OF THE YEAR KWANI SI AJABU KWA MZUNGU KUWEZA. BONGO TUNACHEKELEA DHARAU BILA KUJUA UBAGUZI ULIYOMO NDANI YAKE!

    ReplyDelete
  17. Labda sijaelewa lakini hawa ndio washindi wa mwaka huu

    2009 Black Engineer of the Year Winners

    Black Engineer of the Year

    Wanda Austin, Ph.D.
    President & CEO
    The Aerospace Corporation

    Career Achievement-Government

    Cmdr. Roger Isom
    Command Officer, USS Wyoming
    U.S. Navy

    Lloyd Reshard
    Chief, Flight Vehicles Integration Branch
    U.S. Air Force Research Laboratory

    Career Achievement-Industry

    James Wigfall
    Vice President, Supplier Management
    Shared Services Group
    The Boeing Company

    Moses David Wilkins
    Vice President, Contracts
    Raytheon Company

    Most Promising Engineer-Industry

    Muluwork Geremew
    Process Simulation Scientist I
    Corning Incorporated

    Alana Tyler
    Senior Mechanical Engineer II
    Raytheon Company

    Most Promising Engineer-Government

    Shanee Houston
    Materials & Research Engineer
    U.S. Air Force Research Laboratory

    D’Lorah Small
    Civil Engineer
    U.S. Army Corps of Engineering

    Outstanding Technical Contribution

    Percy Gilbert, Ph.D.
    Vice President, Technology Development
    IBM Corporation

    Ayn Fuller
    Advisory Engineer
    Northrop Grumman Corporation

    Professional Achievement-Government

    Col. Clarence Dave Turner
    Commander, Far East District
    U.S. Army Corps of Engineers

    Frank Robinson
    Deputy Director, Safety & Mission Assurance Directorate
    NASA Glenn Research Center

    Professional Achievement (Industry)

    Colin Parris, Ph.D.
    Vice President, Digital Convergence
    IBM Corporation

    Dennis Copeland
    Principal Information Systems Engineer
    The MITRE Corporation

    Entrepreneur

    Kenneth Banks
    President & CEO
    Banks Construction & Development

    Community Service

    Nikki Boone
    Senior Electronics Engineer
    Lockheed Martin Aeronautics Company

    Reginald Smith, Ph.D.
    Chief, Interagency Coordination
    Advanced Distributed Learning & Joint Knowledge
    Booz Allen Hamilton

    Affirmative Action

    Johnny Graham
    Small Arms Team Leader, Soldier Systems Branch
    Material Systems Analysis Activity
    U.S. Army

    Affirmative Action-Supplier Diversity

    Reginald Williams, Ph.D.
    Technical Lead, Small Business Innovative Research
    Naval Air Systems Command

    Deans Award-Government

    Vallen Emery, Jr., Ph.D.
    Outreach Program Manager
    U.S. Army Research Laboratory

    Deans Award-Industry

    Phillip Campbell
    Distribution Sales Manager & Technical Sales Engineer
    Freescale Semiconductor, Inc.

    Presidents Award

    Scott Kelly
    Senior Vice President, Service Operations
    DPL Inc.

    Olabisi Boyle
    Director, Product Engineering & Program Management
    Chrysler LLC

    Lifetime Achievement

    David Anderson
    President & General Manager Hospital Supply
    Cardinal Health

    Pioneer Award

    Jeannette Mills
    Senior Vice President
    BGE Customer Relations & Account Services
    Baltimore Gas & Electric Company

    Promotion of Elementary Education

    Monorama Talaiver
    Director
    Institute for Teaching through Technology & Innovative Practices

    Promotion of Higher Education

    Veronica Nelson
    Manager, Career Pathways Program
    Electronic Systems Sector
    Northrop Grumman Corporation

    Will Minter
    Division Director
    Oak Ridge National Laboratory

    Student Leadership

    Midshipman Jordan Blake
    Midshipman First Class
    Ocean Engineering
    U.S. Naval Academy

    Ryan Clark
    Student
    University of Illinois at Urbana-Champaign

    Gem Student Leadership

    Jabbar Miller, Ph.D.
    Electrical Engineer
    Electronic Systems Sector
    Northrop Grumman Corporation

    Educational Leadership

    Oscar Barton
    Professor of Mechanical Engineering
    U.S. Naval Academy

    Special Recognition

    Felix Bartholomew
    Principal Associate& Senior Technical Specialist
    Project Controls Manager
    Parsons Brinckerhoff, Americas

    Louis Brothers, Ph.D.
    Engineering Technical Director
    BAE Systems

    Patrick Gerdes
    Senior Principal, Healthcare Division
    Noblis, Inc.

    William Glass
    Senior Engineer for Crashworthy Systems Branch
    Naval Air Warfare Center
    U.S. Navy

    Special Recognition

    Charles Henry
    Vice President, Verizon Telecom
    IT Revenue Assurance
    Verizon

    Henry Jeffress, III
    Senior Microelectronic Design Engineer
    Electronic Systems Sector
    Northrop Grumman Corporation

    Krandall Jones
    Vice President of Quality Assurance
    Turner Broadcasting, Inc.

    Joachim Kupe, Ph.D.
    Chief Engineer, Delphi Powertrain Advanced Engineering
    Delphi

    Trena Lilly
    Project Manager
    The Johns Hopkins University
    Applied Physics Laboratory

    Jenae Moore
    Co-op & Intern
    General Motors Corporation

    Paul Spraggs, Jr.
    Senior Network Specialist
    Science Applications International Corporation

    Ellisa Taylor
    Vice President & Associate General Counsel
    Cardinal Health

    Glenn Arnold
    Director CDO Program Management & Operations
    EMC Corporation

    Stars and Stripes

    Leo Brooks, Jr.
    Vice President, Business Development
    The Boeing Company

    ReplyDelete
  18. kweli kabisa mdau hapo juu hii ni lugha ya dharau.ila ukiangalia dunia hii inaendeshwa na watu weupe ndio maana dado tuna wasamini na kusujudia kwa kila kitu.

    ReplyDelete
  19. mr.Eugene nadhani umetembelea blog hii tunaomba utoe comment yako umeshinda hiyo black engineer of the year 2009.kwenye kategori gani,maana kwenye lis ya mdau hapo juu atujakuona hapo tunaomba more infor tafadhali.

    ReplyDelete
  20. Wakoloni walipoingia Africa walifanya vitu kama hivi.
    1:Kuziua tamaduni na mila zute na kuziita mila za kichawi na kutuletea mila zao aka(....)
    2:Walijenga mazingira ya kuwafanya baadhi ya watu waliosoma au kupata mwanga wajione wao ndio wapo daraja kubwa zaidi na kutojichanganya na wengine
    3.Kuziteka akili za watu.
    Mwenye macho haambiwi tazama!

    ReplyDelete
  21. Wadau

    Nampongeza Eugene kwa kuweza kupiga shule na kufanya kazi sehemu za maana huko US huo ni uwakilishi mzuri wa watanzania duniani.Moja ya kazi ambazo amezifanya au kuhusika kuzifanya ni hii hapa kwenye kiunganishi hichi; http://www.mitrecaasd.org/library/documents/MTR05W0000082.pdf

    Lakini katika kutaka kujua zaidi nilipita kwenye kiunganishi hichi; http://www.blackengineeroftheyear.org/v3/index.php na ninaungana na anony wa February 17, 2009 9:16 AM kwamba sijaelewa yuko kwenye category gani au kuna tuzo(awards) nyingine za aina hiyo? Tungeomba ufafanuzi zaidi maana hili ni jambo jema ambalo linahitaji lipewe uzito hata kwenye vyombo vyetu vya habari ili wadogo zetu wafahamu kuwa "inawezekana ukitimiza wajibu wako katika malengo yako".

    Mdau DD

    ReplyDelete
  22. wewe mdau uliopost hii link. hii ni acknoledgement kwa kuwapa data za sehemu anapafanyia kazi nothing much.

    http://www.mitrecaasd.org/library/documents/MTR05W0000082.pdf

    ReplyDelete
  23. MDAU DD: naungana na wewe kumbongeza bwana Eugene,najua mwenzetu amepiga atua kubwa sana ila waosha vinywa hapa ndio sehemu yao ya maana awanajipya hapa kusoma kumewashinda wao kazi kupiga box tu then wanakuja hapa kwa bro! michu kuosha vinywa vyao.someni ndugu zaku.

    ndau tumsifu uliye leta habari hii tunaomba ufafanuzi zaidi kama wadau wengine wanavyo sema maana ni jambo muhimu sana kwetu tanzania . yuko kwenye category gani au kuna tuzo(awards) nyingine za aina hiyo? ufafanuzi tafadhali ilikuondoa utata huu.

    ReplyDelete
  24. 2009 BEYA Modern Day Technology Leaders Honorees

    Following is a list of the modern day technology leaders:
    2009 Modern Day Tech Leaders List
    Modern Day Technology Leaders
    2009 BEYA STEM Modern Day Technology Leaders
    (Organization Order)

    Auburn University
    Juan Gilbert
    TSYS Distinguished Associate Professor

    BAE Systems
    Marie Alfred
    Program Engineering Manager

    Maketha Bridges
    Senior Software Engineer

    Kendall Davis
    Engineering Specialist

    Jeffrey Hallett
    Manager 1 of Manufacturing Engineering

    Ahmadou Ndao
    Senior Electrical Engineer

    Laureen Pellegrino
    Principal Operations Engineer

    Timothy Southward
    Senior Principal Systems Engineer

    Timothy Tutt
    Software Engineer

    Jillian Warner
    ELDP I

    Donte Whigham
    Lead Project Manager

    Baltimore Gas and Electric Company
    Da’Janel Roberts
    Senior Engineer

    Gilbert Lowe, III
    Engineer I

    Booz Allen Hamilton
    Latasa Anderson
    Senior Consultant

    Preston Carter
    Senior Technical Consultant

    Toni Corbett
    Associate

    Christopher Hubbard
    Associate

    Marcus Johnson
    Senior Consultant

    Duane Jones
    Associate

    Dameon Proctor
    Associate

    Ricky Reid
    Associate

    Phenesia Savoy
    Deputy Program Manager

    Tina Turner
    Associate

    Russell Williams
    Associate

    Dawane Young
    Associate

    Brown University
    Dr. Chad Jenkins
    Assistant Professor

    CareFirst Blue Cross Blue Shield
    Alma Miller
    Technical Staff Member

    Chrysler LLC
    Robert Barksdale
    Quality Chief Inspector

    Todd Jamison
    Program Manager Jeep Liberty (KK)
    & Dodge Nitro (KA)

    Algernon Jordan
    Product Durability & Reliability Engineer

    Rhonda Salazar
    Operations Manager
    Global Engine Manufacturing Alliance

    Alesah Watkins
    Electrical & Electronics Core Program
    Management Analyst

    Stacey Young
    Training Manager

    Cisco Systems
    Danielle Desalu
    Systems Engineer

    ComEd
    Michelle Blaise
    Director, Engineering

    Timothy Hughes
    Operations Coordinator
    Transmission Substation for ComEd

    Cornell University
    Dr. Hakim Weatherspoon
    Assistant Professor

    Delaware State University
    Gulnihal Ozbay
    Associate Professor

    Delphi Corporation
    Charlton Benjamin
    Senior Manufacturing Engineer

    Randall Jones
    Supplier Interface Engineer

    Department of the Army
    Delray Wylie
    Electrical Systems Engineer,
    Logistics / Project Manager

    Diageo
    Weldon Williams, Jr
    Quality Assurance Manager

    Michael Williams
    Senior Conversion Quality Manager
    Diageo North America

    Exelon
    Jerrold Martin
    VP IT ComEd Solutions,
    Exelon Business Services Company

    Randall Tate
    Director, Information Technology
    Central Operations

    Fluor Enterprises
    Alvin Collins, III
    Director II, Sales, Energy
    & Chemicals Business Group

    Matthew Harris
    Process & Specialty Engineer IV,
    Energy & Chemicals Business Group

    Fronde Baliste
    Rhesa Jenkins
    Executive Fellowship Strategy & Planning

    General Dynamics
    Justin Spurlock
    Mobility Engineer

    Iveto Denis
    Software Engineer
    General Dynamics C4 Systems

    Brandon Edmonds
    Software Engineer
    General Dynamics C4 Systems

    Achi Kiliaki
    Systems Engineer
    General Dynamics C4 Systems

    Ralph Cherubin
    Engineer
    General Dynamics Electric Boat Corporation

    Gary St. Vil
    Senior Engineer
    General Dynamics Electric Boat Corporation

    Shane Williams
    Tactical Software Engineering
    General Dynamics Electric Boat Corporation

    Ashley Avery, Jr
    Senior Engineer
    General Dynamics Land Systems

    Paul McKenzie
    Manager, Engineering’s Software
    General Dynamics Land Systems

    Cicely Ware
    Engineering Specialist
    General Dynamics Land Systems

    Jing Zhang
    Section Manager Engineering
    General Dynamics Land Systems

    Victor Dow
    Program Manager
    General Dynamics Robotic Systems

    Georgia Aerospace Systems
    Thomas Mensah
    CEO & Chief Technology Officer

    Georgia Institute of Technology
    Dr. Charles Isbell
    Associate Dean

    Gulfstream Aerospace Corporation
    Chris Booth
    Flight Test Engineer

    Kirby McCoy
    Technical Specialist II

    Charles Roberts
    Acoustics Engineer (Tech Spec II)

    Kenrick Waithe, Jr
    Technical Specialist II

    Hensel Phelps Construction Company
    Dwayne Jones
    Area Superintendent

    Robert McElroy
    Project Engineer

    IBM Corporation
    Ameha Aklilu
    Lead Architect, IBM’s STG Labs

    Ahmed Almoustafa
    TS7600 Test Lead and HW Coordinator

    Keith Bagley
    Rational Solutions Architect

    Dr. Carla Bailey
    Manager C4 Development

    Roger Best
    Field Technical Sales Specialist

    Garius Bias
    VIOS Project Manager

    Michael Bonett
    Certified Executive IT Specialist
    Advanced Technical Support

    Dr. Joel Branch
    Research Staff Member

    Basheer Bristow
    Storage Blade RAS Engineer, Team Lead

    Rodney Brown
    Software Engineer

    Beverly Clapp
    Staff Development Engineer

    William Cox
    Staff Engineer

    Rasheedah Edwards
    Development Engineer

    Cody Gillians
    Technical Project Manager

    Dr. Tyrone Grandison
    Manager, Intelligent Information Systems

    Nicole Hargrove
    WebSphere Process Integration
    and ESB Information Technology Specialist

    Paul Jennas, II
    Staff Software Engineer

    Julius Lambright
    Director, Packaging and C4 Operation

    Victor Lindsey
    Software Engineer

    Dominique Louis
    Senior ITS Specialist

    Dwayne Lowe
    Blade Center Product Field Engineer

    Joe Momoh
    Manager, IT Architecture

    Cheikhou Oumar Ndiaye
    Advisory Process Engineer

    Osman Omer
    Software Engineer

    Elmer Onic
    Software Engineer

    Jon Rick Ramsey
    Software Engineer

    Michael Reddock
    Staff Software Engineer

    Livingston Samuels
    Managing Consultant

    Patrice Guelah Sofak
    Engineer

    Minassie Tewoldebrhan
    Engineer

    Sean Waldo
    Technical Sales Specialist

    Christopher West
    Advisory Engineer

    Immediate System Resources, Inc.
    June Smith
    President and Founder

    Intel
    Lakecia Gunter
    Program Manager

    ITT Corporation
    Marcus Arrington
    Program Manager & Associate Principal Systems Engineer

    Derrick Campbell
    Senior Image Scientist
    ITT Corporation – Space Systems Division

    Bruce Elliott
    Design Electrical Engineer
    ITT Corporation – Space Systems Division

    Darius Fennell
    Image Scientist
    ITT Corporation – Space Systems Division

    Dr. William Reynolds Jr
    Senior Staff Image Scientist & Supervisor
    ITT Corporation – Space Systems Division

    Jackson State University
    Abdul Mohamed
    Dean Emeritus

    Juxtopia, LLC
    Dr. Jayfus Doswell
    President & CEO

    Ling Fling, Inc.
    Dr. John Davis, II
    Founder & Product Architect

    Lockheed Martin Corporation
    Ayonike Akingbade
    Software Engineering LDP

    Adolphus Andrews, Jr
    F-22 Raptor Combined Test Force Test Operations Manager

    Melinda Au
    Engineering Leadership Development Program

    Tamara Baptiste
    Project Manager & Systems Engineer Lead

    Christopher Barr
    Engineering, Leadership Development Program

    Jamel Bearyman
    Embedded Software Engineer Senior

    Ernestine Bryant
    Project Engineering Senior Manager

    Jermaine LeVar Coburn
    Systems Engineer Staff

    Shana Craft
    Project Engineer Staff

    Setrige Crawford
    Senior Manager of the Operational Excellence Group

    Camille Dunn
    Systems Engineer Senior Staff

    Gerald Gaskins
    Program Management Director

    Hugh Hardy, Jr
    F-22 Systems Engineering Deputy Director

    Tiwanna Hayes
    Compliance and Governance
    Integrated Product Team Lead

    Jennifer Hayward
    Senior Systems Engineer

    Vincent Hill
    Aeronautical Engineer Senior Staff

    Rashadd Hines
    Information Assurance Engineer Staff

    Tochi Iheagwara
    Technical Assistant to Vice President
    & Senior Project Engineer

    Uldrick Jean
    Project Engineer Staff

    Ebony Jones
    Embedded Software Engineer

    Everett Donnell Jordan
    Systems Engineer Senior

    Jason Lennon
    Computer Systems Analyst Senior

    Paul Neves
    Software Engineer Senior Staff

    Abdul Nuhu
    Systems Engineer Senior

    Keenan Quarles
    Design Engineer Senior

    Melissa Simmons
    Software Engineer Staff

    Karla Spencer-George
    Senior Software Engineer

    Mario Armstrong Media, LLC
    Mario Armstrong
    President

    Mettler-Toledo AutoChem
    Cherrell Davis

    MGM MIRAGE
    Myrna Soto
    Vice President of IT Governance & Chief Information

    National Institutes of Health
    Tiffani Bailey Lash
    Science Policy Fellow

    Naval Air Systems Command
    Adeyinka George
    Electrical Engineer

    Katrina Griffis
    Textile Technologist Project Engineer

    Shawn Jackson
    Electronics Engineer

    Chris Lyles
    Intercommunications Systems (ICS) IPT Lead

    Jerry Moncrief
    Lead Aerospace Engineer

    Crystal Smith
    Mission Hardware Systems Engineer

    Naval Air Warfare Center
    Michael Charles
    H-60 Lead Project Engineer

    Naval Sea Logistics Center
    Sharon Parks
    Mechanical Engineer & Senior Project Manager

    Naval Surface Warfare Center
    Sheneka Allen
    Electrical Engineer

    Naval Undersea Warfare Center Division, Newport
    Dr. Victor Evora
    Mechanical Engineer

    Dr. Derke Hughes
    Mechanical Engineer

    Northrop Grumman
    Hal Todd
    Systems Engineer III & Career Path Officer

    Januca Berry
    Senior Mission Assurance Engineer

    Dedra Bonner
    Software Engineer

    Hayes Bowling III
    Systems Engineer

    Devin Canaday
    Mechanical Engineer

    Marcus Edwards
    Software Engineer

    Jacqueline Finger
    Electronics Engineer

    Tomeka Fisher
    Lead Electrical Test Engineer

    Seanna Garrett
    Operations Scheduling Manager
    & Program Control Analyst

    Jared Guilliod
    Senior Analyst

    Kendall Hayman
    Manager, Digital Systems Processes

    Kevin Huff
    System Administrator

    Ronald Jackson
    Structural Design Engineer

    Shirlyn Jean-Louis
    Senior Technical Staff

    Pamela Jones
    Lead Software Engineer

    Shannon Long
    Program Manager

    Yolanda Mitchell
    Lead Mission Assurance Engineer

    Uche Onyewu
    Engineering and Manufacturing PDP

    Darius Parker
    Principal Engineer – Technical Team Lead

    Sharon Patterson
    Systems Administrator

    Tanya Patterson
    AEHF NAST-T Subproject Manager

    Chanel Pride
    Systems Engineer II

    Raymond Sharp
    Communications Systems Engineer
    & System Installation Manager

    Steven Shomoye
    Mission Assurance Engineer

    Lakeisha Souter
    Mission Assurance Engineer
    & SEI SCAMPI Lead Appraiser

    Christopher Taylor
    Satellite Systems Section Manager

    Tina Vines
    Program Planner
    Rock Creek Airborne Surveillance Systems

    Aisha Watkins
    Early Software Integration Engineer

    Tesa Wheatley
    Electronics Engineer

    Jeniene Wiseman
    Mechanical Engineer

    Northwestern University
    Dr. Russell Joseph
    Assistant Professor

    Oakwood University
    Everett Roper
    Assistant Professor

    University of Minnesota
    Kenneth Nelson
    Digital Divide Initiative Administrator
    Office for Business & Community Economic Development

    Offshore Adventures
    Donald Lawson
    Skipper

    Oregon State University
    Dr. Ronald Metoyer
    Associate Professor

    PECO Energy Company
    Ronald Bradley
    Vice President, Support Services

    Raytheon Company
    Vincent Alexander
    State of The Art Windows.Net
    Software Developer

    Jaron Charles
    Senior Electrical Engineer I

    Sherita Cummings
    Senior Systems Engineer I

    Tiffany Graham
    Multi-Disciplined Engineer Operational Trainer

    Amuche Onyemelukwe
    Design, Code and Test

    Sidney Rodrigues
    Electrical Engineer

    Reunion Technologies
    John Weaver
    CEO

    Rochester Institute of Technology
    Dr. Edward Brown
    Assistant Professor

    Sandia National Laboratories
    Tameka Barrentine
    Senior Member of the Technical Staff

    David Gibson
    Principle Member Technical Staff

    Cedric Hawkins
    Technical Supervisor

    ScanTech Holdings, LLC
    Dolan P. Falconer Jr
    President & CEO

    SAIC
    Michael Edwards
    Project Manager

    Space and Naval Warfare Systems Center
    Deanna Jackson
    Electrical Engineer

    Charles Johnson
    Electronics Engineer

    Derik Leroi Pack
    Computer Engineer

    SRA International, Inc.
    Paula Ayomide Sottin
    Project Manager & Site Manager

    Tech Corps Ohio
    Lisa Chambers
    State Director

    Texas Instruments
    JC Brown
    Test Engineering Manager

    Russell Byrd
    Analog & Mixed Signal IC Designer

    David Jarrett
    Silicon Application Manager

    Matthew Malcolm
    Test Development Engineer

    Tsega Solomon
    Senior Systems Engineer

    The Aerospace Corporation
    Terita Norton
    Senior Member of the Technical Staff

    The Boeing Company
    Jamie Haynes
    Mechanical & Structural Engineer

    Delano Lewis
    F-15 Mission Processing
    Situational Awareness Embedded
    Software Engineer 1

    Obinna Orjih
    ACDP Deputy Software Architect
    F-15 Mission Processing

    Jerry Turley
    System Engineer

    The Johns Hopkins University Applied Physics Laboratory
    Lauren Baron
    System Engineer

    Eric Chang
    Signal Processing Engineer

    Hui Men
    Computer Scientist

    Naim Merheb
    Communications Systems Engineer

    The MITRE Corporation
    Eugene Mwendwa
    Senior Software Systems Engineer


    The Vanguard Group
    Monique Berry
    HRIS Test Manager

    True Broadband Networks
    William Wells, Jr
    President

    Turner Broadcasting System, Inc.
    Timothy Fordham
    Systems Engineer

    D Quincy Johnson
    Director, Technical Operations
    & Emerging Distribution Platforms

    Tybrin Corporation

    Laquandis Baldwin
    Software Test Engineer

    US Air Force
    Darryl Holmes
    Process Analyst

    Capt Jermaine Sailsman
    Executive Officer to The Director

    US Air Force Lab Munitions Directorate
    Carla Willis
    Electronics Engineer

    US Air Force Research Laboratory
    Capt Rico Cody AFRL/RIGD
    Chief of Tactical Data Links Section
    Information Directorate

    US Army
    Bradford Steed
    Research Structural Engineer

    US Army CERDEC
    Adam Webb
    Team Leader

    US Army Corps of Engineers
    Sheree Castain
    Project Engineer

    Keysha Cutts
    Project Manager

    Charles Samuel
    Chief, Georgia Project Office

    Raymond Joseph McNeil
    Chief, Project Development Branch
    Baltimore District

    Durund Elzey
    Senior Project Manager
    New Orleans District

    US Army Engineer Research and Development Center
    Leslie Milton
    Computer Scientist

    US Army RDECOM-TARDEC
    Christopher Scott
    Electrical Engineer

    US Army Research and Development Center
    Dr. Tahirih Lackey
    Research Hydraulic Engineer

    US Coast Guard Headquarters
    Petty Officer Julius Bolding
    Coordinator, Information Technology Resource
    & Learning Center

    Katrisa Frederick
    Manager, Information Technology
    Resource & Learning Center

    US Marine Corps
    Rommel Simpson
    LVSR Engineer
    MARCORSYSCOM/LVSR

    US Navy
    Lt Cmdr. David Adams
    USS NIMITZ Reactor Training Assistant

    Jermaine Bailey
    Main Propulsion Assistant

    Lt jg Jason Brownlee
    Chemistry & Radiological Controls Assistant

    Naglaa Chemenju
    Naval Facilities Engineering Command (NAVFAC)
    Public Works Department, Washington

    Lt Janet Days
    Chief Engineer

    Cleotis Dean, ENC
    LCPO

    Lt jg Jade JoVaughn Ewing
    Civil Engineer Corps, Project Engineer

    Lt Cmdr. George Floyd
    Executive Officer
    DDG 100 USS KIDD

    Lt Cmdr. Robert Francis
    Surface Nuclear Detailer

    Lt Cmdr. Leslie Glosby

    Lt Victor Glover
    Test Pilot & Project Officer

    Chief Petty Officer Gibson Greene, Jr
    Auxiliaries & Training Leader

    Lt jg TJ Hines
    Division Officer

    Juan Hines
    Strategic Weapons Officer

    John Jackson
    Chief Engineman

    Justin Lacour
    Gas Turbine Systems Technician (Mechanical)

    Keisha Marable
    Engineer Officer

    Senior Chief Joesett Marrisette
    Senior Enlisted Leader
    COMDESRON 23

    Chief Petty Officer Thaddeus McCall
    Engineman (Surface Warfare)

    Djamal Pullom
    Executive Officer

    Chief Petty Officer HTC (SW/AW) Jeffrey Reid
    Repair Division Leading

    Lt Vance Scott
    Assistant Engineering Officer

    Atiim Senthill
    Company Commander
    Amphibious Construction Battalion TWO

    Lt Arprell Walker, II
    Reactor Control Assistant

    Lt Cmdr. Aaron Washington
    Main Propulsion Assistant

    Lt AS Williams
    Chemical & Radiological Assistant

    University of Michigan
    Alisha Diggs
    Graduate Research Assistant

    University of North Carolina at Charlotte
    Dr. Richard Souvenir
    Assistant Professor

    Vanderbilt University
    Dr. William Robinson
    Assistant Professor

    Warner Robins ALC
    Damon Brown
    Electronics Engineer

    ReplyDelete
  25. Jamani kabla hamjaanza kulaumu watu weupe kutokana na kuwepo na awards za Black Engineer of the Year tafadhali mngekaa chini mkajifunza mambo yanaendeshwaje ndani ya USA.

    Miaka ya nyumba ambapo mambo ya ubaguzi yalikithiri, uwakilishi wa weusi katika sehemu mbalimbali ulikuwa mdogo na wengine walikuwa hawapewi fair treatment na hizo jumuiya za kizungu, kwa weusi wakawa nao wanaanzisha jumuiya kama hizo ili ku-acknowledge na kuwazawadia wataalamu mbalimbali weusi. Ndio maana US kuna Black Lawyers Assoc, Kuna Black Engineers Assoc, Black Doctors Assoc,Congressional Black Caucus, Black Accountants Assoc na nyingine nyingi tu, na hizo jumuiya zote zimeanzishwa na weusi.

    ReplyDelete
  26. Sasa nyie ma-annons mnaosema yeye kuitwa black engineer ni ubaguzi... Kwahiyo hao ma-expert wenu vihiyo kutoka ulaya mnapowaita "wazungu" mnakua mnawabagua? Mtawabagueni kivipi wakati wao wanaishi Osterbay na nyie mnaishi Mbagala Kibaigwa ambako hakuna maji wala umeme? Think twice people!!!

    Barack Obama pia anaitwa 1st black president.. Na wala sio ubaguzi kama nyie mnavyofikiria. Angekua anabaguliwa just kwa kuitwa jina hilo je angeingia white house?.. Oh my god poor thinking will kill us Tanzanians.

    ReplyDelete
  27. Wadau mimi nahisi huyu mdau mleta mada (inawekuwa ni Eugene mwenyewe) alitaka kujua kama watu huwa wanafuatilia kile wanachoambiwa hapa kwenye kijiwe ama huwa wana kurupuka tu na kuanza kuunga mkono au kupinga. Kama kweli hilo ndio lilikuwa lengo lake basi nafikiri atakuwa amepata majibu. Kuna baadhi wamekurupuka na wengine wakaenda mbele zaidi. Kama hilo halikuwa lengo la mleta mada, basi nafikiri yeye mwenyewe amekurupuka bila kujua nini anachokisema. Kitu ambacho sio kizuri.Kwa mfano Kuna siku kwenye mtandao fulani tuliambiwa kiongozi fulani amefariki, kumbe ulikuwa ni uzushi mtoa mada alikurupuka kupost mada bila kufanya utafiti.Nimejaribu kukuza maandishi ya hii story ya Eugine (aliyoiweka chini ya hiyo picha) sijaona mahali popote ambapo wamezungumzia hiyo award aliyoitaja. Nilichoona zaidi wanachozungumzia hapo ni utundu wake wa kukorokochoa vitu, amesoma wapi na amefanyakazi wapi.Labda wadau wengine watakuwa wameona kitu cha ziada hapo.Hata hivyo story yenyewe bado ina utata (unreliable source of information), haioneshi imetoka website gani na wala haina jina la mwandishi.Michuzi tunaomba mleta mada atupatie data zaidi ili tuwe na uhakika na kinachoongelewa hapa

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  28. Anony wa February 17, 2009 2:06 PM, nafikiri urejee vyema kwenye sentensi hii,"Moja ya kazi ambazo amezifanya au kuhusika kuzifanya ni hii hapa kwenye kiunganishi hichi..."
    Kumbuka kuwa acknowledged ni kwamba ulishiriki katika hiyo kazi iwe kwa kutoa data, kufanya utafiti, kuusanya data, n.k.

    Ndio maana niliomba ufafanuzi juu ya hiyo tuzo yake.

    Next time elewa kabla ya kukurupuka na kuchangia.

    Mdau DD

    ReplyDelete
  29. NANI KAKUAMBIA WATAKATIFU WOTE NI WAZUNGU, INAELEKEA HUNA HATA CHEMBE YA ELIMU YA DINI YA KIKIRSTO, KWANI HUNA HABARI UGANDA KUNA MTAKATIFU, TENA HATA MOJA YA MAKANISA HAPO TANZANIA YANAITWA KWA JINA LAKI. WEWE NI WA SIASA KALI KILA KITU UNA-REFER KWA WAKRISTO. KWA TAARIFA YAKO WAPO KIBAO WATAKATIFU WEUSI KAMA MKAA WA AFRIKA.

    ReplyDelete
  30. US Blogger:)

    Huyu Jamaa kawapigeni Changa la macho. This award does not exist, and neither was the guy given the Award. MMEDANGANYWA

    US Blogger

    ReplyDelete
  31. Alute!
    those days in Ada Estate (Mbuyuni). Hongera,Umewakilisha. Salam kwa Benjamin, Kamwai and Kangaa.

    ReplyDelete
  32. KWELI WATU SOMETIMES TUNA AKILI FINYU!
    I WILL GUESS AWARD YA 'THE BLACK ENGINEER, LAWYER, ARTIST....ETC' IS CREATED BY FELLOW BLACK MEN FOR US BLACK PEOPLE TO BELEAVE THAT WE ARE MUCH BETTER-OFF THAN WE GET CREDITS FOR FROM OUR COUNTERPART.
    ITS INSPIRATIONAL TO HAVE BLACK PEOPLE UP THERE AS ROLE MODELS. WHETHER OR NOT THE GUYS AWARD IS FOR REAL, ITS NOT FOR ANYBODY TO JUDGE. ITS PROBABLY JUST MENT FOR BLACK PEOPLE (WATANZANIA) TO FOLLOW SUITE, BUT WHAT DO WE DO? DO WHAT WE DO BEST! CRITICISE AND WASTE HALF OF OUR TIME TO FIND OUT THE VALIDITY OF THE DATA. U KNOW WHY? BECAUSE US BLACK PEOPLE JUST DONT BELIEVE IN OUR SELF.
    BUT LET ME TELL YOU SOMETHING, WE ARE IN A NEW ERA, DONT EXPECT ANY BODY TO COME COLLECT UR PIECES. IF U DONT APPRICIATE UR SELF, WELL DONT EXPECT A WHITE MAN TO DO IT FOR U! YEH, WE SHOULD ALL BE COMPETING ON THE SAME STAGE (WHITES & BLACK.BUT THATS NOT THE WORLD WE LEAVE AT, THE STAGE AINT JUST FAIR. BUT WE DONT SIT ON OUR BOTTOMS DOWN BLAMING THE WHITE MAN FOR NOT GIVING US AN OPPORTUNITY!!!
    ITS THERE FOR THE GRABS, GET UR ASS UP AND GRAB! AND IF U CAN'T, JUST SHUT UP AND LET THOSE WHO CAN DO IT AND INSPIRE OTHERS.
    WELL DONE EUGENE, WELL DONE BARAK OBAMA

    ReplyDelete
  33. Naona wauni kwenye globu ya jamii wanarukwa na akili.

    Bila kutaja Joni mashaka ni kama vile comments hazijawekwa, sasa hapa ni wapi na wapi?

    Sasa hapa anahusika na nini. Majitu mengine bwana

    ReplyDelete
  34. Mhhh yaaani kna watu haters kuliko maelezo eti hakuna award kama hii!! wee mtu unashinda kwenye madouble work huko utajua saa ngapi award zote zinazotlewa america!! Hebu acheni chuki mtu ka achieve anahitaji pongezi thats it kama amedanganya hiyo ni shauri yake na roho yake just take his world and be inspired you won't have anything to lose....BIG UP EUGINE

    ReplyDelete
  35. Thats what i like to see in this world.YES WE CAN.
    You also can do something, for a change.

    ReplyDelete
  36. It is a great achievement. I was there too. I have a request though. The list has been reproduced on this site, which might affect privacy of others [Name, place of work, and duties are listed]. Would you please consider removing the list of award recipients from this blog?

    Thank you, M

    ReplyDelete
  37. It is a great achievement. I was there too. I have a request though. The list has been reproduced on this site, which might affect privacy of others [Name, place of work, and duties are listed]. Would you please consider removing the list of award recipients from this blog?

    Thank you, M

    ReplyDelete
  38. I forgot to add, especially military personnels information too.

    Thanks, M

    ReplyDelete
  39. tujue ya kwamba hata kama weusi sisi tunafanya mambo ya ukweli na wao wanajua ni haki lakini dharau kwao ipo hivo tusidanganyike hawapendi tuwe sisi wakwanza ila iwe wao mie naona kabisa kama wangekuwa mungu wao basi waneamua weusi watoke duniani wabaki wao
    tuangalie tunakula kwato za mbuzi ili hali hatuna meno.....
    black forever iff

    ReplyDelete
  40. Problem ya story hii ni wazazi wametoka wapi? Hawana majina? Je kama ni wadiplomacia walikua wana fanaya kazi Embassies zipi za tanzania? UN or what? The guy does not give any details about his parents and which part of Tanzania he comes from.Does he think people are that stupid? Muchuzi give us more details.

    ReplyDelete
  41. AnonymousJuly 21, 2009

    its funny hahahahaha funny!jamani watu bado wabaguzi kumbe.then mtanzania ana shangilia!mtu mweusi kawa mshindi eeeh!kuna zaidi ya ma engeernear 100 weusi wame fanya kazi miaka 5 ilipita?kwa nini asiwe tu engeenear of the year.au basi fifa wange weka black player of the.its doesn't make sense.how stupid are we Tanzanians crap.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...