faroukh karim wa itv na radio one zenji na mie tukiwa na samba mapangala, mwanamuziki mashuhuru wa congo anayeishi washington dc kwa sasa. yeye pia amesema ni mpenzi wa bwawa la maini kama sie. huyu faroukh kwa miaka zaidi ya kumi sasa amekuwa ripota mahili wa habari za zenji, na kwa kweli alivyo na juhudu anastahili tuzo kwa kuiweka zenji katika ramanisamba alikuwa ni mmoja wa wanamuziki nyota toka kila pembe ya dunia waliokuwepo kutumbuiza kwenye tamasha la sauti za busara ambalo maonesho ya muziki yameisha rasmi usiku wa kuamkia leo. kesho ndiyo tamati kwa bonge la beach party huko kendwa rocks


Watu wengine bwana! Timu zote za mpira duniani unaenda kushabikia kijitimu? Wana-Arsenal mpo?
ReplyDeleteka misoup hiyo fulana imekupendeza sasa ndio inabidi ichukue nafasi ili ile the fulana yetu ile ya nanii ipumzike.
ReplyDeleteCote d’Ivoire name squad
ReplyDeleteHOSTS Cote d’Ivoire have named a 23-man squad, the Elephants, that will take participate in the African Nations Championship (CHAN) finals kicking off on Saturday.
The list includes three goalkeepers, eight defenders, eight midfielders and four strikers.
Cote d’Ivoire’s national football squad manager, Georges Kouadio, who named his players following several training camps, declared that he had chosen the best players of the moment.
During the competition, meant for players in the local leagues in Africa, Cote d’Ivoire will play in Abidjan in the same group as Senegal, Tanzania and Zambia.
Tanzania’s final team for the Abidjan finals is expected to be named tomorrow, according to Tanzania Football Federation (TFF) secretary general Fredrick Mwakalebela.
Cote d’Ivoire’s squad:
Goalkeepers -- Christian Fabrice Okoua, (Africa sports), Vincent de Paul Angban (Asec), Abdoul Karim Cisse (Issia Wazi).
Defenders -- Mansou Kouajou Amoro Junior (Stade d’Abidjan), Florent Saoure (Stade d’Abidjan), Georges Eric Bile (Stade d’Abidjan), Nicaise Aristide Ngoran Kouassi (Africa Sports), Dieudonne Bohou (Sewe de San Pedro), Sylvestre Nene Bi Tra (Sewe de San Pedro), Ruffin Ngouan Konan (Africa Sports), Hamed Herve Diomande (Asec d’Abidjan).
Midfielders -- Aboubacar Diomande (Stella Club), Blaise Dago Adou (Sewe de San Pedro), Elysee Irie Bi Sehi (ES Bingerville), Jean-Michael Seri (Africa Sports), Hilaire Guehi Kouko Djedje (Sewe de San Pedro), Jean-Paul Kesse Mangoua (Asec), Acihelou Krecoumou (ES Bingerville), Alassane Karamoko (Asec).
Strikers -- Frank Arnaud Guedegbe Corbin (ES Bingerville), Jacques Alain Tano (Stella Club), Moise Valery Zegbe (ES Bingerville), Charles Dje Bi Trazie (Sewe de San Pedro).
source:Thisday
Farouk Karim ni mtu mmoja poa sana, hana majivuno, hana makuu na ana uwezo wa hali ya juu wa ku present habari.
ReplyDeleteMichuzi naye ni mtu very alright, last time nimeonana na Michuzi ilikuwa miaka 3 iliyopita pale Mnazi Mmoja tukapiga ka story ka kupoteana kwa miaka kama 5 hivi.Kulikuwa na maonesho ya sanaa.
Hii picha mumenikumbusha mbali kwa kuwaona watu wawili maarufu lakini simpo sana.
'Nikiripoti kutoka ZAnzibar, mimi ni Farouk Karim wa ITV'
ReplyDeleteAsante Farouk
Nani anaweza kutukumbusha haya hapa ni maneno ya nani?
'Wasikilizaji, hapa uwanjani watu ni wengi, wengi, wengi kwelikweli'
Naomba jibu
Mi sina wivu na kichi kibwawa cha maini (sijui ndio nini kujiita kibwawa cha maini? haileti maana kilugha) lakini wivu wangu uko katika kabumbu la tanzania.
ReplyDeleteHivi nyinyi manahabari mahiri mna uzalendo kweli na kabumbu la bongo?
maana bado nawakumbuka wakongwe kina marehemu abdul Omar Masoud pamoja na mzee wa macharanga. Hawa walikuwa wakereketwa kweli kweli wa kandanda la huko nyumbani. Walijulikana hasa timu walizoshabikia. Nyinyi wenzetu kulikoni?
Kuna lolote mlipatalo mnaposhabikia soka la ugenini? Iwe nini?
Na inakuwa tuu mach sasa, hata ze flanaz ya jamii inawekwa kando.
wanahabari nyinyi hii imekaaje?
mnachefua bwana!
mndengereko wa Ukerewe
Mr. Farouk Karim, Someone is trying to locate you please use this email to be connected to that special person. remember Oct. 1, 1989.
ReplyDelete