Chupa ya Castle Premium Lager katika nembo mpya
Bosi wa masoko wa TBL David Minja akizindua nembo mpya ya Castle Premium Lager hoteli ya New Africa, Dar

Bosi wa masoko TBL David Minja (kulia) na Meneja wa bidhaa TBL Martha Bangu wakizindua rasmi nembo mpya ya kilaji cha Castle Lager. Nembo hiyo imebadilishwa na kuboreshwa ili kukidhi viwango na soko





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Duu! mate yan'toka!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Watu wengi wamekuwa wakiisoma hiyo kama KASTO, Balozi wa Zein naomba nitofautiane nao hiyo inasomeka kama KASO. Kwa hiyo hata ile timu ya kwa bibi ni Kaso, washabiki wa mpri utwasikia wansema kasto imechapwa mabao mawili na Man, sio sahihi waseme Kaso.

    ReplyDelete
  3. mr Mbongela kwahio ni sawa kusema KASO imeichapa liverpool bao mbili bila???

    ReplyDelete
  4. AAAH miee nataka utamu wa ndani picha sina hata muda wa kuicheki

    ReplyDelete
  5. MBOGERA, HUONDO UTUMWA WA AKILI, ANAVYOTAMKA MWINGEREZA BASI NAWE,UTAIGA SANA, LAKINI NDO TUNAVYOTAMKA NA TUTAENDELEA KUTAMKA HIVYO.WEWE SI UPO UINGEREZA,TAMHA KAMA WAO.
    UKIITA KESTO, KASTO, NI SAWA TU, LAKINI SIO KASO.TANZANIAN ENGLISH.

    HIYO BIA UKINYWA INAONGEZA NGUVU YA MAMBO FULANI, NAFIKIRI HAWAJABADILI KILICHOMO.

    ReplyDelete
  6. JAMANI NISAIDIENI,MBONA KILA NIKISOMA MAMENEJA WA MAKAPUNI HAYA MAKUBWA YA BIASHARA HUWA KAMA WAMETOKEA MKOA MMOJA??AUNI MIMI TU NAONA HIVYO?!KUNA TATIZO GANI HAPA?

    ReplyDelete
  7. Uongozi wa TBL Moshi unanata sana na wana uchoyo wa kufa mtu
    Mbona zinduzi kama hizi hatuzioni huku??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...