Ndugu WANAJUMUIA,
Kutakuwa na kisomo/DUA nyumbani kwa mfiwa Bwana Miraji Malewa siku ya
jumamosi(FEB/14/2009) saa 11jioni (5:00PM)kwa ajili ya msiba wa mama yake mzazi kilichotokea juzi nyumbani Tanzania.
Tunaombwa kufika na kumfariji mfiwa na kufika kwenye shughuli hii, vile vile akina dada/mama tutayarishe chakula cha shughuli na kina kaka/baba
vinywaji baridi pamoja na maji kama ulivyo utaratibu wetu.

Tunaomba ushirikiano wenu
Daudi Mayocha
Anuani ni,
4268 BELLE PARK DR.
HOUSTON TX 77072
Cell Phone -----832-741-4452
Home Phone--281-575-6887

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mzee Michuzi, asante kwa uduma yako kwa jamii. Mimi napenda kutoa pole kwa wafiwa wote. Ila nimeona jina la Malewa nikaona huyu aatakuwa ndugu yangu pasipo kujuana. Yeye ni muislam mimi ni mkristu, na naitwa kwa jina la kinyumbani katoto Malewa, kama kuna uwezekano naomba huyu ndugu Malewa tuwasilianae kwa mail hii diksonshirima@yahoo.it

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...