Home
Unlabelled
libeneke la valentine reading
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama obama kaweza na nyinyi mtaweza? kipi hicho alichoweza obama ambacho nanyi mtaweza? domo jumba la maneno
ReplyDeletekaweza kutawala amerika,,,so nao watazaa watoto na mithungu ili ije itawale,so bibiz like obama ndo maanake wataweza,,,
ReplyDeletehahahahaaaa
mnapo sema wanawake wa reading mnamaanisha nini? sio wanawake wote waliokuwa reading wanamuda huo mchafu andikeni rugha ya kueleweka. upumbavu tu kama hamna kazi rudini vijijini mkalime.
ReplyDeletemnamlinganisha obama na wanawake, amewambia yeye ni mwanamke, au ameanzia madisco, mliondika ilitangazo mnaonekana kabisa shule aijapanda, nawaomba mfikilie kwanza kabla ya kuandika.navile vile muende shule.
ReplyDeleteHongereni sana wana Reading kwa kuweza kuunganika na kufanya shughuli hii katika siku hii muhimu. Mimi napenda sana nikiwaona wanawake wamekaa pamoja wakishirikiana kwa mambo ya maendeleo. Kuna mtu hapo juu kasema eti huu ni ujinga. Hujui hii ni biashara?? Wewe usiofanya upuuzi shughuli yako ni nini. Watanzania jamani tuelimike. Huyo anaeongea kuwa hawa hawajaelimika una degree ngapi wewe??
ReplyDeleteWatu wakifanya mambo ya maendeleo mnatukana, wakianza majungu mnatukana. Come on Watanzania tumewachoka to be honest, especially watu wa Reading, u make me sick to the core of my bones.
Hongereni sana Wakinamama endeleeni na moto huu, nitawapa full suppory always. well done.
Mimi nitahudhuria hiyo Valentine Day ya Wakinamama. Duh tena ni wakinamama, mbona na mie naweza kupata bahati ya kuwa na Special Valentine siku hiyo jamani.
ReplyDeleteWakinamama mnatufurahisha, sisi wakina baba siku hizittunakuwa tumepumzika tukijua Wakinamama wanajua mamboz nao siku hizi. I hope hao wambea wa Reading watakaa kimya this time, na kuiga mfano wa hawa wanawake wachache walioamua kujikwamua. Naomba kuuliza hivi waandaaji ndo hicho Kikundi cha Wana ATWID? Maana kuna totoz huko.
Mimi pia nakuunga mkono, nitakuwa huko Reading. Nasikia kuna totoz huko balaa. Mashallah wameumbika wana Reading. Lakini nikija huko inabidi nivae kofia wasije wakanoitoa kwenye utamu bure, maana kuna midomo michafu sana huko Reading.
ReplyDeleteOngereni sana kina mama wa reading keep it up waachane hao wanaosema mkalime hawana akili tena wapuunzi jamni muendeleee kushirikiana hivyo hivyo , hao wanasema mbona hao hatujawaona wakifanya kitu kama hicho tafute hela kina mama hayo ni meendeleo. reading Oyeeeeeeeeeeee kina mama Oyeeeeeeeeeeee.
ReplyDeletena nyie mnashoia sana sasa ndo nini icho! mwee mimi nyoo sina hako kamuda cha kufanya hayo mambo
ReplyDelete