kikundi cha ngoma za utamaduni kikitumbuiza na wadau wakicheza mdundiko katika kusherehekea ujio wa kiongozi wa mabohora duniani, Dk. Syedna Mohamed Burhanuddin ambaye yupo katika ziara ya siku kadhaa nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Nadhani nao wanajivunia UTANZANIA wao.ikiwa hivyo ndio vizuri kila mtu kujivunia pale unapoishi na kupapenda, na kudumisha upendo na mshikamano bila kujali tofauti zenu za rangi au kabira au dini,kwa kuwa wote ni binadamu na tunaishi wote kama binadamu, wenye kuweka misingi ya maelewano bila ubaguzi.

    ReplyDelete
  2. Ujinga gani huo jamani?wala hawapendezi bali wanaonekana kama wacheza sinema wa bollywood...msituaibishe nyie!!!

    ReplyDelete
  3. Ujinga gani huo jamani?wala hawapendezi bali wanaonekana kama wacheza sinema wa bollywood...msituaibishe nyie!!!

    ReplyDelete
  4. Mabohora manake nini plz? labda kwa neno lingine au lugha nyingine...

    ReplyDelete
  5. Mabohora manake nini plz? labda kwa neno lingine au lugha nyingine...

    ReplyDelete
  6. Hao Mabohora wabaguzi sana. Si walikataa mtoto shombe Mbantu/Bohora azikwe kwenye makaburi yao!

    ReplyDelete
  7. Nadhani kuandika comment za ki-racist huwa hazifai. Bohora ni MTZ na ni haki yake kuwa MTZ na kula matunda ya nchi yake kama mtu mwingine. Nimeona watu wengi sana wanapenda kuwaandika sana WATZ wenye asli ya kihinndi, waliozaliwa Dar na kusahau wao wako nje UK, Sweden , Italy, Uturuki nk wanawaoa wazungu wa huko ili wapate makaratsi ya hizo nchi.Na hakuna anayewasema kitu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...