Home
Unlabelled
Malindi FC ya zenji mwaka 1973
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Utatufanya tuangushe kilio wakati huo ulikuwa ni wakati wa ArbaFogo wali pesa mbili wapi leo zilipendwa asante kwa picha ya hao wachezaji unanikumbusha nilikwa na umri mdogo nikipita mbele ya club ya malindi nikitokea kwetu mchamba wima nikiwa naelekea Rasilhema kuomba ngawira kwa wavuvi sijuwi kama bado watu imani ile
ReplyDeleteahsante mchangiaji wa kwanza kwa kunikumbusha ngawira, duh siku nyingi sikulitumia neno hili. ngawira ngarawa ya juma faraji
ReplyDeleteasante ,michu kwa taswira ya malindi umenirejesha mbaaali wakati huo maisha yalikua nafuu sana.
ReplyDeleteasante michuzi kwa post hiyo picha. ikiwezekana please post picha ya mabingwa wa football kutoka arusha chini mkoani kilimanjaro wachezaji wa timu ya
ReplyDeletebro michuzi hii ni vizuri kwa wewe kutuletea picha ka hizi. please jaribu kuangalia kama unaweza kupata picha za wale mabingwa wa football wa timu ya TPC tanganyika planting company arusha chini kilimanjaro ya miaka ya sixsties. usisahau picha za nyerere na mawaziri wake kambona, kawawa, kahama na wengine just after uhuru or before.
Ningependa utuwekee picha za Mwadui FC, Kiltex Fc, Tumbaku Fc, Bandari Mtwara, RTC Kagera na Kigoma, Ushirika ya Moshi za enzi izo. Ahsante
ReplyDelete