Kuna mchongo wa nondozzz (scholarships) kwa Masters na PhD nchini China.

Masters ni katika Field zifuatazo-Engineering (Mining, Mechanical and Electrical). Medicine (Clinical Stomatology, Radiology & Nuclear Medicine and Paediatrics), na Fishery.

PhD kuna Radiology & Nuclear Medicine, Tourism management, Rahabilitation Medicine and Physical Medicine

Deadline ni tarehe 27/2/2009

Habari kamili temebelea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nondo itakuwa ni za feki!

    ReplyDelete
  2. we anony.. wa 6:39 mpuuzi nini?unafikiri huku kila kitu ni feki? karibuni china wabongo ila kwa ushauri ulizeni mapema hapo wizarani kama kozi zenu zitakua kwa lugha gani, kama ni chinese bora kutotia maguu kabisa huku.

    ReplyDelete
  3. mmmhhh!!!!
    Huyo ndo HU JITAO

    Mdau kutoka BARIDINI, ila kutamu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...