Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Benchmark Productions Rita Paulsen akitangaza uzinduzi wa Bongo Star Search 2009 utaofanyika Februari 21 huko A-Taun kabla ya kuhamia mikoa mingine 11 katika kanda zote za nchi.
Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu mwaka huu ambapo jumla ya washindani 48 watateuliwa kuingia fainali hizo. Mwaka jana mshindi alikuwa Misoji Nkwabi ambaye pamoja na mkataba wa kurekodi pia alinyakua dola 15,000.
Zawadi ya mshindi wa mwaka huu bado kutangazwa lakini inasemekana Vodacom watamwaga lazi mardufu kama kawaida yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huyu dada nampendaga ile kinoma! hi ritha i love you baby

    ReplyDelete
  2. kwa kweli huyu dada hata mimi huwa nampenda sana. ana upendo sana pia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...