Asalaam Aleykum!
Dada/ Mama yetu Khadija Riyami (Mama wa Alami), anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi ( Mzee Abdullah Riyami) kilichotokea jana tarehe 24 February, 2009 huko nyumbani Tanzania.
Dada/ Mama yetu Khadija Riyami (Mama wa Alami), anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi ( Mzee Abdullah Riyami) kilichotokea jana tarehe 24 February, 2009 huko nyumbani Tanzania.
Msiba utakua nyumbani kwa Alamin, Address ni
2920 Bel pre Road,
Apt# 1A,
Silver Spring MD,
20906.
Kwa kutoa pole na maelezo zaidi wasiliana na Alamin,
Cel. 240-271-6615 au 301-460-4065.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi,
AMIN!

Inalillahi waina ilaihi Rajiun (Hakika yeye ametangulia na sisi huko ndo marejeo yetu)
ReplyDeletePoleni wafiwa na Allah awape moyo wa imani kipindi hiki kigumu na Allah ampe makazi mema inshallah.
innallilahi wainaillahi rajiun pole kwa kufiwa,yote mipango ya mungu,na kwake tutarejea kama alivyo tuleta duniani.
ReplyDeletesalim na chado poleni sana
ReplyDelete