Spika wa Bunge na Mbunge wa urambo Mashariki, Mhe. Samuel Sitta akikagua jengo la zahanati ya gereza la kilimo la Nsenda Urambo leo ambalo linaitaji ukarabati kwa ajiri ya kuhudumia magereza na kijiji jirani cha nsenda, anayempa maelezo ni muuguzi mkunga wa zahanati hiyo Fidea Mguto, na kushoto ni Mkuu wa Gereza Hilo SSP Jeremia Makaranga, mwenye suti nyeusi ni Mkuu wa wilaya ya Urambo Kassim Majaliwa. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kama tutabadirisha mfumo wa magereza na kuufanya wakazalisha mali kwa njia ya kisasa kama kutumia trekta katika kilimo Nchi hii haitasikia njaa wala majirani zetu maana tutakuwa na chakula cha kutosha.

    Nafikri Jeshi la Magereza lingespecialize kwenye Kilimo, JWTZ wafungue viwanda kama kile cha Nyumbu (Magari) waweke cha kutengeneza Boti (kule Navy - Kigamboni) hata kuunda ndege.

    JKT nao watafutiwe kazi kama viwanda vya Mbao, Utafiti na Mahospitali hata Kilimo. Majeshi ya wenzetu ndivyo yalivyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...