Mgeni rasmi Naibu waziri wa mawasiliano, utamaduni na michezo wa Zainzibar, Mh.
Mahmoud Thabit Kombo akishiriki katika mchezo wa kuvuta kamba katika tamasha la michezo lililoandaliwa na galileo tanzania katika viwanja vya leaders club wikiendi ilopita timu ya mawakala wa ndege iliibuka kidedea baada ya kuikandamiza kwa
magoli 3-0 timu ya mashirika ya ndege ya bongo.

mchezo wa kukimbia kwa kutumia magunia.
timu ya mawakala wa ndege wakivuta pumzi




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Enzi za Mwalimu hizo gunia tungeshonea nguo! Leo mnfanya michezo nazo. Kweli halinzuri Bongo!

    ReplyDelete
  2. Hebu muwe mnatafuta michezo ya maana,kama tenis, basket, kukimbia, kuruka viunzi nk,ambayo itawafisha mbali, na pia itawaongezea kipato na kulitangaza taifa letu,kama vile wenzetu WAKENYA. sio michezo ya magunia ovyooooooooooooooooo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...