Watuhumiwa Vinoth Praveer (kulia) na mkewe Komal Bhupendra wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar, tayari kusomewa mashitaka ya mauaji ya kikatili ya mbongo mwenye asili ya Kiasia Abdulbasit Abdallah majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. dahhhh washenzi kweli hawa majamaaa......serekali ya Tanzania...ichukue hatua kali kwa hawa mijamaa maana wamesababishaa kifoo cha kikatili ambacho hakistahiki na kutupa sura mbaya kwenye jamii yetu

    ReplyDelete
  2. hawa wahindi wachomwe moto kama walivyo mabanyani wenzao wanavychomana.....mee naona kama sio hawa mijamaa walomchinja but inaweza kua hawa wamewatuma mijamaa maana shughuli ilee lazma uwee na roho ya kikatili,,,,,na hawa mabayya wanaonekana wanakula dengu kwa wingi......

    ReplyDelete
  3. sura zao hazioneshi kama ni wauwaji, especially the lady.

    ReplyDelete
  4. Dahhh I can not belive watu wanameza ku post comments za Ubaguzi. hakuna tofauti kati makaburu wa Afrika kusini na wewe ...Na ni ukweli kabisa kwamba watu kama fikra ya ubaguzi like the ones above above mna sababisha ubaguzi duniyani...sio vizuri ku post hizo comments...you are sick man my friend

    ReplyDelete
  5. jamani hawa watu niyo waliofanya ukatili ule kweli jamani hawana hata huruma kabisa mmmmmm, poleni sana askari hii ni kazi ngumu kwakweli.
    sweety,
    Arusha,

    ReplyDelete
  6. nadhani kuna haja ya kutafautisha kati ya watuhumiwa na wauwaji. juweni kuwa hadi sasa, hao wananchi hawana kosa hadi mahakama ithibitishe kama ni wauwaji. ila wakithibitika kama ni wauwaji! hali ni mbaya sana, mana sura zao hazilingani na roho zao.

    ReplyDelete
  7. POLICE YA WAPI HIYO, WAUJI HAWANA PINGU MIKONONI, HUKU HATA WAKWEPA KODI HUTIWA PINGU WAENDAPO MAHAKAMANI, MTUHUMIWA WA KESI YOYOTE ILE HULA PINGU HUKU.

    ReplyDelete
  8. Bongo kuna uhaba wa kila kitu...mpaka pingu!

    Yasemwe yoooote, lakini imefika wakati sasa inabidi tuwe tunapewa maendeleo ya uchunguzi kwenye kesi za namna hii.

    ReplyDelete
  9. Pingu wanafungwa waswahili tu,kwani ndiyo wenye matatizo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...