
mamia ya washiriki wakiwa kwenye foleni ya kujiandikisha tayari kwa usaili

Kutoka kushoto majaji Master J, P-Funk and Elihuruma Ngowi wakiwa klabu ya Voice of Tabora (zamani Klabu Rufita) kwenye radio ya Voice of Tabora (VOT) FM 89.0 wakiongelea kuhusu BSS Tabora 2009.

Washindi wa BSS Tabora (wenye T-shirt nyeupe) kutoka kushoto: Shaban Mrisho, Leah Julius, Rajab Miraj na Kayombe Khamis wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Huduma na Bidhaa wa Vodacom, Elihuruma Ngowi (kati) mara baada ya kutangazwa kuwa washindi Jumapili, Mach 15, 2009.


ILE KESI YA MAUAJI YA WATOTO WAKATI WA SIKUKUU YA IDI KATIKA KLABU YA DISCO, YALIYOTOKEA TABORA ILIISHIA WAPI? NINAKUMBUKA BAADA YA MAUAJI KUTOKEA JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYA SHERIA VILICHEMAKA KAMA BIA CHAFU LAKINI BAADA YA MUDA VIKAWA FLATI! NDIYO KUSEMA KESI ILIYEYUKA? KWANI WANANCHI HATUJAISIKIA TENA MWAKA WA PILI SASA.
ReplyDeletewale wamiliki mpaka leo wapo rumande upelelezi unaendelea sema ni ukiritimba wa serikali tu mara file iko kule mara huku basi tu kila mtu aweze kujipatia ulaji ila ni serikali tu uchunguzi miaka, kuna uchunguzi gani hapo wizi mtupu!!!! mdau mkereketwa tbr au
ReplyDeleteMakao makuu ya asali duniani, nani ana bisha.
hawa huwa wanapanga mshindi hivi hawashangai washindi wao wote huwa hawawiki zaidi ya mwaka, wanakuwa flat
ReplyDelete