Home
Unlabelled
bongo tambarare...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mambo ya kichina hayo..
ReplyDeleteoceanic food store(restaurant)
400 meters from here!!!!
imekaaje hii?
mambo ya kichina hayo
ReplyDeleteoceanic food store
400m from here..
SEA FOOD RESTAURANT
ReplyDelete400 METRES AHEAD
Hilo BANGO kwa wanaojua kusoma tuuuu.
ReplyDeleteBONGO tambarale, mbona tangazo la babkubwa la mtelezo husemi
hicho kichina maana yake ni CAMBRIDGE TANZANIA ACADEMY na kwa wale wasiojua kichina na kiinglish wangewekewa 'akademi ya tanzania ya kembriji' hapo ningesema bongo tambarare
ReplyDeletehayo ni mabango mawili yakitangaza au yakielekeza huduma mbili tafauti. cha kushangaza hakuna tafsiri ya kiswahili katika mabango yote mawili.
ReplyDeleteKWA NINI WAWEKE KISWAHILI NA WALENGWA SIO WASWAHILI,? LAKINI HAISHANGAZI KITU,HIYO KITU IPO KILA SEHEMU DUNIANI, NI NGUVU YA BIASHARA ATAKAYO KUFANYA KUCHAGUA LUGHA FULANI,KWANGU HAINA TATIZO.
ReplyDeleteBango linasema kudadadeki zao waswahili.
ReplyDeletewewe anonymous wa March 18, 2009 6:15 PM unamdanganya nani hapa? uko nchi gani? umeona nchi gani watu wakaweka matangazo kwa lugha ya nchi nyengine?
ReplyDeleteMafunzo Kambdaraja Tanzania hahaahahahah au nimekosea tuweke sawa.
ReplyDeleteKaka Michu hii imekaaje?
ReplyDeleteMASEJI ZA KICHINA CHINA SALAMA BILA SUMBUFU FUATA MSHARE
mimi nahisi karibu paka na mbwa watakuwa adimu bongo, you watch!!!
ReplyDeleteanon. mar 18, 6:15. Uzalendo wako hafifu.
ReplyDelete