Michuzi eeeeee.....
Ebana hili bango lipo pale kwenye kona karibu rose garden unapoingilia peace of mind (tpdc flats) na ni karibu na kiota kipya cha La Fiesta.
naomba kuuliza...wenzangu mnapata meseji?
Aama kweli bongo kila kitu kinawezekana
mdau ael.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. mambo ya kichina hayo..
    oceanic food store(restaurant)
    400 meters from here!!!!
    imekaaje hii?

    ReplyDelete
  2. mambo ya kichina hayo
    oceanic food store
    400m from here..

    ReplyDelete
  3. SEA FOOD RESTAURANT

    400 METRES AHEAD

    ReplyDelete
  4. Hilo BANGO kwa wanaojua kusoma tuuuu.
    BONGO tambarale, mbona tangazo la babkubwa la mtelezo husemi

    ReplyDelete
  5. hicho kichina maana yake ni CAMBRIDGE TANZANIA ACADEMY na kwa wale wasiojua kichina na kiinglish wangewekewa 'akademi ya tanzania ya kembriji' hapo ningesema bongo tambarare

    ReplyDelete
  6. hayo ni mabango mawili yakitangaza au yakielekeza huduma mbili tafauti. cha kushangaza hakuna tafsiri ya kiswahili katika mabango yote mawili.

    ReplyDelete
  7. KWA NINI WAWEKE KISWAHILI NA WALENGWA SIO WASWAHILI,? LAKINI HAISHANGAZI KITU,HIYO KITU IPO KILA SEHEMU DUNIANI, NI NGUVU YA BIASHARA ATAKAYO KUFANYA KUCHAGUA LUGHA FULANI,KWANGU HAINA TATIZO.

    ReplyDelete
  8. Bango linasema kudadadeki zao waswahili.

    ReplyDelete
  9. wewe anonymous wa March 18, 2009 6:15 PM unamdanganya nani hapa? uko nchi gani? umeona nchi gani watu wakaweka matangazo kwa lugha ya nchi nyengine?

    ReplyDelete
  10. Mafunzo Kambdaraja Tanzania hahaahahahah au nimekosea tuweke sawa.

    ReplyDelete
  11. Kaka Michu hii imekaaje?

    MASEJI ZA KICHINA CHINA SALAMA BILA SUMBUFU FUATA MSHARE

    ReplyDelete
  12. mimi nahisi karibu paka na mbwa watakuwa adimu bongo, you watch!!!

    ReplyDelete
  13. anon. mar 18, 6:15. Uzalendo wako hafifu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...