
Je tukubaliane na huu mwelekeo wa wachina wa kuipiga chini dollar ya ki-marekani ama tuwatolee nje?
Mdau, USA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bro, Michu. Mimi nafikiri jamaa wapigwe chini tuuu maana hawa watu ni hatari sana yaani kama sasa Bill Gates mwenyewe anaumiza kichwa kwa software na operating system zake maana jamaa wana copy ajabu. Na kitu kingine hawa jamaa wanataka kuwazuga wamarekani maana baada ya muda kama itakubalika hili ujue kabisa wanatawala dunia
ReplyDeleteSi mwana uchumi lakini nahisi huyo gavana wa benki ya uchina kidogo kilaza. Ana maana IMF igeuzwe fully fledged banking system na dunia nzima ndi iwe nchi yake? Interesting, Bongo utakuwa mkoa kama US and the budget? God knows!
ReplyDeleteSasa kwani wachina wakitawala dunia kuna noma gani? kama mimi ningekuwa ni m-marekani kama nyinyi basi suala hili lingeniumiza kichwa. Dunia ikitawaliwa na m-marekani mwafrika ana-slave, ikitawaliwa na mchina mwafrika ata-slave, ikitawaliwa na mu-iran, mwafrika ata-slave. Mimi kama mwafrika hii hainihusu.
ReplyDeleteTunatakiwa tupange mikakati ya Afrika kutawala Dunia na siyo kupoteza muda kumlinda m-marekani asitawaliwe na mchina, au mu-iran asitawaliwe na mi-israel.
NAKUBALIANA KABISA NA ANONY WA KWANZA.
ReplyDeleteHICHO KITU HAKITOTOKEA KAMWE KWANI NCHI ZA MAGHARIBI WANAIJUWA SANA NA KUIELEWA JINSI WACHINA WALIVYO WAOVU.
WACHINA NI WAHALIFU SANA NI ASILI YAO NI KIMYA ILA NI WAOVU.
HAKI ZA BINADAMU HAWANA, WANAUWA WATU WANAOPINGA SERIKALI.
WANACOPY NA KUUZA BIDHAA FEKI.
HAWAJUI NA WALA HAWAJALI UCHAFUZI WA MAZINGIRA NIWACHAFUZI WAKUBWA.
WANASIFA MBAYA ZA KULA UCHAFU KAMA NYAMA ZA MBWA PAKA FISI SIMBA WANAKULA KILA KITU MPAKA NYAMA ZA BINADAMU.
huo ndo mwanzo wa mwisho wa dunia. huo ni mpango na uchina imetumiwa tu.
ReplyDeleteWabongo kwa kuchanganya mambo bwana! na kung'ang'ania suala lisilo na maana! mada hapa ni kuanzishwa sarafu nyingine isiyokuwa Dola ya kimarekani ili itumike katika uwanja wa kubadilishana fedha wa kimataifa, suala ambalo limependekezwa na Uchina, na sio kwamba uchina inataka pesa yake itumike. Hamsomi magazeti nini au kusikiliza redio ?
ReplyDeleteIwapo uchumi wa marekeani umeanguka na unaendelea kuanguka basi hilo linawezekana, kwani kuwa super power ni uwezo wa kifedha na kiuchumi, sio ukubwa wa vitongoji na maneno mengi. Ni uchumi tu baba, sasa hata Uchina au nchi yoyote hata irani uchumi wake ukiizidi Marekani, badi Marekani inaweza kupigwa chini katika mambo mengi.
Hii inaonyesha uwezo mdogo wa kufikiri miongoni mwa waafrika. Wachina hawana historia mbaya na Afrika na wamagharibi hawana historia nzuri na waafrika. Lakini bado waafrika wanawaona wachina watu wabaya na wamagharibi watu wazuri.
ReplyDeleteIbigwe chini au isipigwe chini, `soko huria'litaamua,ni swala la muda. Kwasababu Mchina hajasema pesa yake ndiyo itumike,yeye kasema itafutwe mbadala,ambayo itasimamiwa sio na nchi bali na IMF, kwahiyo mwenye uchumi mzuri anawin, sisi Wafrika tutaendelea `kula vumbi'
ReplyDeleteHili suala kweli halina maslahi yeyote kwetu, atawale yeyote iz up to wao, sisi tunataka umeme wa uhakika,chakula cha uhakika, elimu ya uhakika,matibabu ya uhakika etc..na sio kumpigia debe mchina au mmarekani. haituhusu wabongo!
ReplyDeleteKuhusu wachina kula vyakula vyovyote kumbuka hawa watu wapo takriban billion 1 so km wata-base kny vyakula ambavyo tumevizoea lyk nyama ya ng'ombe,mbuzi,kuku etc watakufa njaa so inawabidi wale chochote ili waweze survive, Ndo maana utakuta wanakula mbwa,kenge,nyoka n.k
kwahiyo kny misosi tusiwalaumu sana.. ni hayo tuu.
Ni mimi,
Nisiyefungamana na upande wowote,
Chebby.
China wanapiga kelele tuu, hao wenyewe hawana hata kura mmoja ndani ya IMF, they don't even understand the vetting process inside the IMF. IMF/WB were created specific kusaidia American and British and not other wise, sasa huyu mchina anachopiga ni kelele.
ReplyDeleteKama una idea ya uchumi basi utakumbuka kuanzia kufa kwa Gold standard wachumi wa US and UK walikuna Bretton Wood city na kuanzisha system ambayo ili peg uzito kadhaa wa dhahabu uwe sawa na dolla 30+, hiyo system ilakaa hivyo mpaka ilipo anguka, then US and UK wakaanzisha hii system ya sasa... So, until watakapo amua kuanzisha systme nyingine, Lakini sio kwa influance ya Wachina.
China na kelele zake zote, quarter hii ameweza kuona jinsi uchumi wake utakavyo tumbukia kwenye recession sababu hakuna hot money zinazo ingia na kutoka kwenye masoko ya china. Na china uchumi umejengwa katika dhana ya kusafirisha = maendeleo ya uchumi, which is crazy economic theory. Kama soko lako la ndani haliwezi kuuza na kununu then in a long run matatizo yatakushika....
So mchina pia ajiandae maana TSUNAMI inaelekea Asia... Wale mliosoma mnakumbuka Asia Financial Crisis ya 90s ambayo ilipeleke uchumi wa Japan kwenye coma kwa zaidi ya miaka 10. Now get ready the do-gooder wont fix this.
Mchumi wa Texas
Maaandiko yanatimia ya UFUNUO wa YOHANA....Kasomeni.Mbije,A
ReplyDeleteWEWE HACHA USHAMBA ULIO KISIRI NINI
ReplyDeleteMAREKANI NA NINI EUROPE AU ASIA NINI UNAFAIDIKA WEWE KAMA MTANZANIA AU MUAFRICA KUMBUKA KIPINDI KILE UK IKO JUU NINI WALISADIA TANZANIA KAA UJUE HAKUNA MZUNGU HATA MMOJA MWENYE KUSADIA AFRICA IPATE MAENDELEO ILA NI WIZI MTUPU KAMA WAZO HILL, KAMPUNI YA MADINI TOKA CANADA NAMENGINE MENGI
CHA MSINGI NI KWAMBA SISI KAMA SISI TUWEKE MIKAKATI MIZURI YA KIUCHUMI,USA ANATOA MSAADA LO MATIRIO ZOTE ANASHINIZA ZITOKE KWAKE SASA KIWANDA KIPI KITAFAIDIKA CHA TZ AU USA.HAYA TU
Nakubaliana na Anony wa 11:53 am, hata kama wakorea wakitaka kutawala, sisi kama waafrika hatufaidi kitu, cha msingi ni viongozi wetu kupanga mikakati ya muda mrefu ili Africa nayo ije itawale dunia, hapo ndo nasi tutaonja tamu ya maisha
ReplyDeleteWachina sasa wanataka kuingiza "Kiwiliwili Kizima" ndani ya Hema jangwani!Wachina hapa wamenikumbusha hadithi moja moja ya Ngamia aliyekuwa akiungua juani,na ndipo kuunusuru mwili wake akasogea karibu na lilipokuwepo Hema la Mfanya Biashara mmoja.Ndipo,kwanza alipobaini kwamba nafasi ndani ya lile Hema ni finyu,haitatosha mwili wake mzima pamoja na makorokoro ya yule Msamaria Mwema,ndipo alipomwomba yule Baba amuonee huruma kwa jua lile kali,na amruhusu aingize Kichwa chake tu ndani ya lile Hema ili kuokoa maisha yake!Yule Msamaria Mwema kwa kuliona jua lilivyo kali,akamruhusu Ngamia aingize japo Kichwa chake tu ndani ya Hema kwasababu nafasi haitotosha kwa wote wawili kuwemo ndani ya Hema kwa wakati mmoja.Baada ya muda,kwa kukosa shukrani yule Ngamia akaona kile Kichwa tu peke yake HAKITOSHI shurti mwili wake mmzima uingie ndani ya Hema.Ndipo alipoanza Vitimbwi vya kumtisha na kumnyanyasa yule mwenye Hema,kwamba akubali asikubali lazima sasa aingize mwili wake wote ndani ya Hema kwasababu joto la kule nje ni kali kupita kiasi.Mwenye Hema alipokataa,ndipo Ngamia alipoamua kutumia Maguvu yake sasa na hatimaye "kumrushia mateke" yule mwenye Hema na kumfurumisha nje na kulitawala lile Hema kama lake.Laiti,yule mwenye Hema angemkatalia Ngamia tokea mwanzo kwamba nafasi ndani ya Hema ni ndogo haitatosha,kwa hiyo akatafute pengine pa kujisetiri,yale maafa yasingemkuta yule mwenye Hema.Hapa Wachina wanataka kutikisa Kiberiti waone Wamarekani watachukua hatua gani au watatoa tamko gani.ANGALAU KWA SASA LAZIMA TUWATOLEE NJE WACHINA,BADO HAWAJAKOMAA KITEKNOLOJIA KIASI CHA KUTOSHA KUANZA KUTOA MAPENDEKEZO HAYO YA KUTAKA KUITOSA DOLA YA MAREKANI.Wamarekani taka usitake bado wana nguvu kubwa sana ya kuiongoza Dunia katika nyanja za uchumi,sayansi na teknolojia.Mengi yanayofanywa na Wachina ni kwa kuiba na kunakiri teknolojia ya Wamarekani au Nchi za Ulaya Magharibi wakati mwingine bila hata ya ruhusa au kibali chao NA KUIFANYA KAMA NI UGUNDUZI WAO HALALI.There is no way The Chinese can ever ever overrule American Hi-Tech,not in the next 100 years!Wasitake kutuletea za Kuleta hapa na kuitumbukiza Dunia katika Mtafaruku Mkubwa wa Mapambano ya Kiuchumi.Nchi zitakazo umia zaidi katika mfarakano huo ni nchi za bara la afrika na nyingine masikini zaidi Duniani,kwasababu hazina uwezo wa kiteknolojia kuweza kujitegemea kwa kiwango kikubwa kama vile wao Wachina wanavyo jidanganya kwamba wataweza kujitegemea!Hivi sasa sehemu kubwa sana ya Akiba ya Fedha za Kigeni za Uchumi wa China ziko katika pesa ya Dola za Kimarekani!Wamarekani wakiamua tu kuwafanyizia,basi hicho kiburi chao cha kuikopesha fedha nyingi sana Marekani "KITA WATOKEA PUANI!".this is my sincere perception of the anticipated events.Mambo bado hayaruhusu kwa ulimwengu wa tatu kuitosa Dola ya Marekani na kuibadili kwa kuwa na Sarafu Mpya ya Dunia badala yake,sijui Sarafu hiyo itadhibitiwa na nani,ni IMF nyingine mpya au hii ya sasa tunayo ifahamu?Pendekezo la Uchina kwa mfano likikubalika na nchi masikini duniani,lina hatari ya kuigawa Dunia katika Mapande Mawili ya Kiuchumi,moja likiwa lile la Uchina kama Kinara au "Marekani Mpya ya Nchi Masikini Duniani"pamoja na nchi zote Masikini Duniani;na Pande lingine likiwa lile la Marekani yenyewe na Nchi zote za Ulaya na zilizoendelea zaidi kwa Viwanda hapa Duniani.Kitu muhimu kwa maoni yangu,angalau kwa sasa,ni kuendelea kupigania maboresho zaidi katika mahusiano ya kibiashara duniani;na kwa Kanda za Kiuchumi (regional economic blocks) kuanza ktumia Sarafu Moja kwanza baina yake,na polepole hapo baadaye ndipo hizo economic blocks chache zije zibuni uwezekano wa kuwepo kwa Sarafu Moja ya Dunia mmbadala wa hiyo Dola ya Wamarekani.Wachina tayari wameshashikwa na mchecheto wa kutaka kuitawala Dunia kiuchumi na kiteknolojia baada ya kunogewa na mafanikio machache waliokwisha kuyapata kwa kutumia migongo ya Wamarekani na Waingereza.----tonnie,the only!--------
ReplyDeletenaanza kuamini mkuu wa wilaya,kuwa wananchi wako wengi,upeo wao ni mdogo sana, mungu saidia tu kuwa wanaifikia internet,ambayo tunaweza kuita ni ajari ya kimazingira.
ReplyDeletealiyepost hiyo kitu kama pia atakuwa alielewa ,anaakili sana,lakini hapa sio mahari pake kwa uchakingiaji.
wachumi wanafahamu namaanisha nini.
kwa kujifurahisha kama sehemu ya kujamiiana[socialization]mjadara uendelee hapa.
hapa mie si coment,kwani sitaeleweka.
Mdau wa Texas inaonekana huwatakii jema wachina we! na unavyoitetea Marekani utafikiri unalipwa! mpaka unawaombea Tsunami wenzako? ama kweli kuishi Marekani kidogo kidogo kunakubadilisha na unaanza kuwa na roho ngumu kama ya kina Bush.
ReplyDeleteUsisahau kuwa mfumo Marekani na Uingereza ya sasa sio zile za mwaka 49, nchi hizo mbili kwa sasa zinakumbwa na mgogoro wa kifedha na kiuchumi ambao hazijawahi kutumbukia kwa kipindi kirefu.
Ingawa China haina kura ya turufu lakini tayari Russia imeshakubaliana na pendekezo lake, na si unajua, Marekani na matatizo yake kibao ya nje na ndani, haiwezi kupambana na Russia hivi sasa.
kalia hayo hayo huko Texas, usije tu hata ukakosa mshahara wa kubeba boksi.
Mdau Bongo.
@ all
ReplyDeleteI've seen all your comments, They are very attractive in equal measure but remember every thing now is debatable...China might have a point which seemed awkward but before criticing China, try to learn what NEW WORLD ORDER mean, then you'll understand what China is trying to figure out.
I'm not in favour of single currency but i'm sure China are trying to be ahead of World superpower by bringing their hiden agenda in air.
If you could truly learn what UK under Godorn Brown is trying to advocate then debate about Chinas' proposal should be looked in different way compared to how we're responding to the matter.
I know it is hard for everyone to think as it is hard to swallow but i'm sure the World has gone from what passived impossible to be possible, be it in Euro currency to civil partnership and in the end we are all in for it.
These other things are not so attractive but as far as the Global crisis is concern, they are debatable.
I remember when Euro was about to be introduced, these unthinkable things as alot of people tried to opinion above were put on the table and were resolved and now there is a talk of UK joining the EURO currency, they are trying to dismiss it but you can see how the POUND looks today compared to EUR...it's appalling.
So is not the question of dismissing the idea but is the question of arguing by puting counter argument which is professional and put consideration to the World Interdependance and if you go in details you'll find that China and US are depending on each other more than before AD MORE THAN MOST NATIONS IN THE WORLD.
Sorry for taking your time bro Michuzi
Iwavyo vile nafasi ya shilingi ya Tanzania iko pale pale!
ReplyDeleteukisoma mawazo ya baadhi ya Watanzania humu, utagundua kuwa wazungu waliwaroga. Kama yangekuwa ni katika Mahusiano basi, wazungu walitembeza limbwata sio la Kawaida!
ReplyDeleteAfrika; tukiwa na eneo kubwa la Ardhi na uwingi wa watu...nini kingine tunahitaji ili tutawale dunia kama Marekani. Ebu toeni maoni hapo vijana.
ReplyDeleteUnajua ukifuatilia mambo kwa ukaribu utaona empire kubwa kubwa zote zilivuma na mwishowe zikaparaganyika.Kumbuka British empire,juzi juzi hapa tumeshudia USSR nayo ikianguka.There is something in tells me that "it's now AMERICAN turn".Ni mtizamo tu.
ReplyDeleteMkulima-kijijini Gezaulole.
Whats going on here??
ReplyDeletesio wachina peke yao waliyopendekeza dollar ibadilishwe na kuwe na standard mpya but ni mojawapo ya nchi na hawapendekezi hela yao ndiyo iwe standard bali wanataka a global currency just like europe walivyokuwa na euro na kuna tetesi kuwa america pia inataka kuwa na amero hela ya nchi za kimarekani meaning northern and southern american money.Back to topick The reason china inakubaliana na kupendekeza kubadilishwa kwa dollar standard ni sababu china imewakopesha wamarekani hela kibao na marekani is in very big debt to them and the dollar's value will continue to fall so it is not valuable to chinese anymore, to be paid their debt back in worthless money. Many european countries are also in favour of this including countries like russia and others and it is one of the proposals in the g20 meeting this april 2nd even america itself will want to change their currency and join some other currency once the dollar is so invaluable, I know it is hard for most people to comprehend but it will happen no matter what we all do and all those of you who dont think we africans have nothing to do with this you must be out of your minds our tanzanian money is pegged to the dollar and as the dollar becomes invaluable well our tanzanian shillings become even more wothless and this will affect our economy as well all the problems a normal tanzanian will go through in the coming future will be an indirect cause of the fall in this global economy going on right now and the poor are the ones who will suffer the most. Contrary to what most people want to beleive China is becoming a superpower their economy is thriving and they do not have any debt and their currency is thriving all countries will be affected with the fall of the dollar because they are all pegged to it and that is what china will go through as well but it will recover than most because they have savings, they export their own goods and their nation does not owe anyone anything, infact a lot of westerners are moving to asian countries right now and learning asian language because it may be the next superpower. Why do you think mrs hillary clinton has been visiting them often these past months it is because america owes them a lot and they are at their mercy and they are trying to negotiate a way to setlle the trillion of dollars that america owes china. China knows they cant pay them back and so they are negotiating a way to own investment like infrastructure and land in america in exchange for the debt. So its not a matter of who we would like the west or china its just a matter of money, economy and the bigger global plan and for your information this is not an accident the powers of the world have always wanted one currrency and a global bank so that they can control the world better so it was just a matter of time before they sink the dollar so they can have a reason to do so china is just a pawn in this whole thing and all the bad things that were going on in china is what these people have planned for the whole world china was a test country a modal for what they have in store for the rest of the world.And the rest of us well we are just going to be victims of what is going on, so there is no use to be on one side or the other its not like our opinions matter anyway, nobody asked us to vote or contribute to the decision it will be made regardless of what we think. What matters right now is to take care of yourselves and your loved ones in the coming hard times.
ReplyDeleteBaina ya China na Marekani US Dollar inajulikana kama MAD Currency au "Mutually Assured Destruction" Currency.
ReplyDeleteWakati Marekani ingependa kuona dollar inashuka dhidi ya Yuan Wachina hawatataka hivyo maana assasi zao nyingi ziko katika Dollar. Na pia ikishuka Wamarekani hawatanunua sana kutoka China.
Mmarekani anamuhitaji Mchina aendelee kununua asasi zake(Aendelee kumkopesha) la sivyo atakosa hela ya "Stimulus". Na akiikosa hela ya stimulus basi uchumi wa dunia ndio pwaaaaaaaa.
Hivyo pamoja na kelele hizi za kwenye magazeti Mchina na Mmarekani wamefungamana kiunoni hivyo wale waanaosema mambo ya human rights sijui Democrasi wasahau kwa sasa, hata Darfur watakuwa na hali mbaya zaidi maana Mmarekani hatamtia tena presha Mchina na hivyo Mchina hatamtia presha Msudani.
Huo ndio ulimwengu ulivyo sisi wote tuliobakia tunategemea uhusiano huu ili uchumi wa dunia unyanyuke la sivyo wote tutalijua jiji "Dunia"
Swala la msingi ni kwamba sisi Wabongo tunafanya nini??!! Aisha wa CNN alimuuliza JMK akajiumauma tu manake anaaamini "WATAKUJA KUTUSAIDIA" Mwambieni jamani aelewe maana ya Darwin theory ya "SURVIVAL OF THE FITTEST"
Hatuna mjomba wala shangazi Duniani hapa hali inapokuwa mbaya!!
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu iokoe Tanzania,
Mungu utuamshe Watanzania.
Mzawa
This is a massive news and not just a little dirty sitting around as a minor article, but is the heck of a thrilling and fascinating front that the whole world been waiting for apprehensively and should be pushed to the front headlines despite of the fact that is so conundrum.
ReplyDeleteAn excellent idea by Mr. Zhou Xiaochuan using the IMF’s Special Drawing Right (SDR) like the functioning of the European Currency Unit ( ECU ) created by ValĂ©ry Giscard d’Estaing and Helmut Schmidt that lead to the EU.
Is anyone ever think that the U.S. takes for granted the dominance of its currency to vent its domestic crisis to other countries?
The truth is no any Country has ever kept its currency as the global reserve for long. The holder always spends too much as the temptation to print money for the sake of paying off their own debt. This is the history of fiat money in a nutshell. Something like the SDR or perhaps gold is the only way forward.
Well, we all grasp mentally that China has huge reserved funds, and you know what ?, it shrinks to about a half of its real value as the dollar disparage with Yuan.
Americas reaction to this situation needs to be closely analyzed over the next few years as China will not let this one go easily if they think they are going to loose what’s owed by American Government.
This is long overdue perhaps a more encompassing system would be far better than the current scheme with China's backing & America's current vulnerability, and seems to be an ideal time to act and should make an interesting discussion and indefinite conclusion.
As always, Thank you Mr. Michuzi for your considerate.
Mdau wa University of Maryland - College park ( Honor Student)
Hi Everybody doing Today !! Alright,
ReplyDeleteGuys, this currency resolution has been proposed before, perhaps in the 1970s.And it was Russia's idea originally, and now that the Chinese realize they cannot diversify away from the US economy, they want a global currency. However, what I'm sure of is this would take far too long, and the question is what's the point of having a global currency without a matching government? Uh-oh..
I don't see how this is going to resolve the issue of one currency being the dominant one. Because there is always going to be few powerful nations who will exercise influence over the others unless everybody has equal stake in them which will make it more unstable and so the one world currency will pave the way to one world government.
SDR is fraught with too many technical and practical difficulties to replace a real currency, including the selection of currencies, their share and frequency of review. An increased role of Euro is a far better alternative that driving Europeans in same wavelength at least for now.
If China had a floating currency, the trade imbalance between would not have been so great. China is biting the hand that feeds it and can no longer save the world as it is obvious that The Chinese economy is slowing down sharply after almost 30 years of growth and the effects are being felt on the streets.
For instance, two-thirds of small factories making toys for export have closed in the first nine months of last year (2008). Falling demand and tough new products safety rules in Europe and America but Africa means many will never reopen.
According to one article from Nikkei weekly newspaper(Japanese wall street kinda of) that I read few month ago, The value of the yuan, which has risen some 20% against the dollar since 2005, has leveled off and may decline. Foreign buyers say China’s cost advantage has already been eroded
The media has been awful in reporting on the global economy. That so many people still believe that "Europe is OK, the US is a disaster and Asia is rising" highlights just what a poor job the media has done. In fact the US now looks best placed and the worst hit are export driven Asian nations and China in particular.
Steven Nemes
HIVI MNAJUWA KUWA WACHINA SOKO LAO KUBWA NI USA NA EUROPE, HIVYO WANATAKA PESA MOJA ILI KULINDA MASLAHI YAO, KWANI DOLLAR IKISHUKA WANPAT HASARA KATIKI VITEGA UCHUMI VYAO HUKO USA, NA PI BEI Z BIDHAA ZAO HUKO USA N ULAY ZINASHUKA HIVYO KUPATA HSARA, CHINA WAMENUNUWA SHARES NA BONDS NYINGI ZA USA, HIVYO DOLLAR IKISHUKA WANAPAT HASARA. PAMOJA NA YOTE HAYO HDI SASA USA INONGEZA KUWA NCHI TAJIRI DUNIANI PAMOJA NA ZAHAMA YOTE HII, PIA HIVI MAJUWA KAMA CALIFORNIA NCHI INGEKUA NCHI TAJIRI DUNIA NAMBA MBILI. PAMOJA NA YOTE HAYO WORLD BANK NA IMF ZIKO CHINI YA WESTERN AND NORTH AMERICAN COUNTRIES HIVYO NI SHIDA WZO LA CHINA KUKUBALIKA, NI JANA TU OBAMA ALIUULIZWA JUU YA HILO AKASEMA HE DON'T BELIEVE IN A SINGLE CURRENCY
ReplyDeleteWACHINA ANGALAU WANASEMA WANACHOFIKIRI, WANADEBATE, WANASEMA "IMPOSSIBLE IS IMPOSSIBLE", YAANI HAKUNA LISILOWEZEKANA! HAWASUBIRI KUAMBIWA FANYA HIVI AU VILE...WANASEMA A DIFFERENT WORLD IS POSSIBLE. NA SISI WABONGO...? TUNASEMAJE?
ReplyDeletenataka tu kumtaarifu huyo anayesema "california ingekua nchi tajiri dunia namba mbili" ya kuwa california imefilisika hivi sasa the state of california is officially broke and bankrupt they have been reducing work hours for government workers to cut down expenses and also may delay state tax returns and offer the people of california IOU's instead. From april 1st they are also raising the sales tax to combat this issue and they are also thinking of legalizing marijuana and taxing it as a measure to build funds so go figure. Do not equate hollywoodism and celebritism with how rich california is.
ReplyDeleteAnon wa March 25, 2009 2:08 PM, a.k.a Mchumi wa Texas,
ReplyDeleteEasy, easy, easy ... don't forget China economy grew up mostly from internal consumption before exploding onto the global arena.
I am sure they'll be fine.
STEVEN CASMIR NEMES NI WEWE GOALKEEPER MASHUHURI ILIWAHI KUCHEZEA MAJIMAJI YA SONGEA?
ReplyDelete