
Ni kwa muda mrefu wapenda burudani wamekuwa wakiimiss hii,wenyewe wanasema hii ni tofauti na kama hutaki kukubali basi we fika BULLDOGS (masaki) meter kama 500 hivi kutokea international school ya masaki ndipo utaamua usuke ama unyoe. Yaani ile ya La Taverna unaambiwa ni cha mtoto!
DA MOUTH HAZ SPOKE
C'YALL THERE!
bonn luv, msalimie mpoki....
ReplyDelete