Wadau wahusika wote there will be a party itakayo fanyika cine club mwisho wa mwezi wa 4 mchango ni 20,000/- na msosi juu.
Yule atakaye pata tangazo hili amuarifu na mwenziwe and wahusika wote naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo;
0773 700 170
0755 725602
Hii shule nayo? 'Get together for all...' siyo 'Get togthher to all...'
ReplyDeleteno wonder walikuwa wanapewa paper halafu wanaringa na matokeo ya kununua.
ReplyDeletep´po stop hating st matthews!hamna aliepewa pepa pale ni vichwa bwana!kuanzia 2001 hadi 2003(ambayo najua mimi)jamaa walikuwa wanasomakweli,no wonder waliwatingisha vibaya mno!ha ha a ahha,amani sana.
ReplyDeleteSasa inakuwaje mnaandika madudu. Eti "Get together to all....." 'To' is not the appropriate preposition!!
ReplyDeletehamna kitu pale wala msijitetee wa matokeo yale wala msitudanganye mlitufanya sisi watoto
ReplyDelete