john kitime wa njenje (kulia) na anania ngoliga ambaye ni mwanamuziki asiyeona wako ziarani marekani kwa ajili ya shoo na wanamuziki mahiri wengine toka pande mbalimbali za afrika
kitime na wanamuziki wengine wakisaini CD zao ambazo zinanunuliwa kama njugu

john kitime (shoto kabisa) katika mojawapo ya shoo zao. ratiba yao kamili hiyo hapo chini


Date Venue Location 3/26/09 The Colony Theater Pittsfield, MA 3/27/09 Playhouse Ridgefield, CT 3/28/09 R.P.I. Troy, NY 3/29/09 Music Hall Tarrytown, NY 3/30/09 Berks Jazz Festival Reading, PA 4/1/09 Shelton Concert Hall St. Louis, MO 4/2/09 Uptown Theater Kansas City, MO 4/3/09 Tennessee Theater Knoxville, TN 4/4/09 Music Festival Savannah, GA 4/5/09 University of Florida Gainesville, FL 4/7/09 Duke University Durham, NC 4/8/09 Ryman Auditorium Nashville, TN 4/9/09 State Theater 
w/ Toumani Diabate, D'Gary, & Anania Ngoglia Fall Church, VA 4/10/09 University of Pennsylvania Philadelphia, PA 4/11/09 Zeiterion Theater New Bedford, MA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mkuu wa Wilaya ambaye hakuhamishwa, nadhani ni Anania NGORIKA...!

    ReplyDelete
  2. Wameenda hao wawili tu au na wana NJENJE wote?

    Hivi NJENJE wanapiga wapi siku hizi hapa Bongo?

    ReplyDelete
  3. Ni Anania Ngoliga, wananjenje wapo Dar wanapiga Msasani Club kila Jumamosi kuanzia saa nne usiku.

    ReplyDelete
  4. Ni Anania Ngoliga, wananjenje wapo Dar wanapiga Msasani Club kila Jumamosi kuanzia saa nne usiku.

    ReplyDelete
  5. Ni Anania Ngoliga, wananjenje wapo Dar wanapiga Msasani Club kila Jumamosi kuanzia saa nne usiku.

    ReplyDelete
  6. Issa Michuzi Ni mkuu wa wilaya ya Tageta(wa Kudumu) ambaye hakuhamisha na JK kwa mkuu wa nchi anaeshimu jimbo hilo Tageta huwa wenyeji wa kijiwe cha Tageta ndio wanao mchagua mkuu wa wilaya hiyo katika vikao vya usiku wa manane!
    mkuu wa wilaya MISUPU HOYEEEE!!!!

    ReplyDelete
  7. unajua hivi vijitabia vya ubinafsi na uchoyo vya huyu John Kitime ndiyo vinavyo mrudisha nyuma kimziki,badala ya kuinadi au kuitafutia njia NJENJE iweze kung'ara zaidi kimataifa! yeye akuwa binafsi!
    Tabia yake hii akuanza leo mara nyingi katika swala la mziki hiwapo kutatokea "DEAL" na deal lenyewe linahitaji wanamziki wa Tanzania basi,deal hilo likifika mikononi kwa Kitime ataenda yeye binafsi au na wanamziki vivuli!
    Tumeona miaka ya nyuma walitokea wafadhali wakataka nyimbo za hasili za Tanzania Kitime bila aibu akawapa nyimbo za injili na zikawekwa katika CD na kuuzwa huko ughaibuni,onyesho lingine liliowaacha wanamziki wa kweli wakazoana Kitime na Timu yake ya matapeli ni lile la SALAM au Salem Festival lilifanyika Sweden miaka ya Nyuma,Kitime na timu ya walituacha hoi.
    Kwa utaratibu huu kitime hata siku moja hawezi kuwa kiongozi wa jumuhia ya wanamziki au tahasisi ya mziki wa bongo,kwa sababau kiongozi katika jamii ya wanamziki anatakiwa hasiwe mchoyo au binafsi kama alivyo Kitime .
    Sasa katika umri huo kama ujajirekebisha tabia zako? uoni kuwa wewe ni mtu mzima ovyo????

    ReplyDelete
  8. kama zinanunuliwa kama njugu basi hazina thamani!

    ReplyDelete
  9. Huo uzushi, hii ni mara ya kwanza katika maisha yake Kitime kwenda nje ya nchi kupiga muziki peke yake, na tunao mfahamu amewahi kufanikisha wanamuziki kadhaa kwenda kufanya kazi nje kwa mfano Shomari Ally kwenda kupiga Australia, Egptian Musical Club Kwenda Norway. Project hii ilianza toka 2005 kwa kazi iliyofanyika Bagamoyo. Na pia Salem music Festival walioshiriki ni kikundi cha Hip hop kutoka Arusha, kitime alikuwa huko kwa mwaliko wa kushiriki semina kuhusu utengenezaji wa vyama vya wasanii. Acha uwongo.

    ReplyDelete
  10. Anania and Kitime thank you for making me proud to be a Tanzanian, I came to your show nikalia kwa kukumbuka nyumbani. Wanamuziki wengi huja huku lakini ni mara ya kwanza nimeona nimewakilishwa nakulindiwa heshima kuwa mimi ni Mtanzania. Hongereni

    ReplyDelete
  11. NASEMAJE HUYO ANANIA NGORIKA NI MWANAMZIKI BORA SANA,LAKINI NI KIPOFU JE MSHIKO WAKE MNAMPA AU NDO UKILA NA KIPOFU USIMGUSE MKONO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...