Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. ARE YOU £$£%&*@@?!!£ CRAZYYYY !!???
    NDIYO MAJIBU YA MZUNGU

    ReplyDelete
  2. Kwa akili ya Panzi umeshatusahau?Zile title za ma Ph.D. mzee ni Kilemba tu kile,vipi?West Africa au United States nani anakufahamu?Ukikutana na wenzako kule,mkianza kujitambulisha,inakuja zamu yako,acha kabisa,I am Doctor Batavuuz from Tanzania,specialised in Political Rhetorics and Economic Stigmata!One of the Waanzilishi of Arusha Declaration!Another participant from Nigeria would ask,"A Declaration on What?".Our Porossoo Doctor Somesing would answer back,"A Declaration on Equal Rights!".When was that?In 1967!But equal rights was there in the United Nations way back in 1945 or something!Did you photocopy it from the statutes of the United Nations?No,no,no.Honestly I don't know!Because I myself was not there,I swear,would answer back our Porossoo!laaaa!ufutiwe madeni kisha ukopeshwe upya!hata huyo shemejiyo atakutoa mkuku,labda......ukikubali.....akufanyizie......

    ReplyDelete
  3. anon wa 3:24pm acha kuandika mambo yasiyo na kichwa wala miguu. Unalielewa Azimio la Arusha? Usikurupuke tu na kujisemea ovyo bila kutafakari. TAFAKARI.

    ReplyDelete
  4. Africa mnacheza..

    sasa kipindi hiki cha Economy Downturn, mtumie asilimali zenu fresh hili huku wakiibuka na manundu (fedha yao imepungua thamani) na nyie hamko mbali..

    kama hadithi ya mbio za sungura (west) na kinyonga (africa).. kumbukeni it looks impossible lakini kinyonga alishinda mbio kama mnakumbuka!?

    shala shala basi..


    = = =
    Buffalo,
    New York (karibia na nyumbani kabisa kwa kina- 50 Cent)

    ReplyDelete
  5. kazi ipo hapo

    ReplyDelete
  6. hujui nini Azimio la Arusha lau kama ungejua usingeli bwabwaja.

    ReplyDelete
  7. amimio la arusha ni watu wote wawe sawa. wote wawe maskini wa kupindukia. wote wawe na elimu ya chini. ilo azimio lilileta nini bila umasikini. tushukuru japokua sasa watu masikini lakini ukifanya bidii zako unaweza kuondoka kwenye umasikini. enzi za ujamaa ulikuw hauruhusiwi kuwa tajiri. duniani watu wote hawawezi kuwa sawa hata dini hazisemi hivyo. wakati wa ujamaa ukiwa na nyumba zaidi ya moja ulikuwa unanyang'anywa unaachiwa moja. kuendesha magari jumapili ilikuwa lazima uwe na kibali-total human abuse. maduka yalikuwa empty. wanainchi wenye kuishi karibu na mipaka ya kenye na uganda walikua wanauza kuku na mazao yao at give away prices ili waweze kununua sabuni, mafuta ya kupikia na vitu vingine. mara nyingi askari wa kenya walikua wana wapiga na kuwanyang'anya vitu vyao na kurudi tanzania bila kitu. just imagine jinsi watanzania walidhalilishwa na wa kenya kwasababu wao walikua na kila kitu. jamani watanzania tusilalamike sana kwasababu serikali ya sasa inafanya bidii sana. serikali ya kikwete inafanya bidii ili kila mtanzania awe na maisha bora na hii haiwezi kufanyika kwa muda mfupi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...