Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. yule kijana alikuwa na malalia tu,kwani hakupaswa kumpiga kabisa mzee wa ruksa ila ungekuwa ni wewe mimi wala nisingemlaumu.

    ReplyDelete
  2. Duuuh Bro Michu hilo litakuwa gazeti la J3... UPO JUUUU kwani tutalisoma asubuhiiiii

    ReplyDelete
  3. TUNAOMBA SERIKALI IMCHUKULIE HATUA MCHOCHEZI PONDA ISSA,HUYU JAMAAA ALIKUJA DAR KAMA MFANYAKAZI WA NDANI WA MAREHEMU ISMAIL KAMINAMBEOH WA SIMBA.

    LEO ANAJIFANYA SHEIKH.COMMENTS ZAKE JUU YA SUALA LA MZEE RUKSA ANATAKIWA AWE JELA.

    ANASEMA ANAMPONGEZA HUYU KIJANA KWA KITENDO HICHO.

    PIA AMEONGEA WA WAUMINI MSIKITI WA MTAMBANI IJUMAA HII TUNAOMBA SERIKALI IMSHUGHULIKIE.

    HUYU JAMAA NADHANI NI MBURUNDI AMEZOEA KWAO URUNDI KUWA NA VITA SASA ANATAKA KUTUGAWA WATANZANIA.KOVA ASOME MANENO YA PONDA KWENNYE MWANANCHI LA JUMAPILI NA KESI AFUNGULIWE YA UCHOCHEZI.YEYE ANAMEKULA MALI NGAPI ZA MAYATIMA?

    ReplyDelete
  4. Yeyote atakaye jitokeza kushabikia tendo lile la aibu na fedheha kubwa lililompata Rais Mstaafu Mzee Alhaj Ali Hassan Mwinyi siku ya Maulid iwe kwa kumpongeza yule kijana "ati kwa ujasiri wake" au kwa lengo la kuwatia Hamasa Waislamu wengine waige mfano wa yule Kijana,LAZIMA ACHUKULIWE KAMA MHALIFU YEYOTE YULE MWENYE NIA YA KUCHOCHEA VURUGU NA KUHATARISHA AMANI HAPA NCHINI!Lazima afikishwe mahakamani kwa Kosa la Uchochezi pindi ushahidi wa wazi utakapo bainika.Hili siyo jambo la kulifanyia mzaha hata kidogo.Mwishowe litakuja kuwa "DONDA NDUGU" katika Jamii.Tukumbuke Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Haya ni matokeo ya malezi duni kwa vijana wetu.Huu ni Utovu wa Adabu na kamwe isije ikachukuliwa kama linatokana na msukumo wa imani za Kidini.Imani za Kidini bila ya matumizi ya "Akili na Busara" alizojaliwa kila mwanadamu na Muumba wake basi hupoteza kabisa maana na umuhimu wake.Iwapo katika taarifa hiyo hapo juu ni kweli kwamba Ponda kampongeza Kijana yule,basi Polisi lazima imfikishe Ponda mahakamani kwa kosa la uchochezi wenye lengo la kuhatarisha amani na utulivu katika jamii.Lazima tuwashikishe Adabu watu wote watakao kwenda kinyume na tamaduni,maadili na sheria za nchi!Padri hawezi kutukana ovyo hadharani na kufanya vitendo vya aibu katika jamii,kisha akatazamwa tu bila kuchukuliwa hatua zozote zile za kinidhamu "eti kwa kuhofia au kuheshimu imani za kidini" alizozichukulia kama KISINGIZIO cha kufanya Uhalifu ule.Hatuwezi kukubal Mzee wetu Alhaj Mwinyi akiendelea kudhihakiwa na Mapunguani wa aina hiyo katika jamii yetu.

    ReplyDelete
  5. huku ni kukosa maadili DUH....!

    ReplyDelete
  6. MASOUD LEAVE THAT GUY ALONE, HE'S DECIDED TO BE QUITE !! YOU WILL NEVER KICK A DEAD DOG !
    HE ONCE SAID AND I QUOTE.." NO FACTS NO RIGHT TO SPEAK "
    SO LETS NOT BE JUDGES OF OTHERS, IF HE DECIDED TO BE QUITE THAT IS HIM AND I DARE SAY.. I ADMIRE HIM FOR THAT

    ReplyDelete
  7. Huyo Ponda Issa Ponda ni mchochezi na hakuna asielijua hilo. Yeye ndio chanzo cha vurugu zote. Na kuna wakati alikuwa anatafutwa sijui hiloliishia wapi?
    ktk marais wote waliopita namfagilia mzee RUKSA.

    ReplyDelete
  8. Bibi Umeme kulikoni? This guy was a President once upon a time. He gave up his personal freedom the day he was sworn in. That is the price one has to pay for the rest of their lives! Waache watu waseme mwisho watalala. You don't have to speak for him, just follow his example of keeping quiet if you really admire him. Thanks.

    ReplyDelete
  9. Hahaaa!!! very funny. Good job Kipanya

    ReplyDelete
  10. hata mimi nasema yule kijana alichapa the wrong person. wakuchapwa ki halali ni huyu

    mjukuu wako USA

    ReplyDelete
  11. Masoud si bure.....huyu mzee wa watu unapersonal issues nae. Mbona unamng'ang'ania sana. I totally support the above comments za Bibi Umeme. He is not guilty untill proven.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...