Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Je Lini Kugawana Nafasi Ikulu kwa Vyama? tunasubiri Chama Cha Mabox tuje kuchukuwa Nafasi.

    ReplyDelete
  2. Kila siku nasema "BONGO TAMBARRRARRRREEE" na nyie mnabisha..........

    ReplyDelete
  3. Na bado.....kila siku tunasema wabeba mabox wapo juuu .....ooohhhhh aaaahhhh

    ReplyDelete
  4. HA HA HA HII KALI KIPANYA.HAWA VIONGOZI WANGEKUWA WANASOMA WANGEJIONA WAJINGA SANA.NAJUA HAWAJALI KUHUSU WANANCHI LAKINI WAMEKUWA TOO IGNORANT TO A POINT THAT SOMEONE MAY THINK THEY WERE BORN TO BE STUPID .

    ReplyDelete
  5. Ukisema tunagawana umeme unapotosha. Nchi hii tunagawana giza. Sehemu kubwa ya nchi huko vijijini iko gizani kinachofanyika mjini ni kugawanya giza ili tufananne na wenzetu wasiokuwa na umeme.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...