
Pichani ni jina la gazeti jipya la ' Kwanza Jamii' linalotarajiwa kuonekana nchini kote kuanzia Machi 31, 2009. Ni jarida la uchambuzi wa masuala yanayohusu na kuigusa jamii. Haya ni pamoja na siasa,uchumi, elimu, michezo na utamaduni. Kuna masuala mtambuka pia kama vile mazingira,jinsia na UKIMWI/VVU.
Jarida hilo litakuwa likitoka kila Jumanne ya wiki. Linamilikiwa na Ikolo Investiment Co. Ltd ambao awali walimiliki na kuchapisha GoziSpoti.Katika muda si mrefu kutoka sasa tutawaletea, kupitia blogu hii, majina ya baadhi yawachambuzi watakaoandikia gazeti hilo. Kwa sasa tunaandaa bango la ' Kwanza Jamii' litakalotundikwa hapo juu. ( Kwenye mjengwablog)
Maggid
Ikwiriri, Rufiji, Pwani.
Jumapili, Machi 15, 2009.
HONGERA MAGGID
ReplyDeleteMnara wa Maggid,
Pongezi zako kaka kwa kazi nzito uifanyayo, na mafanikio yako binafsi na kampuni yako kuleta gazeti, ambalo nashawishika kusema ni moja kati ya magazeti mahiri kwa makala zako za uchambuzi ktk Raia Mwema zinaonesha uelekeo wa gazeti hili litakua sio la utani.
Tunaomba kama inawezekana copy ya gazeti iwepo mtandaoni kama ilivyo kwa Raia Mwema, Mwannchi, Tanzania Daima nk.
Mungu akuepishe na nguvu za FISADIZI ktk uchambuzi wako, uweze kufanya kazi ipasavyo ndugu.
MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com
Hongera sana mwenyekiti. Nimeipenda hiyo Logo. Nategemea na gazeti litakuwa na mambo mazuri mazuri kama hiyo Logo
ReplyDeleteJe hili gazeti litakuwa likisambazwa bure kwa wanachi? kama sivyo basi hatutaweza kuliita ni gazeti la jamii.
ReplyDeletePili ningependa kufahamu kama gazeti hili halitakuwa biased kuandika habari za wakereketwa mbali mbali ambao hulenga kuandika masuala mbali mbali yanayogusa jamii.
Lengo ni kuelimisha jamii na siyo kuandika habari ambayo inalenga kunufaisha watu binafsi kwa maslahi yao binafsi
Kama ni kweli ni gazeti la jamii, kwangu ni furaha kubwa, kwani siku zote nimekuwa nikihangaika ni gazeti lipi nilitumie kuweza kuielimisha jamii kwa machache ninayoweza kuyaandika.
Baada ya kugundua kuwa magazeti mengi yanafanya kazi kwa interest yao, nilijikuta sina mahala pa kuandika kero zinazonisibu.Sasa ninafurahi kuna gazeti la jamii.
Michuzi Yanga kapigwa tatu mpaka sasa ni kipindi cha pili mnaweza kufuatilia mkaona kinachotokea
ReplyDeletehttp://www.goalzz.com/main.aspx?c=4144
Holders Al Ahly outclass Yanga
ReplyDeleteAl Ahly have one foot in the next round of the Champions League
Holders Al Ahly have put one foot in the next round of the African Champions League after a 3-0 win over Yanga of Tanzania on Sunday.
Two goals from Mohamed Barakat and one from Angolan forward Flavio secured victory for the Egyptian side in this first leg, second round tie in Cairo.
Si vibaya kijarida cha jamii kupata habari hii:
ReplyDeleteThousands wrongly diagnosed with HIV
By DAVE OPIYOPosted Sunday, March 15 2009 at 19:45
In Summary
Rapid tests fraught with errors as they are done once
Thousands of Kenyans and Ugandans may have been wrongly declared HIV positive, thanks to faulty tests at VCT centres, a new study suggests.
According to the study published in our sister paper, The EastAfrican, many others may have been incorrectly diagnosed as HIV negative.
The study involved 6,255 people aged between 18 and 60 who sought VCT services at a village in Masaka and the Kakira sugar plantations, in Uganda and a Coastal village in Kilifi and a slum in Kangemi estate in Nairobi.
The findings were published in the East African Medical Journal. The rapid tests — “Determine”, “Uni Gold” and “Capillus” — are normally used in poor societies as they are not expensive.
The report says the risk of misdiagnosis rises when they are done once without a confirmation test.
This is because they are “fraught with errors and as such, cannot alone be used to determine whether an individual is positive or not”.
The research, led by Prof Omu Anzala reveals that confirmatory tests are not usually done at VCT centres, which in most cases are manned by non-medical staff.
When two different tests were done on all the 6,255 people, 131 had “discrepant” results — where one is positive and the other negative.
On a third test, 27 were confirmed to be carrying the virus, meaning that without such controls and using just one test, 104 people could have been misdiagnosed as HIV positive.
Assistant Medical Services director Peter Cherutich says about 2.5 million people visit VCT centres every year.
Kenya has an estimated 1,000 independent VCT sites that screen about 800,000 people a year. A similar number is tested in government hospitals and another 700,000 after seeking treatment.
False results
Dr Cherutich admitted that a significant number of false results were being recorded because of the rapid tests, but said this was the best method for a country like Kenya.
“They are cheap and easy to use and do not require special conditions like refrigeration,” he said.
But Prof Anzala and his colleagues said HIV tests should always be administered with a confirmatory standard before one knows his status.
Source:
http://www.nation.co.ke/News/-/1056/546212/-/u35myy/-/index.html