
Welcome to meelovia
MeeLovia is the first online dating site entirely devoted to Africa. This site was designed for all Africans and for everyone interested in Africa.
MeeLovia is the first online dating site entirely devoted to Africa. This site was designed for all Africans and for everyone interested in Africa.
MeeLovia.com
lets you meet people from Tanzania, Ghana, Kenya, Ivory Coast, Senegal, Nigeria, Zimbabwe, Zambia, Uganda, Bostwana, South Africa and many more countries accross Africa. Find a life partner or just a business partner.
Come and join the match.Registration is free.
Jamani natoa tu tahadhari, wahalifu wengi wanatumia muda mwingi kuwalaghai wanawake wasio na hatia na kuwafanyia uhalifu wa kutisha, wengine huuawa...kwahiyo hakikisha unafanya all security checks kabla hujakutana na huyo dream man/woman wako wa kwenye so called Dating site..
ReplyDeleteNB: Hivi kutongoza kiold skool siku hizi ndio kunaisha sio?? tafuta mwenza, shuleni, kazini, jirani nk.. mastrangers nishai utakuja paramia jini bure.. LoL
Mdau namba moja hapo juu ni vizuri kutoa tahadhari.
ReplyDeleteLakini hilo lisiwaogopeshe watu wa malavidavi.
Kuna njia mbali mbali za kuhakikisha usalama wako on first date.
1. Ongea naye kwenye simu kabla hamjakutana.
2. Usikubali kwenda nyumbani kwake, au mahali anapochagua yeye. Chagua wewe mkutane wapi. Kwenye hoteli. mikahawa na public spaces ni salama zaidi.
3. Msikutane usiku.
4. Mkishakutana mpime kama mambo aliyokuwa anakwambia kwenye mtandao yanashabihiana na anayosema in person.
Mwisho kabisa hata watu wa "old skul" msisahau kwamba enzi hizo kulikuwa na "urafiki wa kalamu" ... unaona mtoto gazetini unamwandikia barua.
Internet ndio magazetu ya siku hizi kwa hiyo hakuna cha ajbu sana hapa.
Yes, watu wajaribu. Ila kwa wabongo ninavyowajua, mtaishia kupelekana kwa zeutamu na magazeti ya udaku.
ReplyDelete