Home
Unlabelled
libeneke la nyama choma lapamba moto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sawa ni mashindano yana-encourage competition kwenye biashara. Lakini duh! hivyo vitambi! sijui tutapeleka wapi hayo magonjwa ya moyo kutokana na cholesterol!
ReplyDeletemajaji wanapatikana vipi, haiwezekana kuomba kuwa jaji. na je ,siwatatkiwa kuzunguka baa zote hizo kuonja nyama na kushushia kasafari na kutoa maksi, hadi wamalize baa zote ishirini kwa ukubwa wa sinia hizo kwa kila muonjo, watakuwa washkuwa kama viti moto. bro michuzi tafadhari nipigie debe, afya yangu sio sawa,hapo naweza kuirekebisha.
ReplyDeleteDU!! zoezi la ujaji likiisha na vitambi hinha!
ReplyDeletemanake hizo size za mlo na laga pembeni, job true true!
Koku
Why Tanzanians loves short cut to everything? I've never heard there was a bbq chef in my life. Its the same as Prof..... while their degrees are from unaccredited universities.
ReplyDeleteIts absurd,
mkuu wa wilaya ya nanihi tuondolee shaka kwa maswali yetu. je hii ni kuonja? mbona sahani kubwa hivyo? majaji wenyewe watatu tu. je hawahitaji majaji wengine? safari za kuonja ni ngapi?
ReplyDeletenipo tayari kutuma cv yangu kwenye mambo la na nywa kama utapenda
Du! TBL wabunifu siku hizi. kumbe Wameanzisha bia mpya ya safari inaitwa Fimbo butarah...hahahaha.Ningekuwa mimi jaji ninge propose ukaguzi ufanyike kwa mtindo wa ligi, Nyumbani na ugenini. Ile ya ugenini wanachuana wakiwa kwenye independent au away ground,kwenye kiwanja cha jaji. Hapo kungekuwa na fairness
ReplyDeleteMdau
Cardiff
HAHAHAHAAA!!
ReplyDeleteZIS IZ ZE BESTI JOB IN ZE KANTRI BWANA!!
JAMANI MBONA FOMU ZA KUOMBA KAZI YA UJAJI HAZIKUTANGAZWA?????
NA MBONA HAKUNA GENDER BALANCE??? KWANI KINA MAMA HUWA HAWALI HIZO NYAMA???
NAOMBA TBL MKONSIDE JENDA BALANSI ... WEKENI WANAWAKE WAWILI KWENYE PANELI ... MMOJA SISTA DU, NA MMOJA MMAZA MMAZA MTU MZIMA.
Mmoja wa hao majaji (mwenye nywele nyingi) alikuwaga Chef wa Kilimanjaro hotel ya enzi zileee za miaka ya 80 ila jina nimemsahau kwa hiyo nahisi hao wengine watakuwa machef vilevile ila sidhani kama wamespecialize kwenye nyama choma. Kwa kweli hata mie kigego nyama ninatamani kuwa jaji
ReplyDeletenyamachoma iko arusha bwana dar hamna kitu
ReplyDeletehao majaji karibia wote walikuwa kilimanjaro hotel,huyo jaji kiongozi kachukua washkaji zake kwani hata yeye alikua chef kilimanjaro,da hapo juu kushoto huyo chef anaitwa salvi a.k.a giriki nilipiga nae mzigo kipindi cha nyuma hahaa chef safi sana kufanya nae kazi hadi raha,sasa giriki wewe na nyamachoma tena?ningekuwa mimi jaji hapo natandika hizo nyama vibaya sana nateremshia kasafari aah,sijui sinia zingine zikija vipi,waandaaji vipi take away kwa majaji inaruhusiwa?hapa mate kibao bro misupu mbona we hawajakuchagua kuwa jaji?au hukutuma maombi?mdau stockholm
ReplyDeleteHuu ni ujaji gani? Kweli watanzania kila kitu tupo nyuma,ninavyoelewa na hivyo ndivyo ilivyo jaji anakuwa anaonja onja lakini hawa jamaa wamefanya feast kabisa wamekaa na Safari lager pembeni.Sasa nashindwa kuelewa jaji akiwa anapata Safari lager anawezaje kutambua kwamba hii nyama ina taste nzuri kuliko nyingine? Nasema hivyo kwa sababu pombe ina impare brain hasa katika maamuzi na nina imani maamuzi yatakayotolewa yatakuwa si ya haki kwa sababu majaji walikuwa wamelewa.Kweli Tanzania tumezoea kufanya vitu kwa mazoea na hakuna anayejali ingekuwa nchi nyingine wasingeruhusiwa kunya pombe na kutengewa masinia ya nyama zaidi ya kupewa visosi(visahani vidogo) ambavyo ndivyo vinastahili kwa kuonja nyama.Hatujifunzi jamani? ingekuwa vizuri waandaaji waangalie vipindi vingi vya competition vya upishi (Kwa hapa USA kuna Hell's kitchen series)na imani Televisheni nyingi za Uingereza au South Africa (DsTv) wanazo vipindi vinavyofunza jinsi ya kuendesha mashindano kama hayo.
ReplyDeleteTumekalia uswahili tu.Sasa uniambie kama hilo sinia lote ni la mtu mmoja ukichanganya na bia si majaji watakuwa wameshiba kabla ya kwenda kwa contestant mwingine.Waandaaji mnachekesha!!
yah Giriki, kenti na douglas wote wlikuwa kilmanjaro hotel
ReplyDeleteupuuuuuuuuzi mtupu ndiyo maana hatuendelei,vichwa vimejaa kamasi badala ya akili.
ReplyDeleteNaomba kuuliza ni sehemu gani utapata nyama choma nzuri ukiwa Dar au Arusha?
ReplyDeleteClement Talawa Makumira High School Soocer Captain.
ReplyDeleteLine up:Julius kuhanga,Kuchimba,David Mnahela,Samwel Shelukindo,Victor,Emmauel Tenende,Joseph Kichwa,The Late sekotoure Zicco,Miller Mwakibete,Emmanuel Kimambo-Chifu,Gadiel Maree.
Memory brought to you by -NGondi
kent hupo, naona umenona kweli. Hizo nyama choma sio nzuri.
ReplyDelete