
Mwanamuziki Nakaaya Sumari jana alionekana kwenye kipindi cha CNN Inside Africa, si kitu kigeni lakini kwa wanamuziki tena muziki wa Kizazi kipya ambao ulianza kwa kutokukubalika haya ni mafanikio makubwa sana kisanaa na kisanii pia.Nakayaa aliongea nini au alihojiwa nini?Nenda Spoti na Starehe upate kujua
Huyu dada amepata dili ya maana ni yeye tu sasa kujituma...kwa ambao wanataka kuiona ipo hapa cnn.com/insideafrica
ReplyDeleteNiko europe,niliangalia hii programme jana, inafurahisha, Nakaaya anatema kienglish ile mbaya , anafurahisha, yaani kama unasikilizia kwa mbali huwezi elewa nani ndo mbongo nani mzungu pale, anautema ung'eng'e ile ngumu,,,
ReplyDeleteNakaaya nimekuheshimu hata mie kienglish umenishinda, na nimekaa scandinavia miaka kibao, tunakazania malugha yanayohitajika nchi moja tu duniani, teh teh anyway, tutafika tu....
GOD BLESS TANZANIA
Wekeni basi hapa namba zake za simu tumtumie sms za kumpongeza.....he sasa mbona mnacheka???
ReplyDeleteGod blessed you for telling the truth to those so called politicians, Now its your chance to act and help our society.... remember its not about you but it's about aur country and our society.
ReplyDeletehaya wabeba box hata nyie hamuwezi kutema ungenge kama huo kuna watu wamekaa uk 10 years hawawezi kujieleza hivyo,kila kukicha hawa wabeba box ndio wanaziponda hizi academy zetu huku bongo ambazo ndio huyo Nakaaya kasoma ungenge huko.
ReplyDeleteAnony 4:17pm huku tunabeba box nyinyi bongo mnashupalia vingeleza vya kukrem kutoka kwenye dictionary,kingereza sio deal deal box baba
ReplyDeletetunampa hongeara sana, lakini, alichipamba sana, akatoka kitofauti, sao anaweza kuwa sio mgumu wa style ,kitu ambacho sio kizuri kwa msanii. pili , ameonekana kutetea hip hop kwa kusema bongo flava imekopi kule, niseme sio kweli, bongoflava na hiyo kitu sio sawa, labda katika kutolea ujumbe,kwamba kama ilivyo kuwa hp ktuo mawazo ya mayanki marekani walionyimwa fursa, ndo ilivyo bongo f, lakini sio kivile.
ReplyDeleteakajifunze, au aende kwa founder wa jina la bongo flava pale clouds amwambie tofauti.
azawaizi, dada HEKO,KAZA MKANDA,ACHANA NA NYIMBO ZA MALAIKA, TUNGA, UTAFIKA MBALI, KUWA WEWE, NA SIO WEWE KAMA MTU ASIYE WEWE.
Aliyosema kuhusu academy za bongo, probably true lakini Naklaaya amesoma Kenya from primary school. Just the facts.
ReplyDeleteLove the interview, love her songs lakini i am dissapointed wamezitoa online zote. I guess ni kazi ya Sony hiyo.
You go gal!!...Big up dada...Very confident,very articulate and as a Tanzanian living abroad I am very proud of you
ReplyDeletekeep up the great work
mdau Houston
Wow! I am speechless...She is hella good. Honesty there are so many people graduating from different universities bongo and some live outside the country still can't put even a sentence together.....lakini what we have to remember in Nakaya's case is that, she is just one of those hella 0.000000001% of priviledge kids. Those of us whose are out of the country that English is still not reachable the reason behind ni kuwa we were underpriviledge kids, went to public schools. Introducing a new language at this age my dear is not hella simple.. Na pia box haliitaji kidhungu....clock in/clock out....Kiuno kinauma hutaki kwenda kupiga box...U just call and say "me sick no coming tomorrow"...
ReplyDeleteI agree 25% is from her determination and the rest is from being a priviledge kid that is why we are talking about signing a hella contract right now.
my two cents...
buy Go U Gal...rise our flag high
lovely,its real impressive and motivating,simple,understandable explanation and truth about situation facing tanzania and african at large.you have a talent and what you have got from sony its a mega deal,with mega challenges,i suppose.soo kaza buti mamaa.
ReplyDeleteNajua umenibania maoni yangu but ukweli unabaki pale pale. Ameongea kiingereza lakini she is not native english speaker lakini amejitahidi kwa watanzania especially wa siku hizi. Still huwezi kufananisha nasi wabeba box na hata wachamba wazeee.kwani kila unapobeba box lazima uulize where U get from and where to put them up.Because boxes do not fall from the sky, you have to get them from an english speaking customer, take them to his english customer and report to the english speaking boss!!!!!!!!How about that...that's a lot more english than that 4min clip...
ReplyDeleteI wish her well....
Halafiu nibanie tena hiiiiiii....
Huyu kasoma Kenya, Bongo hamna kitu, si tambarare. Tusidanganyane. Ila huyu dada roho yangu haimkubali, sijui Ubongo wangu au niko sahihi. Mimi hanipi rohoni kabisa, sitaki hata kuangalia picha zake, halafu tangu zamani tu. Msishambulie jamani, nina kahaki kadogo ka kusema kaliko rohoni mwangu, easy washikaji.
ReplyDeleteShe waz ok, nothing to make me jump up and down, if you wanna compare her to other regular Tzns kids she is Good,confidance etc, but since she got her education in Kenya, where medium of communication is English, then she alriiiiiiight. Am not a hater I think she is very smart Woman and talented artist, and she is representing!.
ReplyDeleteMr Politician is going international, huu wimbo usubirini mwaka huu utakuwa mkubwa sana. Word is there is a remix in the works featuring a top world artist. Kanye West I think, or someone else. Big up Nakaaya keep representin, haters kuleni wembe...
ReplyDeleteNAWASHANGAA SANA WABONGO, USHENZI MTUPU, MNAANGALIA UONGEAJI WA KIMOMBO TU NA SIO POINTS. NDIO MAANA WATOTO WENU WAKIJUA KIMOMBO KWENYE ACADEMY ZA WAKENYA MNAJISAHAU MKIDHANI WANA AKILI KUMBU PUMBA TUPU, WAKIPEWA MASWALI YA HESABU WANAONA NYOTA NYOTA
ReplyDeleteDuh ... kumbe Bongo ukijua kutema ung'eng'e ni dili?
ReplyDeleteMi nilikuwa sijui mwenzenu. So from now on I'll make sure I spill my brain in English so as to make circles around Wabongo.
But wait a moment ... how come the same Wabongo are quick to shout at other wadau of this blog who prefer to contribute in English? You'll hear them "Hatuelewi English. Write in Kiswahili"
Wabongo we are now becoming very complicated, ain't we?
One of the things ambavyo huwa nashangaa sana kwa nini wasanii wetu hawavizungumzii wakiulizwa why bongo flava inatamba east africa ni the fact kwamba our music is heavily ladden with a message. Katika africa mashariki wabongo wako mstari wa mbele kuhakikisha kwamba nyimbo zina ujumbe, and this makes it very easy kwa mtu kuukubali na kuupenda, unlike wengine ambao huwa ni matusi tu na kujirusha. bongo hata wimbo unaozungumzia matanuzi una ujumbe. Not saying though kwamba hakuna zisizo na ujumbe, ila majority zimebeba ujumbe kwa jamii. And to me that's why it has caught up so fast......
ReplyDeleteMBONA KIINGEREZA CHA KAWAIDA KABISA,SIONI KITU GANI CHA AJABU, LABDA TUJADILI ALIYO YAONGEA, NINA WATOTO WADOGO WANASOMA HAPA CANADA WANAONGEA VIZURI KULIKO HATA NAKAAYA MWENYEWE NA HAO NI WADOGO, SASA MDADA MTU MZIMA KAONGEA KIINGEREZA CHA KAWAIDA KABISA WATU WANAONA MIUJIZA, HII INAONYESHA NI JINSI GANI KIINGEREZA CHA KIBONGO KILIVYONYUMA, KAMA ALIVYOSEMA MDAU HAPO JUU KUWA NI CHA KUKREMISHA, CHA KWENYE DICTIONARY HAJAKOSEA KABISA, NA BADO KIZITO KUELEWEKA. BY THE WAY WANAOSHANGAA HUYO DADA KUONGEA HICHO KIINGEREZA WAJAWAHI KUSIKIA KIINGEREZA BASI!!
ReplyDeletewewe jamaa wa pili hapo juu inaonekana uwelewi kabisa kiingereza
ReplyDeletekuna tofauti kati ya mzungu na nakaya na ni kiingereza cha kawaida sana wala hamna maajabu yoyote.
labda sauti laini ndio inakufanya uone kiingereza kizuri kuliko hyuo mwanaume mwenye sauti nzito.
wanawake wako smooth wakiongea...
Naungana na mdau wa Canada.hiyo english ni ya kawaida tu au hata naweza kusema low standard!! alikuwa anakigugumizi na ishara zilikuwa nyingi.wabongo acheni kushangaa hiyo english ya kuombea maji.sasa sie wa ughaibuni tukirudi huko na kuongea si mtasema hatukuzaliwa bongo.manake ni full ung'eng'e. no stammering no sign language....hahahha,kaka michuzi usiibanie hii
ReplyDeleteJAMANI MSICHANGANYE ENGLISH NA EDUCATION, ENGLISH IS JUAT AS A LANGUAGE AS OTHER LANGUAGES, MTU ANAWEZA KUWA HOUSE GIRL HUKO AKAONGEA ENGLISH SAFI TU. KUNA WATU HUKU WAZUNGU KABISA KWA VILE NI LUGHA YAO WANAONGEA VIZURI LAKINI HATA KUSOMA NA KUANDIKA HAWAWEZI NA NI PURE BRITISH. NA SWALA LA HUYO DADA KASOMA KENYA TOKA VIDUDU HADI SECONDARY. ELIMU YAKE NI KIWANGO CHA SECONDARY TU, SO TUSICHANGANYE ELIMU NA KUJUWA LUGHA, LUGHA/ENGLISH KAMA ELIMU HAJUWI CHOCHOTE.
ReplyDeleteAm just wondering hii imekuwa discussion ya kujua au kutojua kiingereza au Nakaaya kuwa wa kimataifa?Kama ni kiingereza maswali aliyoulizwa was straight mtu yeyote anayejua anaenda kwenye interview anajitayarisha hata kama anajua kiingereza.About her music mie bado i dont feel her.She needs to work hard especially now.Asijione amefika mwisho baada ya kuonekana CNN kwa dakika zake hizo alizoonekana.She still has a long way to go and deliver to her fan,
ReplyDelete