toka shoto ni mashaka, adolf mbinga, prince mwinjuma muumini na deo mwanambilimbi.
hawa ni wanamuziki ambao walikuwa  Mchinga Sound and ambapo leo jioni  katika ukumbi wa Vaticani City uliopo sinza wataikumbuka bendi hiyo ikiwa ni pamoja na kumpa pole aliyekuwa mmiliki wa bendi hiyo Mudhihiri Mudhihiri ambaye alikatika mkono kwa ajali ya gari wakati alipokuwa ikielekea jimboni kwake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kisiki cha mpingo, fadhila kwa wazazi..oh I cant wait

    ReplyDelete
  2. Lilikuwa gunia la misumari baadaye likamshinda Mh. Mdhihir!!!

    ReplyDelete
  3. Jamani wana mziki wetu sijui wakoj wamechoka mbaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...