
Kamanda wa Trafiki Dar afande Mohamed Mpinga (shoto) na Naibu Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai afande Peter Kivuyo (kati) na Mbunge wa Bariadi Mashariki Mh. Andrew Chenge wakielekea sehemu iliyotokea ajali ambapo gari alilokuwa akiendesha Mh. Chenge liligongana na Bajaji Ijumaa alfajiri na kusababisha vifo vya abiria wasichana wawili.
Mh. Chenge akieleza ajali ilivyotokea

gari alilokuwa akiendesha Mh. Chenge
Bajaji iliyogongana na gari la Mh. Chenge
Kwa habari kamili
Msema pweke siku zote ni mshindi
ReplyDeletebahati mbaya asamehewe tu vijisent wetu
ReplyDeleteMhhh mbona kazi anayo mzee wa "vijisenti".
ReplyDeleteHii ni kuonyesha jinsi gani usalama wa raia usivyotiliwa mkazo. Bajaj ni chombo kinachotakiwa kutumika kwenye barabara za mitaa na sio highways. Haille sellasie without speed limit postings is a highway automatically. Lets value the meaning of life by protecting our cistizens. Enforce regulations and make them clear to public. It doesnt cost that much. Mwenyezi awalaze marehemu mahala pema peponi. Amen.
ReplyDeleteNawapa pole wote walioguswa na ajali hii. Mungu awarehemu marehemu.
ReplyDeleteNaomba itolewe elimu kwa madereva wa bajaj maana wanaendesha vibaya, kwa kasi na kuchomeka.
Elimu endelevu inahitajika kuhusu usalama barabarani.
Mpenda TZ
Mungu azilaze roho za marehemu peponi, Na chengine serekali ione umuhimu wa kutotumia bajaji, hivi vigari sio salama kabisa. Mheshimiwa Raisi Tafadhali weka kikwazo kwenye hili suali. Bajaji sio usafiri salama. pole Mzee Chenge yote ni maisha.
ReplyDeleteAnon wa 8.27 a.m nakuunga mkono,mamlaka husika zinafanya nini kuhusu bajaj na mikokoteni? barabara zina sheria zake, speed limit etc, barabara za bajaj na mikokoteni ni lazima ziwe defined, mamlaka husika amkeni kabla watu zaidi hawajapoteza maisha yao!
ReplyDeletejamani jamani watanzania tuwe wakwelihivi mkiangalia hizo picha hapo kuna vyombo vilivyogongana hapo?? tutafika lakini kwa mwendo wetuu huo huo wa minyato.mwenyezimungu aziweka mahali pema,ameen
ReplyDeleteKwa kweli mie nawasiwasi na bajaji ndio yenye makosa, kwanini dereva wake akimbie baada ya ajali?na mara nyingi madereva wa bajaji hawapo makini nashangaa kwanini serikali imeamua kuzipa ruhusa kuranda barabarani wakati madereva wake hata ujuzi na leseni wengine hawana wanafundishana uchochoroni tu,na pia serikali imekataza vipanya kuingia mjini wakati huo huo inaruhusu bajaji kuingia mjini, hapa mie naona ni kuruka mkojo na kukanyaga mavi.
ReplyDeleteHii ni ajali kama nyingine, hao viongozi wote wanafanya nini hapo? Au ni VIP treatment?
ReplyDeleteHi
ReplyDeleteWadau
What was a required speed limit on that road?
What type of forensic evidence collected?
Was the area condoned for evidence?
Are the drivers both Mh. Chenge and Bajaj have valid driving licence?
What type of class of these licences?
Are Bajaj drivers attend driving school and if yes, what type of licence is issued to them?
Collission of these two vehicles tells a lot about the speed
Kazi ipo bongo!
Poleni wafiwa lakini tunataka haki itendeke
hii Cruiser jamani imegonga Bajaj au Lori yani imepondeka hivi, kumbe bajaj strong kiasi hicho
ReplyDeleteMichuzi hebu waambie hao Polisi kwamba si lazima kuvaa suti, wavae hata kanzu tu itakuwa poa. Suti gani hizo na matai ya ajabu ajabu na vitambi kama wana mawe tumboni? Kwani lazima? Si wavae mashati ya mitumba tu?
ReplyDeleteIt is so sad to loose someone you love,pole zangu ziko pamoja na wafiwa, Mungu ametoa na ametwa. What i would like to say is, driving in TZ is chaos, the way drivers drive their vehicles it is really disturbing. Government/authority needs to do something ASAP!
ReplyDeleteI knew Bajaj's were only accidents waiting to happen. I am not surprised. I was in Dar in early this March. Driving from Mwenge to Mlimani City a Bajaj driving from Ubongo just shot straight across my front fender as I was exiting the round about toward Mlimani Rd. He was supposed to give way to traffic in the round about. He narrowly esacped death with his passenger; and I escape unnecessary hussle! Given how we address issues more will have to die before anything is done. Pole Mr. Chenge and pole wafiwa. Sadly, this did not have to happen. God help Tanzania!
ReplyDeleteNakubaliana na muungwana hapo ya kuwa iwe ELIMU kwa madereva wa bajaji. WANAENDESHA KWA KASI, KUTOJALI NA KUCHOMEKEA. maskini dada wa watu hao wawili walopoteza maisha yao. Inavyoripotiwa ni kwamba mmoja wao alikuwa anatarajiwa kufungu ndoa, na ni mrembo. Mola awarehemu wote, kweli kizuri hakikai lakini wabaya wanaishi, VIUSO VIMEWAKAUKA KAMA TULIVYOJIONEA alipokuja mchungaji Ngurumo, wachawi na wenye viuso walijitokiza, NGURUMO AKAWAUMBUA KUWA NI WACHAWI, KIPAZA SAUTI IKABIDI KIZIMWE, Kwani MERCY MZIRAY aliomba hivi, na kutubu kuwa ameachana na uchawi na kwamba sasa ametaka kumjua MUNGU, kwani hana muda mrefu,NGOMA AMEISHI NAYO MIAKA KADHAA SASA amegundua ya kuwa waganga walimlia pesa tuu, hakuna cha maana, MPONYAJI NI MUNGU PEKEE. HALELUYA.
ReplyDeleteTUSHIKAMANE KU
NIMESOMA MAONI KILA KONA YA VYOMBO VYA HABARI CHA AJABU SIJAONA HATA MTU MMOJA ALIZUNGUMZIA SWALA LA CHENGE ALIKUWA AMELEWA.KWANINI MSIJIULIZE ,JE KAMA CHENGE HAKUWA AMELEWA JE ANGEWEZA KUEPUKANA NA HII AJALI? NA SWALI LINGINE KUHUSU SHERIA TANZANIA ,MTU AKIENDESHA GARI HUKU KALEWA NI KOSA AU SIO KOSA? KAMA SIO KOSA BASI WAJARIBU KUENDELEA KUANGAIKA KUPATA USHAIDI ZAIDI NA KAMA NI KOSA CHENGE BASI YUKO RESPONSIBLE MOJA MOJA.
ReplyDeletemda "cha mtu mavi"
Asamehewe tu Mzee Mbunge wetu sisi wanachi tunampenda tu kama alivyo na hiyo ajali inaweza kumtokea mtu yeyote tu na yeye ni binadamu kama mimi na wewe siyo Malaika! Mungu apokee roho za Marehemu.
ReplyDeleteAnonymous wa Tarehe March 28, 2009 3:22 PM unarukia issue ovyo jamaa mwenye suti ni lawyer wa Chenge unakupaka watu bila kuelewa undani wa picha.kila kitu mnapaka bora wanaokaa kimya kuliko wapayukaji maujingaz
ReplyDeleteDu!
ReplyDeleteFood for thought!
Sio kafara kweli hiyo..
Ni umbea tu, msichukulie serious..
Hahahaha
Jamaa hata hajakosea Suti zengine bwana hata hao Police hawana nizamu na uvaaji wa Sare zao za kazini Shati limemzidi ila muhimu wafanye kazi yao inavyotakiwa.
ReplyDeleteInaonekana Bajaj iligongwa kwa nyuma na shangingi la mbunge.
ReplyDeleteWabongo bwana. Kuna wadau wanadai eti dreva alipewa vijisenti akimbie.
According to the environment of that accident, the following are likely to be the probable cause:
ReplyDelete1. Alcohol.
2. Speeding.
3. Reckless Driving.
And I suggest the investigation to be based on all the above and also if proved that Mr chenge’s vehicle that was involved in the accident has no valid insurance coverage, then more charges are pending and he will be looking for up to 10 years behind slammer plus fines( No exceptional)
Georgetown Law school Grad.( Class of 2005).
R.I.P
Suala hapa si vibajaji kuwa kwenye barabara kuu/kubwa, suala ni utii na kuheshimu sheria za usalama barabarani. Suala ni umakini wa madereva wapokuwa wanaendesha.
ReplyDeleteINASIKITISHA SANA, ALIYERUHUSU BIASHARA YA BAJAJ JIJINI NANI??
ReplyDeleteNAE ANAPASWA KUWAJIBIKA.
KINGINE MR CHENGE KWANINI WEWE KAMA MBUNGE UNAEANGALIWA NA WENGI UKAENDESHA GARI ILIYO ISHA MDA?
ANGEKUWA MLALAHOI NISINGESHANGAA LAKINI KWA MTU ANAEELEWA KAMA WEWE HII NI FEDHEA UNAJIFEDHEHESHA MWENYEWE.
WATAJIFUNZA NINI WANA INCHI KUPITIA KWENU??
UGUMU WA MAISHA MNAJILETEA WENYEWE
CHENGE KAMA KAKA YANGU UMENIVUNJA NGUVU KWA KUENDESHA GARI ILIYOPITWA NA WAKATI
Hivi wadau mi naomba kuelewa mechinism ya Bajaj, huwa linatembea kinyumenyume(reverse motion) au inakuwa vipi?. Landcruiser najua huwa linaenda kimbelembele (foward motion).
ReplyDeleteKama Bajaj zinatembea kinyumenyume basi nakubaliana na statement kuwa ziligongana yaani moja inaenda huku ingine kule. Lakini picha za tukio zinonesha Bajaj imepondeka nyuma na Land Cruiser Mbele ni dhahili kuwa hizi gari zilikuwa zinaelekea upande mmoja na uwezekani wa kugonganga ni 0% ila uwezekano wa moja kugongwa na jingine ni 1000%. Hata mtoto wa chekechea ukimuonesha hizo picha Atakuambia kuwa "Land Cruiser Imegonga Bajaj" na ndiyo maana Show ya Land Cruiser imeharibika na Bajaj kuharika nyuma mpaka kusababisha vifo wa abiria ambao hukaa kiti cha nyuma na dereva wa kiti cha mbele kanusurika na kuingia mitini.
Michu na waandishi wengine andikeni habari kama ilivyo kuwa "LAND CRUISER LILIIGONGA BAJAJ" Sasa ni nani walikuwa wanaendesha hiyo ni kazi ya polisi lakini tukio si kugongana bali ni kuogongwa kwa bajaj. Maana nimesikia toka jana vyombo vyote ni "YAMEGONGANA" Jamani hii ni Physics ya kiuandishi wa habari au ni ya kiutetezi wa mtu fulani. Nitashangaa sana kama hata mahakamani itasemekana yamegongana badala ya Land Cruiser kugonga Bajaj. Tunarudi kule kule kwenye kuua bila kukusudia kwa mtu kutoa bastola kulenga mtu na ku-pull trigger. Vitendo vitatu vyote ambavyo vinajumuishwa ni "BILA KUKUSUDIA"
wewe anony unayesema wapayukaji maujingaz dio unaangukia katika kundi hilo. Maelezo kwenye picha yapo, mwenye yunifomu umeambiwa ni mkuu wa usalama mkoa wa Dar, mwenye suti ni naibu mkurugenzi wa upelelezi nchini na mwisho mzee wa vijisenti. Sasa wewe huyo lawyer ummemtoa wapi? Au kwako mtu akivaa suti tu tayaria anakuwa layer? Kazi kwelikweli.
ReplyDeleteWatoa mafunzo hapo jijini ... wizi mtupu mbona hamtoi mafunzo wa waendesha vibajaji??? mnangania kuchora vistari na suti za makonda!! VETA amkeni muwafunde hao wa vibajaji... na sa nyingine hata hao wahishimiwa hawana ishu wakishalamba laga zao huzani wao niwao tu nasie ni mawe wapite juu...
ReplyDeleteJamaa wanaitafuna sana nchi, cheki mitumbo ile kama mapakacha..Mungu warehemu wahanga wa ajali Amen.
ReplyDeleteHapo juu u mentioned a very good point...It's not about vibajaj au chenge its about reckless driving and this is what we need to focus on...
ReplyDeletePunish reckless drivers don't care ni Chenge,bitto au ni bajaji driver
Kuna anony anaitwa Majingaz hapo juu, sijui bwana yake ni polisi? Sasa kama huyo ni lawyer wa Chenge inabadilisha nini? Hiyo misuti ya hovyo, angalia huo lawyer wako alivyo na kitambi na tai nyekundu fupi, cheki suruali yake! Wewe nawe inaeleka ndio uvaaji wako.
ReplyDeletewhat was the purpose of all those officials + Chenge and company visiting the crash scene?
ReplyDeleteDid they do the same thing with the Bajaj driver? If not, then more questions arise.......
Masuala ya msingi kujiuliza:
ReplyDelete1. Kwa nini Mh.Chenge alikimbilia nyumbani kwake 10:30 alfajiri baada ya ajali?
2. Kwa nini aripoti polisi saa 1:30 asubuhi?
3. Je kipindi hicho cha masaa matatu nyumbani kilikuwa kwa ajili ya kuchanganyikiwa? ulevi? au mikakati ya kukabiliana na dereva wa Bajaj.
4. Dereva wa Bajaj alikimbia kwa kuogopa kuwa ajali hiyo ya kusikitisha inamuhusisha kigogo?
5. Dereva wa Bajaj kipindi chote cha kutoweka, ilikuwa ni ulevi, kuchanganyikiwa?
6. Mwendo wa kilometa kati ya 80 mpaka 100 katika barabara hiyo ni mwendo wa kawaida kiusalama hasa ikizingatiwa eneo?
7.Jopo linaloonekana ktk picha kuchukua maelezo ya Mh.Chenge ktk eneo la ajali pia litakubali kuja tena na dereva wa Bajaj ktk eneo la ajali na kupigwa picha?
Its not a rocket science! ajali zipo na zitaenedelea kuwepo .The issue is how do you the chance and severity of them. The fact is the weight and safety of bajaj does not match that of a 4 door truck, not even a 4 cylinder sedan. Seat belts, air bags, helmets were design for a reason! why tri cycle passengers allowed to travel without a helmet? why a moving vehicle with average speed 30 km/hr allowed in a major highway where other vehicles can travel up to 90 km/hr? maendeleo lazima yapokelewe na taratibu zake. public safety is a serious matter, we could have lost an experienced civil servant with over 30 yrs of experience in the govt. Remember he is a former minister who accomplished a lot for this Nation too.lets get to the point. utawala wa sheria unahitajika Tanzania. Mamlaka husika badala ya kufika ofisini na kuagiza chai wakati ukisoma magazeti, fanyeni kazi jamani. igeni mifani ya nchi nyingine, hakuna ubaya. Angalia ishu ya utambulisho, a country with 35 million citizens fails to identify its stakeholders in the 21st century? i can buy the machines my self and issue vitambulisho kwa kila mtu mwenye cheti cha kuzaliwa. ona sasa hata dereva tunashindwa kumtambua. speed up the case of identifying your citizens Mr Kikwete. It's not that hard for our govt to invest in the Technology. mbona safari zenu za nje wakubwa hazikwami? pesa ipo tusidanganyane. FANYENI KAZI VIONGOZI!!!!!!!! INAUMA SANA MNAVYOJITENGENEZEA MAISHA YENU NA KUSAHAU NCHI. Kama kila kiongozi akiheshimu nafasi yake kwa mwaka mmoja tu, Tanzania itafika mbali mno.
ReplyDeletemwenye suti hapo ni mwanasheria anaitwa mponda wote tunamjua kama wameandika naibu gani sijui basi wamekosea. ni mwanasheria mzuri sana kusema ukweli na nadhani hapo yuko kazini na sio kwenye fasion show hivyo hapo juu asiyeipenda suti yake na tai fupi sijui nadhani hakuelewa kuwa yupo hapo kikazi na si kwa ajili ya fashio show. na wewe mhamba peter sijui hapo juu kama kingereza kinakupiga chenga isiwe tabu ongea kiswahili tu badili ya hiyo broken english yako.
ReplyDeletewenye suti wako wawili. kuna dark brown hivi huyo sijui nani ila mwenye nyeusi na tai nyekundu ni mwanasheria
ReplyDeleteThe comment by anonymous of march 29 @ 7:39am is just Bs or simply crap. You can’t just say that because of chenge’s prominence in our country then he deserves to live and other’s is O.K. to perish. May be I need more clarification of your statement. Remember that we still waiting for the outcome of the ongoing investigation that lead to the causes of the fatal accident and nobody said that the fugitive individual is unknown, so I ask you to stay calm and stop making assumptions and pointing finger to anyone...... until then,
ReplyDeleteRest in Peace .
ajali ngapi zilizowahi kutokea bila kuundiwa tume ya uchunguzi kwani hii ina nini? tena watu walikufa ni wawili tu! kule arusha,Tanga watu wangapi walikufa katika ajali na hatukusikia tume? kuna nini kinataka kufichwa hapa? kwanza kabisa inabidi chenge awe jela kwa kuendesha gari bila bima ya gari kwa miaka 2! ebu fikiria ungekuwa wewe unaedesha bila bima ya gari wacha kupata ajali? nahisi bado tanzania hatuna usawa!mbona yule kijana aliyemuua chacha wangwe hakupewa dhamana? au tuseme hao marehemu ndiyo walioua chenge katika ajili hiyo wangepewa dhamana? jamani lazima tutenda haki kwa kila mtanzania kwa vile ni haki ya mtanzania kuwa na haki katika nchi yake.kumwachia mzee chenge huru ni kuendeleza matabaka ya walionacho na wasio nacho.
ReplyDeletelakini jamani hilo eneo kwanzia morogoro stores mpaka st peters pana hatari sana ajali nyingi hutokea na wengi hufa. serekali lazima ishughulikie pale barabata na taa maana ajali usiku zinazidi. mungu awarehemu marehemu na tusifanye kumchukia tu chenge wakati hatuna uhakika nini haswa kimetokea kisa mwanasiasa
ReplyDeleteNi kweli ajali aina kinga na kila mmoja wetu anaweza kusababisha ama kupata ajali. nawapa pole wafiwa wote na kuwatakia heri kwa mwenyewe mungu ili wawe na nguvu ya kuimili tatizo hili kubwa,lakini ninyi wenzangu wanaosema chenge asamehewe, mnasema kwa kuwa jambo hilo kalifanya mtu mzito?mbona sijawai kuwa sikia mkimuombea msamaha dereva wa daladala anapopata ama anaposababisha ajali?
ReplyDeletejamani naomba kuchangia kwenye hiyo suruali ya Mwanasheria hata kama hayupo kwenye fashion show but kiukweli imembana kiunoni/tumboni asigoze kifungo kidogo,nahisi kama anahemea jujuu.
ReplyDeletewewe anonym 11.18 am tukuone wewe unavyova usikute kituko kituko. inanishangaza huwa kwanini wanasheria tanzania wanalazimu kuvaa suti nyeusi au dar colours na joto lile na kwanini jaji hukaa kukusikiliza kama hujavaa hivyo. nadhani hiyo tumehcukua kwa wakoloni na sharti tubadili.
ReplyDeletethrough my personal experience bajaji mara nyingi zinakua hazifuati sheria za usalama barabarani. Na kwanini dereva wa bajaji kakimbia? maana ana kitu kinaitwa "Guilty consciosness" anajihisi kama anamakosa thus why hii kesi imekaa kushinda mheshimiwa chenge kwa m uonekano wa haraka tu na kumbukeni huyu jamaa ni mwanasheria pia anajua ku handle sheria sawasawa kuliko nyie mnaoongea ovyo
ReplyDelete