Home
Unlabelled
PPF Plaza lazinduliwa mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ramani ya jengo ni nzuri kila la kheri na mafanikio wakazi wa Mwanza inafurahisha kumuona Makamo wa Rais amefika hapo na kuzinduwa hyo shuhuli .Hivi Dr Ali M shein ametokea Pemba sehemu gani tunasikia tu kuwa amezaliwa na kukulia pemba yaani kwao nipemba lakini nilikuwa natakakujuwa jina la hiyo sehemu anyotoka Asanteni
ReplyDeleteHiyo picha ni kazi nzuri ya masoud Kipanya yaani amelitoa jengo kama lilivyo. Huyu jamaa ni mchoraji mzuri sana mimi mwenyewe nilikuwa kwenye kamati ya maandalizi ya hiyo sherehe na kila mwanakamati aliikubali kazi ya msaanii huyo.Big up Kipanya.
ReplyDelete