Kaka Michuzi,
Pole na kazi na asante kwa kazi nzuri ya kutupa habari za nyumbani. Naomba wapandishie wadau hii information kuhusu kushiriki Noorderlicht Photofestival 2009 Uholanzi labda kuna mtu atapenda kushiriki. Maelezo kamili yapo kwenye website
www.noorderlicht.com
au pitia
http://sophiasclub.blogspot.com/
Nakutakia wewe na team yako weekend njema,
asante.
Dada Sophie
http://sophiasclub.blogspot.com/
http://absolutelyawesomethings.blogspot.com/
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...