siku moja moja si vibaya kama tutajikumbusha mambo ya taswira. hapa ni wakati wa machweo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KAKA MICHU HII FOTO INANIKUMBUSHA WEEKEND MOJA JIONI NILIPOMPELEKA MMASAI MWENZANGU KUTOKA BUSH KUTEMBELEA BEACH THEN VIJANA WA KAZI WAKATUPIGA ROBA NA KUTUSEARCH KISHENZI. MSHIKAJI ALINYWEA NA HAKUAMINI ALIFIKIRI NI MOVIE.

    ReplyDelete
  2. Taswira imetulia sana Mh. Balozi. Mandhari safi, hakika mawio ya jua huwa yanapendeza sana ukiwa ufukweni.

    Sasa kaka mbona habari za ubingwa wetu (Yanga) hujaziweka?

    ReplyDelete
  3. hii picha inaonekana kama zenji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...