Ni Ya mwaka 1997
CC: 1,800
Period used: for 3 years
reason for sale: just got another car
Bei: maelewano.
shukrani,
Contact:
Cell: +255-784-518465


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Lady driven...

    ReplyDelete
  2. Hivi ni kwanini watu wengi Bongo hawapendi kutaja bei ya vitu wanavyouza hadharani kama hapa? Ingekuwa majuu, tangazo kama hili lingeambatana na bei, ukipiga simu unajua pa kuanzia.

    ReplyDelete
  3. Hibi "lady driven" inamaanisha nini?

    ----

    What quality does "lady driven" convey?

    ReplyDelete
  4. Gari zuri. Shin' ngapi?

    ReplyDelete
  5. Tuwekee bei kabisa, kuwa muwazi!

    ReplyDelete
  6. Wauza magari wakibongo bwana!mh!
    sasa mbona maelezo hayajitoshelezi?
    mfano tunataka kujua imetembea kilometa ngapi!
    wekeni data zote wazi ili mtu ajue kama mdau hapo juu alivyosema tupate pakuanzia. Bei siyo shida,tunataka detail za gari kwanza.

    ReplyDelete
  7. Mdau unaeuza gari hauko seriuos na bisahara.hakuna kitu kinaitwa bei ni maelewano weka bei watu wajue pa kuanzia most ya vitu mnavyouza bongo mnaweka kiuficho uficho.

    ReplyDelete
  8. Kibao cha nyuma (Rear number Plate inaonyesha kuna mtu alishawahi kumfanya huyo "Lady" BRAKE!!! Kwani kimenyooshwa nyooshwa... Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa...

    ReplyDelete
  9. Tafadhali weka na bei. samahani kwani ndio biashara zinavyokwenda jamaani, unauza kitu unakuwa muwazi, hayo ya maelewano yanafwata baadae,

    ReplyDelete
  10. Ndiyo mambo gani hayo tena Lady driven.Kesho itazuka mambo ya gay driven n.k.Jee inamanisha nini kama gari imeendeshwa na mwanamama?Siyo ma Bi wote ni good drivers na majority ya sisi ma bwana siyo good drivers either.

    ReplyDelete
  11. Ladies huwa wanaongoza kwa kugongwa nyuma.

    Na gents huwa wanaongoza kwa kugonga mbele.

    Hivyo potential clients for "lady-driven brand" please check kama nyuma pamekaa sawa.

    Na potential clients for "gents driven brands" chekini mbele kama pamekaa sawa.

    Habari ndio hiyo.

    ReplyDelete
  12. lady driven...wanawake wako careful wakiwa wanaendesha magari. hiyo inapunguza sana ajali za barabarani na inafanya gari linadumu muda mrefu zaidi. niambie kuna ajali ngapi tanzania dereva alikuwa ni mwanamke? wanaume wako very rough in driving, its nature. ukiangalia hata insurance ya gari ya wanaume iko juu kuliko ya wanawake....u go figure

    ReplyDelete
  13. unajua kwamba ukisema lady driven unazidi kututisha kwasababu huyo lady anaweza kuendesha gari mile moja kwa gear namba moja!

    ReplyDelete
  14. Tehe heh he he ,eti wanasema APE maana yale ilinunuliwa kwa pesa za EPA..hmm

    ReplyDelete
  15. hiyo gari inatembea au ni vip?
    je ni manual au automatic
    mealage ngapi?why the owner got another car? muwe wawazi si kutuuzia mbuzi kwenye gunia

    ReplyDelete
  16. Kuhusu swala la insuarance ya wanaume iko juu sina la kuongeza iwapo unazungumzia huko TZ lakini hapa nilipo Sweden my wife wangu analipa pesa zaidi za insuarance ya gari kuliko mimi ni lipouliza hawa jamaa wa insuarance Wanaitwa FOLKSAM wameniambia eti kutokana na uchunguzi wao wakina mama wanafanya ajali nyingi kuliko wanaume.Kwahiyo lady driven inatuma signals tofauti kutoka nchi hadi nchi.

    ReplyDelete
  17. there is nothing wrong with this vehicle, why you all have to assume things, if details weren't disclose, why don't you make things easier call the number. That's why it's there for. Why a lot of blah blah. People common sense Please!!

    ReplyDelete
  18. no thanks, i prefer when all the details (inluding the price) are disclosed, so that i can compare and be able to make better choice...., that's what the internet is for...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...