Home
Unlabelled
unaposhangaa ya mussa....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ama kweli majuu hamnazo na haya ndiyo ya firauni haswaaa!!!.... kwa kweli hii dunia ina mambo mengi tu ya kushangaza na kustaajabisha!!
ReplyDeleteMhhhh Hii kali. Mwanzoni nilizania huyo bibie ndio hazai kumbe wote wanaume hawazai. Wahame huo mji haraka kuna jambo hapo. Labda maji au something kinawafanya wanaume wasizae.
ReplyDeleteHuruma yake na huyo kwa kuibiwa though. Yaani angetunza hao watoto mpaka lini bila kujua kuwa ni wakwake jamani. Duh dunia hii kuna wanawake basi tu.
Lakini swali langu ni kuwa kwanini hao watu wasitumie IVF method?. Kwani lazima mwanaume siku hizi mtu kupata mimba jamani? Kwanza IVF most of the time guarantee to get pregnant and sometimes multimple...Wamuulize octomum ...
kweli Baba wa mtoto anajua mama. hi kali.
ReplyDeletekrs
netherlands
Shauri yenu washikaji ambao watoto wenu hawafanani na ninyi, hata kama ni mmoja, angalia sana huenda ilipigwa bao. Do! Asalaleeee!
ReplyDeleteNimejaribu ku search hii story kwenye Google as "Demetrius Soupolos, 29 and his former beauty queen wife, Traute" na nimepata jibu moja tu kutoka kwenye Nigerian Article!!! Story kama hii ningetakiwa kupata matokeo zaidi ya kumi hivyo siiamini hii story hata kidogo.
ReplyDeleteIngekuwa ni kweli tungeiona pia kwenye vyombo vya habari kibao hivyo 'I don't buy this story'
JK - TO
Jamani hii sasa inatisha. Unajua ni wengi tunatunza watoto ambao sio wetu. Unajua hakuna mwanaume asiyezaa labda tu mke wake awe mzembe wa kufikiri na kuchukua maamuzi sahihi kwa wakati muafaka. Nendeni mkapime DNA muone ni wangapi mnaojifanya mna watoto kumbe hakuna kitu. Ni mwanamke gani anayependa kuitwa mjaza choo tu kwenye ndoa yake wakati ana akili timamu.
ReplyDeleteSiri ya baba wa mtoto ipo kwa mama, na ndio maana kwenye familia iliyojengeka vyema, panazuka mtoto ambaye haendani kabisa na tabia ya familia hiyo.
ReplyDeleteHebu tujiulize swali, je tunaoana ili tupate watoto, au tunaoana ili tukamilishe mfumo wa mke na mume? Na je mapenzi ya kweli ni yepi?
Nasema hivi kwasababu zipo ndoa nyingi zimevunjika sababu ya kukosa mtoto, na huenda tatizo likawa kwa baba!
M3
DO HIYO N DO SIRI KUSIRINI SIKUMOJA YAJAFICHUKA.
ReplyDeleteINABIDI KILA MWANA BLOG UJISHUKU KAMA HUFANANI NA UNAEAMBIWA NI BABA YAKO.
dangerous desire...
ReplyDeleteSiri ya baba wa mtoto anaijua mama ...mmmhh sio wote wengine hata hawajui nani baba wanachomekea tu......house boy kapiga na wewe ukija wapiga sasa ya nani hiyo atasema???!!
ReplyDeleteKama unabahati kuwa na Bibi muonyeshe mtoto akimuangalia tu anakuambia mjukuu wangu hapa nina wasiwasi....ujue sasa DNA!