Home
Unlabelled
wamkumbuka mukulu huyu?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Joseph Kabasile Mamchuzi Mobutu Seseseko Kula makuku namapanya Ngbendu wazabanga (jina kwa kifupi)
ReplyDeleteMOBUTU SESE SEKO KUKU WAZABANGA, HUYU NDIYE ALIYEMUUA PATRICE LUMUMBA.
ReplyDeleteJina la huyo FISADI NAMBA MOJA ni Jenerali Joseph Mobutu Sese Seko Kuku Ngw'ebendu Wa Zabanga. Jogoo awikaye na kuacha kizaa zaa kila apitapo. Aliwakusema ni kweli kwamba waafrika wote wote ni maskini. Alimiliki majumba kuanzia Morocco, Uswizi, Ubeligiji, Ufaransa na kwingineko. Ni muuwaji mkubwa na kibaraka mkuu wa CIA na Marekani. Lakini kama kawaida yao wakamng'oa wenyewe. Alimuuwa Lumumba na wengine wengi wasio idadi. Kijiji kwake Badolite alijenga makasri ya kifahari na kuwaacha wazaire wakiwa maskini. Aliamini sana katika nguvu katika uchawi na nguvu za giza.
ReplyDeleteAfrika inao vichaa na wauwaji wengi kama Savimbi, Banda, Bokassa, Amini, Eyadema, Doe, Taylor, Sankoh, Said Bare, Abacha na wengine wengi tu.
Huyu jamaa alikuwaanaendesha Nchi kama home kwake....
ReplyDeleteKuna mtu aliwahi kusema pepo na moto viko hapa hapa duniani. He had both pepo first and finished with moto and so did Balali and Liyumba has just had his. Most of us have moto first and are made to wait for our pepo withouit any guarantee, though...
ReplyDeleteJina lake la kizungu ni Joseph Désire Mobutu lakini baadae alibadili jina kuwa la kimatumbi kama ifwatavyo - Mobutu Sese Seko Kuku Ngabendu Nyoso Wa Zabanga ikimaanisha "Jemedari hodari/imara ambae kutokana na ustahimilivu wake na dhamira kakamizi ya ushindi,ataongeza ushindi hadi ushindi huku akiacha moto ukiwaka nyuma yake"!
ReplyDeleteDesiree Joseph Mobutu Seseseko Ngbendu Kuku Wa Zebanga Wa Zabanga meaning Jogoo ambaye kuku mtetea hawezi kupiga mbele yake bila ya kupewa shughuli!!
ReplyDeleteHuyu Papaaa ni Joseph-Désiré Mobutu, aka Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa Za Banga. Aisee umenikumbusha mbali sana, huyu jamaa alikua kifaa. Tena jana nilikua nasikiliza wimbo wa Franco wa 'Kandida na biso'; utamu kweli. Hebu ucheki hapa: http://media.putfile.com/Candidat-na-Biso-Mobutu
ReplyDeleteMobutu ndio alikuwa FISADI wa nguvu, his personal wealth was his country's wealth which when he died it was estimated at $6billions. Mafisadi wa sasa hivi nadhani ni wanamuabudu huyu mtu. Pia kilikua na tetesi kwamba alikua anakodisha ndege ya air france kila mwezi kupeleka familia yake paris kufanya shopping
ReplyDeleteDIKTETA HAYAWANI MOBUTU SESESEKO KABASYELE KUKU NGEBENDU WA ZABANGA WAZAIRWAAA.
ReplyDeleteHUYU JINA LAKE NI REFU LAKINI HALIMFIKII MZEE KIBOKO CHA MADEREVA WA DALADALA (R I P), ALMARHUM UKIWAWAONA USIWASEME RAMADHANI HUSSEIN HASSANI ABUSHIRI DITOPILE WA MZUZURI a.k.a MTOTO WA MJINI
Ni mabutu Seseseko Kuku-dezengo wa-zabanga
ReplyDeleteMjusi
Mobutu seseko kuku ndege wa zabanga
ReplyDeleteMobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu Wa Za Banga
ReplyDeleteZee lilikua katili sana..na liliiba fedha nyingi. Maisha noma, kila mtu atarejea mbele ya haki!!!
ReplyDeleteZee lilikua katili sana..na liliiba fedha nyingi. Maisha noma, kila mtu atarejea mbele ya haki!!!
ReplyDeleteHuyu aliyefikiri ataishi milele inasemekana hajazikwa mpaka leo. Mwili wake bado umehifadhiwa huko umauti ulikomfikia. Wananchi wa Zaire wamedai endapo mwili utarudishwa watausulubu hata kama ni marehemu. Alikuwa ni mtu mwenye roho ya shetani.
ReplyDeleteMobutu Sese Seko did not kill Patrice Lumbumba. Lumumba was killed by Moise Tshombe's men with the help of Belgian and American operatives on orders from without. Tshombe had then declared the secession of Katanga and Lumumba sought help from the UN and later the Soviet Union (a fatal mistake).
ReplyDeleteMobutu is among African leaders who gave the continent a bad name but at the same made evident the West's double standards. He lived as though he was never going to die! Life is.....
Suluja Lindani
mzee !Joseph Disere Mobutu aka Mobutu Seseko Ngbendu kuku wa Zabanga!Mabanga munene ya Zaire.
ReplyDeleteMema aliyoyafanya ni kuyapiga marufuku majina yote ya kigeni na kuyadumisha ya kimatumbi.
Mabaya aliyoyafanya:Kwanza kuwatia jela mara kwa mara wanamziki kama Franco Rwambo makiadi lukanza mpene,na Pascal Tabu Ley Shinyamwe,wanamziki wengine waliishi kwa mashaka na Roho juu,na nchi yao zaire waliiona kuwa
kituo cha polisi na kutimukia ughaibuni,mojawapo waliotimukia na kufia ughaibuni ni Dk.Niko Kasanda Mpoi.
Watoto wake Zanga,Kongolo aka sadam walikuwa na uwezo wa kuingia nyumba ya mwanamume yeyote na kuchukua wake za watu!kubaka watoto wa shule.
Pia Mobutu alikuwa akitumia fedha nyingi kwa waganga wa kienyeji.
Ushenzi alioufanya ni kuweka fedha nyingi nje na kuzaa watoto zaidi ya 30 nje ya ndoa.
Mungu amlaze mahala pema na kumpa hukumu ya haki kwa yale aliyoyafanya.
Anakumbukwa kama Mwafrika ambaye ameiibia nchi yake ile mbaya na Iam sorry to say this not the only one na hadi hii leo kuna wengi wanamu imitate na wanajaribu kufikia rekodi yake but not that easy.
ReplyDeleteI hate this guy - I hated him in life and I hate him in death. But did you say he used a lot of money on "wagangas?" How I would love to be his "mganga!" One, he would have paid me much more than Kasusura paid his sangoma in Southern Tanzania and two, I would have had an opportunity to poison him just after my first salary was paid into my account! Who would need a second salary working for Mobutu, anyway?
ReplyDeleteHUYO NI JESEPH MOBUTU SESESEKO KUKU WAZABANGA WA ZAIRE.
ReplyDeleteMdau Msolopogazi USA.
MOBUTU FISADI nambari moja wa ZAIRE yeye ndio kamsababishia Lumumba kuuliwa Ila Mwenyezimungu ndio mwenye kuhukumu tunamuachia MOLA.
ReplyDeleteKitaaluma Mobutu alikuwa Mwandishi wa Habari.
ReplyDeleteJamaa ninauliza,
ReplyDeleteAti Mobutu wakati wakulala ilikuwa ni lazima pembeni ya kitanda chake wawepo askari wawili?
Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu Wa Zabanga.au joseph Desire Mobutu.
ReplyDeleteAlizaliwa 14/10/1930 Lisala Belgian Congo.
Alikufa 07/09/1997 umri miaka 66 kule Rabat Morocco
Na alikuwa Rais kwa miaka 32. 1965-1997 mengine mtamalizia nyie
Mdau UK
NYNGALAKATA MWIZI MKUBWA HUYU. HE FORMED A TOTALITARIAN REGIME IN ZAIRE, MISMANAGED HIS COUNTRY'S ECONOMY, AND ENRICH HIMSELFAND HIS FAMILY FROM ZAIRE NATURAL RESOURCES, AND MADE HIS NAME SYNYONYIMOUS WITH KLEPTOCRACY IN AFRICA. HE HAS MADE THE COUNTRY UNGOVERNABLE. THERE IS NO A SINGLE INSTITUION RUNNING PROPERLY; JUDICIARY, EXECUTIVE BRANCH, NOR THE LEGISLATIVE BRANCH. UTADHANI NCHI NDIO KWANZA IMEPATA UHURU. NAOMBA MOLA AZIDISHE MARUNGU HUKO MOBUTU ALIKO. AMEN
ReplyDeleteCha ajabu wabongo mnamkasirikia na kumlaani MOBUTU ambaye hana undugu wa karibu na nyie wakati kina MKAPA,MWINYI na wengine wameliibia Taifa la Tanzania wazi wazi na mnalijua hili kwa fika lakini hamuwezi kuwatukana na kuwalaani.
ReplyDeleteKweli Mbigiri umenena!!! Yaani ya Mobuto ni sawa kabisa na EPA, RADA, RICHMOND..Mobuto USA wamemtumia sana kupata access za Uranium ili kutengeneza nuclear bombs baada ya kuona wameridhika na walichotaka wakamuacha kwenye mataa...
ReplyDeleteNENDA KWENYE YUO TUBE UTAPATA HABARI ZAKE KAMILI TOKA YUKO KIJANA JESHINI, YOU JUST TYPE HIS NAME OR LUMUMBA NAME THEN YOU WILL SEE HOW HE WAS AN EVIL MAN, DOING UNSPEAKABLE STUFF. NA ALIKUWA MZEE WA TOTOZ ZA KUFA MTU.
ReplyDeletealiku kichaa
ReplyDeleteHuyo amepita, lkn mkumbuke mbuyu ulianza miti mingine yote. Je hawa wanaoanza leo watatufikisha wapi. Karibu tupige gumzo kwenye http://kakwaya.wapka.mobi
ReplyDelete