si vibaya tukijikumbusha viongozi wetu wa enzi hizo. natumai hapa wadau wenye data watatupa kila kitu ikiwa ni pamoja na jina kamili la mzee mobutu, pamoja na mambo kibao ikiwa ni pamoja na kubadili majina ya kizungu kuweka ya kimatumbi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. Joseph Kabasile Mamchuzi Mobutu Seseseko Kula makuku namapanya Ngbendu wazabanga (jina kwa kifupi)

    ReplyDelete
  2. MOBUTU SESE SEKO KUKU WAZABANGA, HUYU NDIYE ALIYEMUUA PATRICE LUMUMBA.

    ReplyDelete
  3. Jina la huyo FISADI NAMBA MOJA ni Jenerali Joseph Mobutu Sese Seko Kuku Ngw'ebendu Wa Zabanga. Jogoo awikaye na kuacha kizaa zaa kila apitapo. Aliwakusema ni kweli kwamba waafrika wote wote ni maskini. Alimiliki majumba kuanzia Morocco, Uswizi, Ubeligiji, Ufaransa na kwingineko. Ni muuwaji mkubwa na kibaraka mkuu wa CIA na Marekani. Lakini kama kawaida yao wakamng'oa wenyewe. Alimuuwa Lumumba na wengine wengi wasio idadi. Kijiji kwake Badolite alijenga makasri ya kifahari na kuwaacha wazaire wakiwa maskini. Aliamini sana katika nguvu katika uchawi na nguvu za giza.
    Afrika inao vichaa na wauwaji wengi kama Savimbi, Banda, Bokassa, Amini, Eyadema, Doe, Taylor, Sankoh, Said Bare, Abacha na wengine wengi tu.

    ReplyDelete
  4. Huyu jamaa alikuwaanaendesha Nchi kama home kwake....

    ReplyDelete
  5. Kuna mtu aliwahi kusema pepo na moto viko hapa hapa duniani. He had both pepo first and finished with moto and so did Balali and Liyumba has just had his. Most of us have moto first and are made to wait for our pepo withouit any guarantee, though...

    ReplyDelete
  6. Jina lake la kizungu ni Joseph Désire Mobutu lakini baadae alibadili jina kuwa la kimatumbi kama ifwatavyo - Mobutu Sese Seko Kuku Ngabendu Nyoso Wa Zabanga ikimaanisha "Jemedari hodari/imara ambae kutokana na ustahimilivu wake na dhamira kakamizi ya ushindi,ataongeza ushindi hadi ushindi huku akiacha moto ukiwaka nyuma yake"!

    ReplyDelete
  7. Desiree Joseph Mobutu Seseseko Ngbendu Kuku Wa Zebanga Wa Zabanga meaning Jogoo ambaye kuku mtetea hawezi kupiga mbele yake bila ya kupewa shughuli!!

    ReplyDelete
  8. Huyu Papaaa ni Joseph-Désiré Mobutu, aka Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa Za Banga. Aisee umenikumbusha mbali sana, huyu jamaa alikua kifaa. Tena jana nilikua nasikiliza wimbo wa Franco wa 'Kandida na biso'; utamu kweli. Hebu ucheki hapa: http://media.putfile.com/Candidat-na-Biso-Mobutu

    ReplyDelete
  9. Mobutu ndio alikuwa FISADI wa nguvu, his personal wealth was his country's wealth which when he died it was estimated at $6billions. Mafisadi wa sasa hivi nadhani ni wanamuabudu huyu mtu. Pia kilikua na tetesi kwamba alikua anakodisha ndege ya air france kila mwezi kupeleka familia yake paris kufanya shopping

    ReplyDelete
  10. DIKTETA HAYAWANI MOBUTU SESESEKO KABASYELE KUKU NGEBENDU WA ZABANGA WAZAIRWAAA.
    HUYU JINA LAKE NI REFU LAKINI HALIMFIKII MZEE KIBOKO CHA MADEREVA WA DALADALA (R I P), ALMARHUM UKIWAWAONA USIWASEME RAMADHANI HUSSEIN HASSANI ABUSHIRI DITOPILE WA MZUZURI a.k.a MTOTO WA MJINI

    ReplyDelete
  11. Ni mabutu Seseseko Kuku-dezengo wa-zabanga

    Mjusi

    ReplyDelete
  12. Mobutu seseko kuku ndege wa zabanga

    ReplyDelete
  13. Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu Wa Za Banga

    ReplyDelete
  14. Zee lilikua katili sana..na liliiba fedha nyingi. Maisha noma, kila mtu atarejea mbele ya haki!!!

    ReplyDelete
  15. Zee lilikua katili sana..na liliiba fedha nyingi. Maisha noma, kila mtu atarejea mbele ya haki!!!

    ReplyDelete
  16. Huyu aliyefikiri ataishi milele inasemekana hajazikwa mpaka leo. Mwili wake bado umehifadhiwa huko umauti ulikomfikia. Wananchi wa Zaire wamedai endapo mwili utarudishwa watausulubu hata kama ni marehemu. Alikuwa ni mtu mwenye roho ya shetani.

    ReplyDelete
  17. Mobutu Sese Seko did not kill Patrice Lumbumba. Lumumba was killed by Moise Tshombe's men with the help of Belgian and American operatives on orders from without. Tshombe had then declared the secession of Katanga and Lumumba sought help from the UN and later the Soviet Union (a fatal mistake).

    Mobutu is among African leaders who gave the continent a bad name but at the same made evident the West's double standards. He lived as though he was never going to die! Life is.....

    Suluja Lindani

    ReplyDelete
  18. mzee !Joseph Disere Mobutu aka Mobutu Seseko Ngbendu kuku wa Zabanga!Mabanga munene ya Zaire.
    Mema aliyoyafanya ni kuyapiga marufuku majina yote ya kigeni na kuyadumisha ya kimatumbi.
    Mabaya aliyoyafanya:Kwanza kuwatia jela mara kwa mara wanamziki kama Franco Rwambo makiadi lukanza mpene,na Pascal Tabu Ley Shinyamwe,wanamziki wengine waliishi kwa mashaka na Roho juu,na nchi yao zaire waliiona kuwa
    kituo cha polisi na kutimukia ughaibuni,mojawapo waliotimukia na kufia ughaibuni ni Dk.Niko Kasanda Mpoi.
    Watoto wake Zanga,Kongolo aka sadam walikuwa na uwezo wa kuingia nyumba ya mwanamume yeyote na kuchukua wake za watu!kubaka watoto wa shule.
    Pia Mobutu alikuwa akitumia fedha nyingi kwa waganga wa kienyeji.
    Ushenzi alioufanya ni kuweka fedha nyingi nje na kuzaa watoto zaidi ya 30 nje ya ndoa.
    Mungu amlaze mahala pema na kumpa hukumu ya haki kwa yale aliyoyafanya.

    ReplyDelete
  19. Anakumbukwa kama Mwafrika ambaye ameiibia nchi yake ile mbaya na Iam sorry to say this not the only one na hadi hii leo kuna wengi wanamu imitate na wanajaribu kufikia rekodi yake but not that easy.

    ReplyDelete
  20. I hate this guy - I hated him in life and I hate him in death. But did you say he used a lot of money on "wagangas?" How I would love to be his "mganga!" One, he would have paid me much more than Kasusura paid his sangoma in Southern Tanzania and two, I would have had an opportunity to poison him just after my first salary was paid into my account! Who would need a second salary working for Mobutu, anyway?

    ReplyDelete
  21. HUYO NI JESEPH MOBUTU SESESEKO KUKU WAZABANGA WA ZAIRE.

    Mdau Msolopogazi USA.

    ReplyDelete
  22. MOBUTU FISADI nambari moja wa ZAIRE yeye ndio kamsababishia Lumumba kuuliwa Ila Mwenyezimungu ndio mwenye kuhukumu tunamuachia MOLA.

    ReplyDelete
  23. Kitaaluma Mobutu alikuwa Mwandishi wa Habari.

    ReplyDelete
  24. Jamaa ninauliza,

    Ati Mobutu wakati wakulala ilikuwa ni lazima pembeni ya kitanda chake wawepo askari wawili?

    ReplyDelete
  25. Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu Wa Zabanga.au joseph Desire Mobutu.
    Alizaliwa 14/10/1930 Lisala Belgian Congo.
    Alikufa 07/09/1997 umri miaka 66 kule Rabat Morocco
    Na alikuwa Rais kwa miaka 32. 1965-1997 mengine mtamalizia nyie

    Mdau UK

    ReplyDelete
  26. NYNGALAKATA MWIZI MKUBWA HUYU. HE FORMED A TOTALITARIAN REGIME IN ZAIRE, MISMANAGED HIS COUNTRY'S ECONOMY, AND ENRICH HIMSELFAND HIS FAMILY FROM ZAIRE NATURAL RESOURCES, AND MADE HIS NAME SYNYONYIMOUS WITH KLEPTOCRACY IN AFRICA. HE HAS MADE THE COUNTRY UNGOVERNABLE. THERE IS NO A SINGLE INSTITUION RUNNING PROPERLY; JUDICIARY, EXECUTIVE BRANCH, NOR THE LEGISLATIVE BRANCH. UTADHANI NCHI NDIO KWANZA IMEPATA UHURU. NAOMBA MOLA AZIDISHE MARUNGU HUKO MOBUTU ALIKO. AMEN

    ReplyDelete
  27. Cha ajabu wabongo mnamkasirikia na kumlaani MOBUTU ambaye hana undugu wa karibu na nyie wakati kina MKAPA,MWINYI na wengine wameliibia Taifa la Tanzania wazi wazi na mnalijua hili kwa fika lakini hamuwezi kuwatukana na kuwalaani.

    ReplyDelete
  28. Kweli Mbigiri umenena!!! Yaani ya Mobuto ni sawa kabisa na EPA, RADA, RICHMOND..Mobuto USA wamemtumia sana kupata access za Uranium ili kutengeneza nuclear bombs baada ya kuona wameridhika na walichotaka wakamuacha kwenye mataa...

    ReplyDelete
  29. NENDA KWENYE YUO TUBE UTAPATA HABARI ZAKE KAMILI TOKA YUKO KIJANA JESHINI, YOU JUST TYPE HIS NAME OR LUMUMBA NAME THEN YOU WILL SEE HOW HE WAS AN EVIL MAN, DOING UNSPEAKABLE STUFF. NA ALIKUWA MZEE WA TOTOZ ZA KUFA MTU.

    ReplyDelete
  30. aliku kichaa

    ReplyDelete
  31. Huyo amepita, lkn mkumbuke mbuyu ulianza miti mingine yote. Je hawa wanaoanza leo watatufikisha wapi. Karibu tupige gumzo kwenye http://kakwaya.wapka.mobi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...