World football body Fifa has reassured Africans that next year's Fifa World Cup will benefit the entire continent, and not only South Africa.
According to Minister’s highlights who met in London recently March 2009, this sounds good and positive. Speaking on how Africa was set to benefit from next year's tournament, Fifa spokesperson Delia Fischer said there were several programmes in place under Fifa's social responsibility project planned to land to neighbouring counties.
Among these countries Tanzania doesn’t seem to have been assigned any legacy linked programme. Could we have an idea on how Tanzania is likely to benefit?

What programmes have been assigned to Tanzania to date?

Does Tanzania features in any pre-planned programme?
If yes which programme and if No what went wrong?
Are there any legacy projects in place linked to the soccer tournament, for Tanzania?

Recent meeting in London has made known that Tanzania hasn’t authoritatively been assigned any tangible or legacy linked project. Other countries according to anecdotal sources have been assigned their share. Is it too late for Tanzania to request for legacy programme?
Who should be held liable for such obvious “failure” and follow up?

Can Michuzi’s readers or someone out there facilitate on what went wrong?
God bless Africa
God bless Tanzania
Hildebrand shayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Mhm kwenye mwaka wa uchaguzi, aisee mie ntakuwa busy natetea kiti changu cha ubunge na sio kufanya mambo ya maendeleo kama haya!

    ReplyDelete
  2. Dr. Shayo, hapa kweli umenena. Ungemuuliza waziri wa michezo na utamaduni alichukua jitihada gani na kama alikwama alitumia mbinu gani kuhakikisha angalau hata michezo ya kujiweka sawa na hali ya hewa imefanika Tanzania, si tunaliuwanja likubwa tu?

    Hii ndiyo maana tunawaombeni mrudi kutuamsha. Opportunity zipo tena nying lakini Mh! Mh! mh!

    Kazi ipo

    ReplyDelete
  3. Hivi wewe Dr Shayo uko dunia ipi?
    mwaka huo utakuwa mwaka wa uchaguzi
    wewe huwaelewi wanasiasa wetu?

    Lakini hapa J.K kikwete anaweza akapima ubunifu wa mawaziri wake, jamani hata kupata mechi mbili tu au moja kuchezwa Tanzania?

    Kuna kitu kinaitwa climatisation ya wachezaji hata deal hiyo iliwashinda hao waheshimiwa kuishaushi FIFA

    Du Kazi kweli kweli, Dr. shayo wewe endelea na tafiti zako huko ukija huku watakufrastrate bureeeeeeeeeeee.

    tetesi tulizopata ni kuwa kwenye mkutano uliofanyika london ulibaini kuwa tanzania wala haijaomba baadhi ya michezo ya climatisation na mazoezi yafanike Tanzania wahusika walipoulizwa umejiandaandaje jibu wanajua walilolitoa. It is sad.

    ninajumuisha dondoo za huo mkutano na nitawaleteeni nchi jirani zitakavyofaidika na haya mashindano, na tanzania tunaachwa kama "kisiwa"
    kisa baadhi ya watu fulani wanakuwa na matatizo ya kutokuwa wabunifu.

    ReplyDelete
  4. Dear Mdau Shayo na wengine,
    On my side, i don't really understand the way our country affairs are run. Tanzania had all what it takes to tape up a lot of opportunities made available to us before, during and after the World Cup 2010.
    Personally, i made an effort to link TFF,and South African World Cup Organizing Committee. I had spoken earlier on in 2006 (I remember it was the day Maximo was announced the national coach) with TFF about consulting the Government about this. A colleague of mine who is a pertner to Danny Jordan (Chief Executive of the World Cup 2010 Organizing Committee), TFF and I agreed to consult the Government so that the national task-force is formed to unveil all the possible ventures for Tanzania to benefit. Danny Jordan was also introduced about this and he was very positive. Remember, this was 2006.
    Surprisingly, when I contacted the Government via Ministry of Natural Resources and Tourism (MNRT) later, they told me that the Government had decided to participate in through SADC initiative. That, SADC as a Community will find ways to benefit all the members. So, the Government submitted the sketches of the New National Stadium and some tourism attractions to SADC Secretariat. They also gave me part of the sketches they have sent to SADC.As a Govt servant, I couldn't do anything more. Just to wait and see.
    So, from that time, we're waiting for any initiative that will be designed by SADC for its members to benefit.
    This is, I tell you Shayo, one of the things that have let our country down.We don't even investigate and see what others are doing.We think that other countries in SADC have just sat down like us to wait for SADC. We have always behaving like this and costed a lot the nation. We had spoken at length with TFF about developing a technical proposal that will address all issues related to Tourism, Pre-match trainings, Immigration, Accommodations, Flight arrangement (for ATCL), Catering, Visa,trade and investment promotions and all that.The Govt task-force had to have a Coordinating Point. Surprisingly again the Minister for Sports will tell you ask MNRT.
    But I had (of course with the other parties) to put hands-up. This is Tanzania. We don't even think that Namibia, Botswana, Angola, Zambia, Mozambique, etc are working hard on their own, and if SADC comes up with anything relevant they just complement it.When you ask responsible people, you will get thousands of "good" answers. Si unajua Tanzania ni hodari wa kuongea na kupanga mikakati - kutekeleza...!!!Pia tuna sababu nyingi na nzuri za kushindwa kutekeleza mipango yetu.It is so disapointing kujitolea for your own nation, mpaka mtu unakata tamaa.

    May be there are some updates from you guys. Keep us updated.

    Geoff Mwambe
    Mannheim, Germany

    ReplyDelete
  5. ..Nasikia kuna task-force; pia si kuna Baraza la taifa la Biashara (National Business Council?)na Tanzania Private Sector Foundation? Sijui lakini yawezekana 'wameikalia politiki'..ni kale kale ka-maradhi ketu ka ubunifu (inawezekana ugonjwa wetu mkuu wa-Bongo si 'usenene'..usenene ni dalili/ symptomatic tuu za 'ubunifu kwishnehi'...) Si yetu macho, tuone mnamo 2010 watakuja na visingizio gani...UZENG

    ReplyDelete
  6. I don't know about direct benefits, but from what I have heard is that the English FA and the Italian football federations have requested to put a camp in Dar-es-salaam and train at our national stadium before going to South Africa. The measures have been taken due to security issues in SA and they would like to acclimatise in Tanzania.

    This will bring attention to our country especially if it is the English FA, as many of their supporters will join them and publicity from their media channels such as BBC.

    ReplyDelete
  7. Du, Dr Shayo hapa kweli umegusa nyoyo za wapendao michezo. Hivi huyu Mh. bendera ambaye ni waziri mhusika anatembelea hii tofuti?

    Huyu mdau wa kutoka Germany you have given up what should have been done.

    Kuna bwana mmoja yuko Dar anaitwa Narsis Mboya. Huyu naye ni kijana mwenzetu. Huyu alijitahidi sana hata kuongea na kutengeneza mtiririko wa tanzania ingefaidikaje lakini wapi.

    Hiyo ndiyo bongo yetu. Jamani tumsaidieni Jakaya. Anahitaji msaada wetu. Kama aliowaweka wanashindwa kudeliver, then awape nafasi hiyo wale ambao sio tu watajisifia kwa kuwa mawaziri na makatibu wakuuila watu ambao baada ya kupewa nafasi hizo wanakuwa wabunifu.

    Huu ni wakati wa kujiendeleza na tunakila sababu za kufanikiwa.

    ndugu Dr. Shayo, nashukuru kwa kuanzisha huu mjadala, tuwasikie watakuja na majibu gani

    Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  8. DR SHAYO

    WEWE UKO KATIKA CHAMA GANI CHA SIASA?
    INAELEKEA UNATAFUTA UBUNGE WA KUTEULIWA! OLA LAAAAAAA

    ReplyDelete
  9. KUSEMA MBALI NA KUTENDA MBALI.KWANINI HAKUWASILIANA NA UBALOZI JUU YA HILI?

    ReplyDelete
  10. saria israelMarch 28, 2009

    Dear Anonymous uliyetoa hoja hapo juu, nani hakuwasiliana na ubalozi?
    na ubalozi gani?
    Na wa nchi ipi?
    Kwani kazi ya maofisa wa mabalozi ni nini?

    baba yangu alipokuwa balozi mara nyingi nilikuwa nikimsikia akijaribu kutumia maofisa wake kujaribu kutaka kujua kila kitu ambacho kilikuwa kinaendelea kinachohusu tanzania

    wapo waliokuwa wanapitia magazeti, kuhudhuria makongamano, kuangalia NGos wanafanya nini pale tanzania inapohusika nk nk

    Sasa hivi Mungu ndiye anajua wale wanaoitwa cultural atacheee wanafanya nini.

    Narudia kule kule, ukipewa na fasi ya kuwakilisha taifa lako au watu wako , kuweni wabunifu na makini,
    mnatakiwa muwe mnawapa wale wenye maamuzi undani wa mambo kama haya.

    yetu macho, jana Rais kateuwa wakuu wa wilaya, tuwapime baada ya miaka mitatu waulize ni kitu gani umetenda katika wilaya yako uliyopewa ambayo kitaifanya ikukumbuke majibu yatakuwa ya kuchekesha

    Tanzania, kazi tunayo

    ReplyDelete
  11. SHAYO ALITAKIWA KUWASILIANA NA UBALOZI WETU UK HAWANA MIZENGWE WANGEMSAIDIA.

    MAOFISA WA UBALOZI NI WA CHACHE.HIVYO SISI TULIOPO NJE YA NCHI NI MABALOZI WA NCHI KAMA KUNA JAMBO JEMA TUWAPELEKEE.BALOZI WA uk MWANAIDI MAAJAR NI MSIKIVU NA ANAFUATILIA UKIMPA JAMBO.

    MIMI NIMEPELEKA MENGI NA YAMEFANIKIWA.

    SHAYO ANGEKUWA MTENDAJI ANGEWASILIANA NA WIZARA,UBALOZI AU HATA KULIWEKA HAPA KWA MICHUZI KUWA KUNA FURSA HII.
    WATANZANIA WENGI TUNAPENDA KUKOSOA TU BILA KUTOA SOLUTION.

    SWALI KAMA ALIKUWA ANAJUA HILI ALIKWENDA UBALOZINI?KUNA WEBSITE ZA WIZARA NA MOBILE PHONE ZA MAWAZIRI ZIKO NJE NJE. HATA RAIS WETU JK ALIPOKUJA UK ANGEMWAMBIA KUNA JAMBO HILI ASINGEPATA TABU.

    KWANI JK AMESHAONGEA LIVE NA WATANZANIA UK ZAIDI YA MARA MBILI NA ANACHUKUA MAONI YA WANANCHI, KWANINI MLETA MADA HII HAKUTUMIA FURSA HIZO?

    NARUDIA TENA KUSEMA NI RAHISI KULIKO KUTENDA.

    MNAOLETA MADA HUMU ELEWENI KUWA KUKOSOA NI RAHISI KULIKO KUTENDA.KAMA TUMEKOSA FURSA HII WOTE TUNA MAKOSA WALIOKUWA WANAZIJUA TAARIFA HIZO NA KUZIKALIA WANA MAKOSA ZAIDI.

    KAMA TFF WAMEWEZA KUWASHAWISHI NEW ZEALAND KULETA TIMU YAO KUCHEZA NA STARS WASINGESHINDWA HILO.PIA WAMELETA TIMU YA TAIFA YA GHANA.
    UBALOZI WETU UMESAIDIA KUJA BENDI KAMA JAHAZI MODERN,ZE COMEDY N.K KWA HILI WANGEPEWA WASINGESITA KULIFANYIA KAZI.

    ReplyDelete
  12. Geoff Mwambe, GermanyMarch 30, 2009

    Inanisikitisha kuona maoni kama haya hapa juu ya Anonymous wa March 29, 2009 11:55 PM. Ndugu yangu Tanzania ikiwa na watu wa aina yako itatuchukua miaka zaidi ya milioni 1 kufikia maendeleo kidogo ya Botswana na South Africa. Unakosoa concern ya Shayo na wala husomi wenzio wame-comment nini kabla yako. Watu wamefanya jitihada binafsi bila hata kupata posho ya serikali lakini serikali wakapanga njia yao. Sasa kama njia iliyopangwa na serikali ime-fail nani alaumiwe? Maana ya kupewa madaraka na kukusanya kodi ni nini? Wewe raia una kikomo chako. Serikali ina mkono mrefu kuliko wewe na kile kikao cha London si cha kukurupuka tu mtu asubuhi kubeba ka-folder anaenda kuhudhuria. Kilishapangwa na mikakati kupitiwa siku nyingi.
    Lazima tujifunze kuwa responsible. Ukishapewa kodi zetu na una raslimali watu serikalini, ni wewe kukaa chini na ku-plan na ku-implement. Ukishindwa kufanikiwa kwenye jambo ijulikane ni failure na ukifanikiwa ni success. Sasa unataka mtu akiboronga tusimlaumu. Na anayeiba akadai alikuwa na njaa si angeachiwa?
    Naomba watanzania tusiwe na moyo na hulka ya namna hii. Serikali inajua vitu vingi kuliko unavyofikiri. Acha kukosoa wenzako, jifunze kutoka kwao. Soma comments za wengine na kwa ujumla wote tusonge mbele kwenye kuendeleza taifa. Usipende kuona sifa tu, tafuta kujua mapungufu pia. Na kama kukosoa kumezidi basi ujue mapungufu ni mengi. Hivyo dawa si kulaumu wanaokosoa bali kuyafanyia kazi mapungufu. Hii itaturudisha nyuma sana. Pia acha dhana ya kuwa kila kiongozi ni kiongozi bora. Ni vitu tofauti. Kama hatujiwekei mfumo wa kila mtu kuwa responsible kwa nafasi yake, tutapiga mark-ime kila siku. Kama kiongozi haku-perform ingawa aliwezeshwa, then awe responsible. Obama kwenye AIG bonus issue amesema kabisa kuwa yuko responsible kwa kutokuwa careful kwani documents za AIG kwa bail out ili-state clearly kuhusu bonuses ila White House, Congress and Senate didnt look at it as a big issue.

    Geoff Mwambe
    Germany

    ReplyDelete
  13. prosper MushiMarch 30, 2009

    hi
    Jamini mbona tena mnamshambulia Dr. shayo?
    yeye hajasema alikuwa analijua hili.
    Alikuwa anshangaa ni hatua zipi zimechukuliwa kupata hii na fasi na kutaka kujua kama tanzania itanufaikaje.

    Aliyetoa mada hii ya kuwa alijitahidi ni mdau mmoja alieyeko Ujerumani. Au kuna shayo wa Ujerumani na shayo wa London?

    Pili, masema ati angeiwakilisha issue kwa ubalozi, issue za mikataba ya madini yanafanyika hotelini, kwa vile 10% ipo, je hili la kunufasha taifa

    Hivi unaelewa utaratibu wa kumuona kiongozi wa juu anapotembelea mahali kama hapa UK? huwa wanakuwa na ratiba kali, na si rahisi ujue kama kiongozi fulani anakuja, so when should one make an appointment ya kumuona kiongozi?

    Hivi majuzi Waziri mkuu alikuwa anapita hapo London, baada ya ziara yake ya kuangalia shughuli za bandari zinafanywaje huko Ireland, je watanzania wangapi walijulishwa kuwa angekutana na watanzania?

    Waziri mkuu, alikiri kuwa tanzania mambo yanahitaji kusukumana ili yaende, sasa unataka kutuambia nini.

    Jamani someni nani katoa hoja gani, na ni nani anachangia hoja gani , ndipo wewe uweke your comment.

    Siyo kukurupuka tu na kusema hili wala lile, Mdau alioanzisha hii mada kuwa alijitahidi YUKO UJERUMANI NA SIYO DR SHAYO

    Cant you read from the beginning?
    therefore mtoa maoni anonymous unayedai kuwa shayo alitakiwa awasiliane na ubalozi wetu wa uk, umeshindwa kufuatilia mtiririko wa hili jambo.

    Pili, unaelewa ni e mail ngapi zilitumwa na huyo mdau wa Ujerumani kuhusiana na hili jambo, na hazikujibiwa kutoka huko Tanzania?
    Au mnataka tuweke cc ya hizo e mail na zilikuwa zimepelekwa kwa nani kwa udhibitisho wa kuonyesha uzembe uliopo? Hata kujibu kuwa tumepoke e mail halikuwepo.

    Pili suala kama hili, ni la kitaifa waziri mhusika anatumia web based email ya yahoo, or hotmail. How can you trust these e mail kama issue yenywe ni ya kitaifa?

    Hizi forum zinasaidia kuwaamsha wale waliolala au wanaotaka kuzembea kazi zao.

    Namalizia kusema kabwa ya kuchangia USIKURUPUKE TU NA KUWEKA COMENT, please take time to read what other have said, identify where there is a logic, na toa mchango wako na siyo kuanza kulaumu mtu ambaye wala siyo mhusika.

    Mungu ibariki tanzania
    na wale wote wanaotaka maendeleo ya taifa la watanzania
    Nawakilisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...