Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. nwweeeee kuweni makini mkitengeneza vitu kutumia bendera yetu. Yaani leo imekua coral blue na red humo humo?????? imitation uzalendo and not heart heart raha sanaaaaa...

    ReplyDelete
  2. Hassan kuwa makini.Kama unatoa tangazo kuuhusu maswala ya ki Tz usipotoshe watu.Hiyo nirangi ya bendera yetu kweli.Pata ushauri kwanza kabla hujafanya jambo.

    ReplyDelete
  3. hawa wanababaisha,ona hiyo bendera rangi yake.

    Inaonyeshaa hawako makini au elimu ndogo.

    kuweni makini ni kosa kubadfilisha bendera ya nchi bila kufuata sheria zilizowekwa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2009

    we anon hapo juu aliyekwambia kama aliyetoa hilo tangazo ni hassan nani,acha tabia yakukurupukia majina ya watu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...