nyota waziri akikata moja ya keki mbili ambazo marafiki walimuandalia kusherehekea hepibesdei ya kuzaliwa kwake jumamosi usiku ukumbi wa new msasani club nyuma ya ubalozi wa marekani ambako the kilimanjaro band wana njenje hupiga kila jumamosi
mama wa mitindo asia idarous-khamsin akimlisha keki nyota hukumarafiki wakishuhudia
nyota akimlisha mai hazbendi wake waziri ally keki katika hafla fupi ya hepibesdei ya kuzaliwa kwake
nijivunge nichekwe....
marafii wakimlisha nyota keki kwenye hafla hiyo
marafiki wakimuimbia nyota hepi besdei tu yuuuu wakati anakata keki ya pili aliyoandaliwa
nyota akilisha keki marafiki wa karibu
ndugu na marafiki wa nyota wakipozi wakati wa hafla hiyo
moja ya keki mbili ambazo marafiki walimtayarishia nyota waziri kusherehekea besdei yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. there were no forks?

    ReplyDelete
  2. kakaangu michuzi sasa ushantia aibu plz hiyo da fulanazzzzzzzz harusini patini sasa wanitia aibu ungekuwa mume wangu basi ningeitia motozzzzzzzzzzzzzz nipe adress yako nikutumie t-shart nzuri nzuri mdau kutoka toronto canada.huyo aliye kwambia unapendeza na hiyo t-shart kakudanganya.

    ReplyDelete
  3. Happy birthday nyota, mungu akupe miaka mingine kama hiyo uliyonayo, na mis sana njenje kama ningekuwa tz na mimi ningekuwa ndani ya nyumba.

    mkuu wa nanihii ze kauka nikuvae haijachanika tu ili ununue ingine!!!

    ReplyDelete
  4. Forks or Folks? kwi kwi kwi kwi!

    ReplyDelete
  5. Jamani zingatieni usafi, mikonozz kulishana keki sio vizuri hujui mikono imetoka kushika nini. Afya ni utu

    ReplyDelete
  6. mungu akujalie maisha marefu na maisha marefu katika ndoa yako u look lovely
    naona my husband wako anachekelea keki hiyo maana shurti karembua macho
    keep taking good care of you and your lovely husband
    yo both look lovely

    mdau canada

    ReplyDelete
  7. Mdau, OmanApril 06, 2009

    Mkuu wa wilaya ya nanihii, Du! ze fulanaz everewea! hadi kwenye besdei ya selebriti? Kweli watengenezaji wa ze fulanaz inabidi wakupe promosheni

    ReplyDelete
  8. yak yak!!uchafu gani huo,kulishana keki kwa mikono..sio kila anayeenda chooni ananawa mikono..mmevaa vizuri lakini upungufu wa ustarabu kidogo..

    ReplyDelete
  9. Mkuu wa Wilaya hiyo fulana ndio vazi lako na ndio kitambulisho chako POOAA. Ila sijapenda ulivyolishwa hiyo keki kwani inaonyesha kama ulilazimisha au hajapenda akulishe!! au labda kwa ajili ya picha?

    Mohamed

    ReplyDelete
  10. ah hii fulana nikiiona siku hizi inanichefua,kwa hisani yako mtoto wa mzee nanihii fanya juu chini hichi kafulana cha baba kiondoshe au kichome moto utapata thawabu maana kinanitiribuaaa.

    ReplyDelete
  11. braza mithupu hiyo fulanaz ni ya kwa zizzou nini? isije ikawa ndo billboard yake ya kututangazia. halafu mbona ni kama hiyohiyo kila siku, unazo nyingi za design moja, au moja ikikauka inatwikwa chapchap. ni hayo tu

    ReplyDelete
  12. Mungu amzidishie kila la heri bi Nyota.

    Ila sijauelewa ulishaji wake keki kwa wageni wake, mbona anawapa keki 'kiupogo upogo'? Si unamlisha mtu kitu ukiwa unatazamana nae?

    ReplyDelete
  13. Hiyo uliyolishwa wewe ilikuwa kanyaboya, danganya toto tu ili bethdei irushwe kwenye hili jamvi. wewe si unaona ilivyoshikwa!!keki gani mtu anamlisha mwenzake huku akiwa amegeukia Maka?

    ReplyDelete
  14. kwikw!kwikw!!!!the Fulanazzzzzzzzzzzz!!!!!imetuwakilisha!tena hipo soup soup!si unajua ukiifua usiku alfajiri ishakaauka!!!fulanazz!!!!!!!!!kila mahala hipo

    ReplyDelete
  15. mkuu fanya mpango flana ipigwe mnada pesa zinazopatikana sizaidie mfuko wa albino tz au mnaonaje?

    ReplyDelete
  16. ....Wee Mdau wa 2:51 unayejifanya kumcheka mwenzio, Alikuwa anaulizia kama hakuna FORKS yaani UMA baada ya kuona watu wakitumia mikono mitupu kulishana Keki na sio FOLKS unayofikiri wewe ambayo kwa haraka haraka ina maana ya JAMAA!!! Ujanja Mwingi Mbele Giza.

    ReplyDelete
  17. ...How Old Are You Now,
    How Old Are You Now x2
    How Old Are You Dear Nyota, How
    Old Are Yooouuuu!!!

    ....Thubuuutu! Age is a Woman's best kept Secret...Even if it ain't Nothing but a mere Number..!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...