MABEKI WA YANGA NA KIPA WAO JUMA KASEJA WOTE WALIPELEKWA SOKONI, KISHA HARUNA MOSHI 'BOBAN' AKATILIWA PANDE TAMUUU....
MABEKI WA YANGA NA KIPA WAO JUMA KASEJA WAKIKIMBILIA GOLINI WAKATI BOBAN AMEBAKI  YEYE NA NETI
KABLA MABEKI WA YANGA NA KIPA WAO HAWAJAKAA SAWA BOBAN AKAACHIA NDUKI NJE KIDOGO YA SITA.
KIPA JUMA KASEJA ALIJITAHIDI LAKINI WAPI...CHUMA KIKATINGA WAVUNI
HIVYO HADI SASA SIMBA 2 NA YANGA 1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. michuzi mskini mnyongeeeeeeeeeeeee mtasema kaseja kafungisha basi sababu katoka simba, sheikh yahya kachemsha utabiri.

    ReplyDelete
  2. hiloooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  3. sheikh Yahya alitabiri vipi?

    ReplyDelete
  4. Kaseja hajafungisha.. hajui kudaka hapo ndipo mtaona Maximo bonge la kocha.

    ReplyDelete
  5. Hivi Kaseja hakutazama mchezo wa nusu fainali ya Chelsea Vs Arsenal ya kombe la FA Jumamosi 18/04/2009 ? ambapo Arsenal walilala 2-1.

    Kipa wa Arsenal alitoka kuwafuata mabeki wake na matokeo Drogba akafunga kirahisi bao la pili.

    Hivi mchezaji Tz unapotazama mechi za ulaya ktk TV huwa hampati mafunzo ya kuyafanyia kazi viwanjani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...