Shukran kaka michuzi baada ya kutuonyesha katika Blog yako sasa mmliki amebadili vibao vya duka la nyama sjui kama sasa iko sawa? picha ya juu ni kabla na ya chini ni baada ya marekebisho. picha na mdau wa musoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Duh! Mmemshikia bango mpaka kabadilisha! Kweli mko juu!

    Sasa, ingawa inaleta maana fresh kwa sasa, angetumia BUTCHERY badala ya BUTCHER'S ingekuwa bomba zaidi. Maana duka la nyama linaitwa BUTCHERY na mkata nyama ndo anaitwa BUTCHER.

    Yote heri lakini......

    ReplyDelete
  2. bado hamjabadilisha TREI hehehehe this is sooooo nice

    ReplyDelete
  3. Asilaumiwe aliyeandika. Yapo mengi yalopandikizwa katika lugha. Nani alisema kuna mji unaitwa Tabora wakati wakazi wake wanaujua kama Tabola. Alisema nane kuna shule ya Bwiru wakati wenyeji wanaijua kama Wilu.

    ReplyDelete
  4. Kuku mzima ni ambaye hajachinjwa...wadau naomba tueleimishane.. na hao kuku si wanatofautina uziko..

    ReplyDelete
  5. Wadau, hiyo Butcher's kaipatia,hata mimi mwanzo nilifikiri kachapia but when I looked up the word in the Oxford Advanced Learner's Dictionary 6th Edition jamaa amelenga. It says:
    Butcher (Noun): a person whose job is cutting up and selling meat in a shop or store, pia Butcher(Verb) killing of of animals for this purpose.
    Butcher's (singular noun) Butchers (Plural noun): a store / shop that sells meat. ex : He owns the butcher's in the main street..
    Butchery the work of preparing meat to be sold.
    Jamaa hata angeandika Butchery ni fresh.
    Ila mimi kuna meneno mengine huandikwa bila kujua wanaandika nini. For example in town you will read " Stationary Shop" meaning pens,books, pencils etc...that's a wrong spelling, it might have read "Stationery" , Stationary means something is static, doesn't move. Also Stationery has no singular or plural, it's neutral...therefore there is no stationaries. A person who owns a stationery is called a stationer. This is same as Equipment, it has no singular no plural either! This was my piece of an information! Asanteni

    ReplyDelete
  6. heeee wapi uku??
    nyama BEI RAHISI ivi???yeuwiii napataka apo niwe naagizia waniletee kwa bei hiyo.

    bomba sana

    sasa wee kiinglishi cha nini ivo unaklem??vyovyote vile ilmradi ata mzungu akuelewa wamanisha nini

    ReplyDelete
  7. hayo marekebisho ndio worse eti Lobo mwe na hapo chini eti pamoja na viungo kuwa specific utakimbiza wateja viungo vipi unamaanisha.

    ReplyDelete
  8. kweli nimekubari mbuge Mathayo anawajari watu wake, bei ya nyama ni chini sana. hongera sana, ebu weka na bei ya MAZIWA kwa sasa ni sh gapi ili wenye maduka wasituibie.

    ReplyDelete
  9. We mdau unayetaka kujua bei ya MAZIWA: bei ya maziwa ni mapatano!!

    ReplyDelete
  10. Du Huyu mwenye Bucha au meat market yake mjanja sana anajua jinsi ya kuitangaza biashara yake bila kulipia manake yeye mwenyewe ndo kaleta uzushi hapa ili watu wakosoe na duka lake lisha kuwa popular manake ulimwengu mzima wabongo sasa hivi tukishuka Tabora lazima tuitafute hii Bucha hahaha Hongera kwa kuwa Creative nakupa shikamooo salutte ma bru

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...