
ni mwaka wa 1988 ambapo mtangazaji maarufu wa redio tanzania wakati huo julius nyaisanga a.k.a anko J akiwa na rafiki yake kwenye shoo ya vijana jazz ukumbi wa vijana. anko J, ambaye hivi sasa ananguruma akiwa na Idhaa ya Kiswahili sauti ya Ujerumani, ni mmoja wa watangazaji waliokuwa mstari wa mbele kukuza muziki wa kibongo. asante mdau mario nkwera kwa taswira
una rafiki mrefu kwenda chini mwaya
ReplyDeleteHow could anyone forget him? He hosted a night time program - can't remember the name - but it was said to bring the best of: Miziki ya bakulutu (or was it bakarutu?), miziki ya kunesanesa and miziki ya kuruka majoka...
ReplyDeletemungu akubariki uncle J,kipaji chako hakiwezi kuachwa kikaoza na watu wenye roho ya kwa nini,sina hakika uko wapi lakini habari ni njema juzijuzi nilikuwa bongo maneno kibao ho katingisha kibiriti cha bi mkubwa kakikuta kimejaa...msalimie DOTO.
ReplyDeleteNampenda J Nyaisanga
ReplyDeleteKiswahili chake kizuri
Anatumia R na L kama itavyotakiwa kutamka.
Sio wengi wao wanavyosema Dar mpaka Molo
Huyo mshkaji mfupi kwenda chini aliyesimama pembeni mwa uncle J ni Omari Omari wa TTCL makao makuu.
ReplyDelete"Ni Wenu Uncle Jay Nyaisanga ukipenda Super Tall" -Julius Nyaisanga
ReplyDelete