Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Exim, Mama Sabetha Mwambenja (kati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati akitangaza ripoti ya fedha ya benki hiyo kwa kipindi cha mwaka ulioishia 2008. Pamoja naye kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano na Masoko wa Exim, Christina Manyenye na Meneja Mkuu, Dinesh Arora.

Mama Mwambenja, anayejulikana kama Iron Lady of Tanzania banking industry, ni mmoja wa kinamama wachache wanaoongoza taasisi nyeti kama hiyo na kuwa na mafanikio kupindukia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kina mama Tanzania wako juu, cheki hapo mezani, Very impressive, Keep up Ladies, well done. Only when wanawake watakapoendesha nchi yetu will UFISADI dissapear, wanawake tuna roho hatuwezi kufanya ujambazi kiasi cha kina Chenge style,!!Pia jitokezeni Kina mama kugombea Urais, there are plenty of very smart, v educated,v qualified women who can do that, please let someone show up next time and break the stupid glass ceiling! Go Ladies.
    Ms Sekela.

    ReplyDelete
  2. Safi sana Michuzi. I have been curious to see how this mama looks like.

    Now that I hv seen her she truly looks like an irony lady.

    Many congrats for her achievements. From the outside Exim looks like an interesting success story. Their new corporate HQ building is a testimony of how this Bank has grown to maturity.

    Hope she comes fwd one day and tell her full story to inspire the rest of us.

    ReplyDelete
  3. ama kweli iron lady....mie chichemi zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...